ngara

Ngara is a small town in Ngara District, Kagera Region, in Tanzania, East Africa.
Ngara town is small with an estimated population of 8,000 to 10,000 people. The international community is small with the Anglican Church of Tanzania, Diocese of Kagera, and four NGOs employing a handful of expatriate staff. Occasionally, there are also visiting staff, consultants and missionaries.
Market day in Ngara town is Saturday. Vendors come from surrounding villages to sell their seasonal produce. During the week, the market is open, but the availability of produce is more limited. Most basic items are available. In season, fruits and vegetables include tomatoes, carrots, eggplant, spinach, green peppers, pineapple, papaya, mango and oranges. Major staple food crops such as maize, bananas, rice, potatoes, beans and milled products such as wheat flour and sugar are readily obtainable in Ngara. Ngara is also a location in Kenya, in the County of Nairobi.

View More On Wikipedia.org
  1. BigTall

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Waziri Mchengerwa njoo Halmashari ya Ngara Watumishi Wapya hatujalipwa Fedha za Kujikimu

    Sisi watu wa ajira mpya kada mbalimbali tofauti na Elimu na Afya katika Halmashauri ya Wilaya ya Ngara Mkoani Kagera hatujalipwa fedha za kujikimu. Mfano Kada ya Maliasili na Mazingira, hatujalipwa fedha za kujikimu na tunazungushwa sana, fedha zikiingia Halmashauri wanazipangia vipaumbele vyao...
  2. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Ngara: Bilioni 41 Kujenga Mradi Mkubwa wa Maji Utakaohudumia Wakazi Zaidi ya 170,678.

    "Wizara ya Maji inatarajia kutekeleza mradi mkubwa wa Maji Ngara Mjini kwa gharama ya Shilingi Bilioni 41. Usanifu wa mradi umekamilika na unatarajia kuhudumia wananchi 170,678 waishio katika Kata ya Ngara Mjini, Kanazi, Kidimba, Nyamiaga na Murukurazo" - Mhe. Maryprisca Mahundi, Naibu Waziri...
  3. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Ugawaji wa Vitambulisho 35,000 vya NIDA - Ngara

    Ngara Octoba 31, 2023 Mbunge wa Jimbo la Ngara,Mhe.Ndaisaba George Ruhoro anapenda kuwatangazia Wananchi wote wenye namba za NIDA kuwa, Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan imezalisha na kufikisha Ngara Vitambulisho 35,000 vya Uraia kwa Wananchi wa Jimbo la...
  4. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Ngara: Marry Chatanda aingizwa mkenge, adanganywa kuhusu CHADEMA

    Mwenyekiti wa UWT inayodaiwa kuwa ni Jumuiya ya Wanawake ya CCM , Marry Chatanda ameingizwa Mkenge huko Ngara , baada ya kukusanyiwa watu wa soko la Ngara na kuelezwa kwamba ni Wanachama wa Chadema walioacha chama chake chao na kuhamia ccm. Katika Utapeli huo Chatanda amekabidhiwa Vitambaa...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki Jimbo la Rulenge Ngara lafungwa kwa uvamizi

    Habari wana jamvi. Hii ndio taarifa juu ya tukio na maamuzi yaliuochkuliwa baada ya watu/ mtu kjvunja , kukufuru na kunajisi kanisa katoliki lililoko Buzirayombo.
  6. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Sakata la Picha ya Mbunge wa Ngara Wananchi Wakana Kulazimishwa

    SAKATA LA PICHA YA MBUNGE WA NGARA WANANCHI WAKANA KULAZIMISHWA Wananchi na wakazi wa Wilaya ya Ngara mkoani Kagera wamekanusha kulazimishwa kuweka picha ya Mbunge wa Jimbo hilo Mhe. Ndaisaba Gerge Ruholo kwenye maeneo yao kama ilivyoripotiwa na baadhi ya vyombo vya habari hapa nchini...
  7. benzemah

