jitombashisho
JF-Expert Member
- Jun 11, 2020
- 667
- 2,242
Ni aibu kama nchi!
Wilayani Ngara mkoa wa Kagera lita ya petroli inauzwa Tsh. 2630 wakati huo huo upande wa Rwanda Wilaya ya Kirehe ambapo hazizidi kilomita 40 ufike petroli lita ni Tsh. 2000.
Kazi kwenu wadau na tumpongeze mama kwa kuupiga mwingi.
-

Hapo zambia tu ni buku mia saba lita 1740 ila sijui sisi tumelogwa na nani.Tunapiga kodi mpaka aibu maana mafuta ni bidhaa muhimu sana .Hata kama tunataka maendeleo tuende taratibu maana hatuwezi ijenga Tanzania kwa siku kuna vizazi vinakuja nao watajenga .Inafika mahali unaona kama tunakomoana ww uagize gari hiyo kodi mpaka inataka kuzidi bei ya gari sasa huu si uchizi.