R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 52,495 Reaction score 103,136 Jan 3, 2026 #1 Kuna lolote kinaendelea ICC au ndiyo imetoka hiyo! Mwenye fununu atufunulie
Lord Denning JF-Expert Member Joined Jun 3, 2015 Posts 23,491 Reaction score 57,970 Jan 3, 2026 #2 Chakula kinaiva vizuri sana. We tulia tu mwaka wa ushindi kwa wapenda mabadiliko ni huu.
TUJITEGEMEE Platinum Member Joined Nov 6, 2010 Posts 27,583 Reaction score 28,623 Jan 3, 2026 #3 Hata mwaka 2026. Narudia. Tuimalize matatizo yetu wenyewe. ICC ni vurugu zaidi tunamkaribisha. Haya mambo yetu hayajatushinda!!!
Hata mwaka 2026. Narudia. Tuimalize matatizo yetu wenyewe. ICC ni vurugu zaidi tunamkaribisha. Haya mambo yetu hayajatushinda!!!
CHIEF PRIEST JF-Expert Member Joined Dec 13, 2021 Posts 21,596 Reaction score 42,561 Jan 3, 2026 #4 Retired said: Kuna lolote kinaendelea ICC au ndiyo imetoka hiyo! Mwenye fununu atufunulie Click to expand... Jinai haifi mkuu huyu lazima waruke naye tu, arrest warrant inatoka soon.
Retired said: Kuna lolote kinaendelea ICC au ndiyo imetoka hiyo! Mwenye fununu atufunulie Click to expand... Jinai haifi mkuu huyu lazima waruke naye tu, arrest warrant inatoka soon.
T Twoten JF-Expert Member Joined May 4, 2014 Posts 2,641 Reaction score 2,997 Jan 3, 2026 #5 Nimedokezwa mwezi wa pili mwaka huu ataitwa kusomewa mashitaka kenge wenu