    JamiiForums Tanzania Sintofahamu picha za Mbunge wa Ngara zikiwekwa maofisini kama picha ya Rais

    Updates: Video imeambatanishwa . . . Mbunge wa Ngara (CCM) Ndaisaba Ruhoro anadaiwa kulazimisha picha zake zibandikwe maeneo yenye mkusanyiko wa watu ndani ya jimbo huku baadhi ya watu wakihoii kwa nini iwe lazima. Picha hizo zinaelezwa kubandikwa maeneo ambako kuna picha za Rais na sehemu...
  8. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Bilioni 5 kutekeleza Miradi ya Maji Jimbo la Ngara, Kagera

    MIRADI MIPYA YA MAJI JIMBO LA NGARA, KAGERA Mbunge wa Jimbo la Ngara Mhe. Ndaisaba George Ruhoro amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuelekeza na kutoa Shilingi Bilioni 3 Jimbo la Ngara kwaajili ya kujenga miundombinu bora ya Maji Safi na...
  9. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Siasa ya Wilaya ya Ngara Yatembelea Bunge la Tanzania

    MHE. NDAISABA RUHORO ATEMBELEWA BUNGENI NA KAMATI YA SIASA WILAYA YA NGARA Mbunge wa Jimbo la Ngara Mhe. Ndaisaba George Ruhoro wiki hii aliialika Kamati ya Siasa ya Wilaya ya Ngara chini ya Mwenyekiti wake Mhe. Mwl. Vitalis Ndailagije na Mkuu wa Wilaya ya Ngara Kanali Mathias Julius Kahabi...
  10. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Ndaisaba George Ruhoro achangia ujenzi wa Miardi ya Chama na Serikali Jimboni Ngara

    Mbunge wa Jimbo la Ngara, Mhe. Ndaisaba George Ruhoro Katika kutekeleza Ilani ya Chama Cha Mapinduzi, Machi 27-29, 2023 alipofanya ziara ya kukagua miradi mbalimbali ya Maendeleo alichangia kiasi cha TZS 9,900,000/= kwaajili ya Ujenzi wa Miundombinu ya Maendeleo kwa Chama Cha Mapinduzi na...
  11. K

    JamiiForums Tanzania CAG: Watumishi Halmashauri ya Ngara warejeshe Milioni 45.99

    Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa hesabu za serikali (CAG) ameitaka Ofisi ya Rais TAMISEM kuhakikisha hatua stahiki zinachukuliwa kwa watumishi waliohusika na upotevu wa fedha za mapato ya ada za leseni, ikiwa pamoja na kuhakikisha jumla ya Sh. Milioni 45.99 zinarejeshwa kutoka kwa watumishi husika na...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kagera, Ngara: Shule ya Keza yataka kufungwa kwa kukosa vyoo. Ilijengwa 1945

    Shule ya Singi Keza Wilayani Ngara, hatihati kufungwa kwa Ukosefu wa Vyoo unaopelekea mazingira ya shule kuwa Magumu Kufundisha na kujifunzia. Mbunge wa Jimbo la Ngara Ndaisaba George Ruhoro, ametoa Mil 3 kutengeneza vyoo vya dharura ili Shule isifungwe. Ruhoro amesema shule ni ya miaka mingi...
  13. Chasing Monsters

    JamiiForums Tanzania Kwa Great thinkers wa JamiiForums mlioko Ngara

    Habari za jioni wadau? Nina mengi ya kushare nanyi kuhusu safari yangu ya kutafuta maisha ndani ya mkoa wa Kagera niliyoianza mwezi wa nane mwaka huu 2022. Ila kwa ufupi naomba niseme tu kuwa safari yangu hii hatimae imenifikisha katika mji wa Ngara. Hivyo basi, kwa wanajamiiforums mlioko huku...
  14. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Hapa wilaya ya Ngara umeme ni bidhaa ya anasa yapata miezi sasa

    Wilaya ya Ngara mkoani Kagera na viunga vyake hakika umeme umekuwa ni bidhaa ya anasa na aghari mno kuipata! Kuanzia Benaco, Ngara yenyewe hadi Rusumo umeme umekuwa ukiwaka kwa masaa yasiyozidi manne tena usiku tu na kosa kuche wenye umeme wao huuchukua. Mfano muda huu Benaco na Ngara yote...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Salaam kutoka Ngara kwa Waziri wa Nishati

    Ndugu waziri nakuletea salaam zangu kutoka nakatunga wilaya ya Ngara, ambazo kwa hakika zimebeba mtazamo wa wilaya yote. Ndugu waziri, wanaomkumbuka Kalemani hadharani na moyoni sio kwamba wachuki na wewe, bali wanaangalia utendaji wako ukilinganisha na kalemani. Hapa Rusumo kuna mradi wa...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Bei ya Petrol Ngara yafikia 5000 kwa lita. Mamlaka ya Maji yashindwa kutoa huduma

    Wilaya ya Ngara mkoani Kagera inakumbana na changamoto ya ukosefu wa bidhaa ambapo sasa lita moja ya Petrol inauzwa tsh 5000. Wakati hayo yakijiri, mitambo ya kusuma maji imezimwa kwa siku tano sasa kutokana na upungufu wa umeme. Kwa upande wa mafuta ya magari, vituo rasmi vya kuuza bidhaa...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Full Text: Hotuba ya Baba Askofu Severine Niwemugizi, mbele ya Rais Samia kwenye sherehe ya Jubilei ya miaka 25 ya Uaskofu, 22 Februari 2022 Ngara

    HOTUBA MBELE YA MGENI MAALUM RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KWENYE SHEREHE YA JUBILEI YA MIAKA 25 YA UASKOFU, TAREHE 22 FEBRUARI 2022, NGARA Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mwadhama Kardinali Anthony Kambanda, Askofu Mkuu wa Kigali Mhashamu Askofu Flavian...
  18. P

    JamiiForums Tanzania Ghafla tu Ngara na majimbo mengine yanatetewa yabakie Kagera, sababu ni Kabanga Nickel

    Hayati John Magufuli alipambana sana Uzalishaji wa mgodi wa Nickel wa Kabanga Nickel uanze uzalishaji akiwa hai. Mipango ya Mungu huwa ina tofauti na ile ya binadamu. Hakuweza kuishi mpaka kuona haya yanayoendelea hivi sasa. Angeridhika kwa asilimia mia moja. Utoke jasho kuupigania mradi mkubwa...
  19. jitombashisho

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje bei ya mafuta Tanzania inakuwa ghali kuliko nchi ambazo zinapitisha bidhaa hiyo bandari ya Tanzania?

    Ni aibu kama nchi! Wilayani Ngara mkoa wa Kagera lita ya petroli inauzwa Tsh. 2630 wakati huo huo upande wa Rwanda Wilaya ya Kirehe ambapo hazizidi kilomita 40 ufike petroli lita ni Tsh. 2000. Kazi kwenu wadau na tumpongeze mama kwa kuupiga mwingi. -
  20. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Kakonko, Ngara, na Biharamulo kataeni makao makuu ya mkoa kuwa Chato - Nyakanazi liwe pendekezo lenu

    MKOA MPYA NA MAKAO MAKUU MAPYA NYAKANAZI: Anaandika Msakila M Kabende - Economist KWA WAHESHIMIWA:- (i). Aloyce Kamamba - Mbunge wa Jimbo la Buyungu (ii). Ezra John Chiwelesa - Mbunge wa Jimbo la Biharamulo (iii). Ndaisaba G. Luhoro - Mbunge wa Jimbo la Ngara (iv). Fidel Chiza Nderego -...
Back
Top Bottom