new

  1. J

    JamiiForums Tanzania Aweso ahitimisha ratiba ya kikazi Umoja wa Mataifa New York, atoa shukrani kwa Kaimu Mwakilishi wa Kudumu

    Waziri wa Maji ameshiriki kikao cha Shukrani na kuagana na watumishi wa Uwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Umoja wa Mataifa, New York. Watumishi hao wameongozwa na Mhe. Balozi Dkt. Suleiman Haji Suleiman, Kaimu Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Umoja wa...
  2. JamiiForums Tanzania Waziri Uweso akisherehekea birthday yake nyumbani kwa JK hapa New York, Marekani

    Kumbukizi ya Siku ya Kuzaliwa Kwa Waziri wa Maji Jumaa Aweso amekuwa na wakati mwema wa kukata keki pamoja na Rais Mstaafu Dkt Jakaya Kikwete nyumbani kwake hapa New York Marekani. NB. Watanzania chapeni kazi muondokane na kelele za maisha magumu, hakuna njia ya mkato ya kukuleteeni chakula...
  3. JamiiForums Tanzania New member

    Hello! Jamani mimi ni mgeni humu mniipokee.
  4. JamiiForums Tanzania Serengeti got a new King, Vipers wanamsubili Simba

    Upo msemo unasema "a viper strikes while you feel safe and secure" yaani nyoka huyo mwenye sumu kali anakugonga ukiwa unajihisi uko salama,timu ya Vipers itaikaribisha timu ya Simba nchini Uganda,uimara wa timu ya Vipers unafananishwa na kizazi cha akina Majid Musisi,Kamaza Batambuze, George...
  5. JamiiForums Tanzania Ni muda sasa wa kumsikiliza Komando Mashimo alichosema kuhusu Simba na Yanga

    Kipigo cha tatu bila kwa timu ya Simba kimenifanya niiangalie tena video ya Mchungaji Komando Mashimo kwa sasa anayejiita Nabii Mikaya aliyemuomba Rais Samia awalipie deni Simba na Yanga ili waweze kushinda katika michuano ya CAF. Nabii Mashimo alisema mwaka 2022 Mungu alitenda kwa ajili ya...
  6. JamiiForums Tanzania Wadau naomba mnijuze juu ya ist new model

    Wadau naomba mnijuze juu ya ist new model kuhusu 1.uimara wa gari kwa ujumla 2.urahisi wa bei na upatikanaji wa vipuri. 3.ulaji wa mafuta 4.udhaifu wake 5.kutulia barabarani shukrani wakuu.
  7. JamiiForums Tanzania Asilimia zaidi ya 90 ya wanawake tunaooa SIO bikira SIO brand new ni second hand commodity.

    Sababu nyingine kubwa ya kwanini tusuioe / tusiwaowe wanawake wa leo !? Wengi wao walishatumika SIO bikira ni used tayari na ukioa mwanamke aliyetolewa usichana wake na mwanaume mwingine ule utukufu wa kumbikiri kibiblia unaenda kwà yule mwanamme mwingine na ndio maana mizozo haiishi kwasababu...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Reinstall new version of Epson easy phot print module nifanyeje msaada wadau natumia windows 10 64bit

    Reinstall new version of Epson easy phot print module nifanyeje msaada wadau natumia windows 10 64bit
  9. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa New Programmers

    Habari wakubwa, kwanza poleni na majukumu ya kujenga taifa. Moja kwa moja kwenye mada nafahamu kuna watu wanofanya programming humu ningependa tuweze kushare kwa pamoja iweze kutusaidia kwa ambao tunataka kuingia kwenye hii career. Share experience yako kwenye hii career kwenye mazingira yetu...
  10. JamiiForums Tanzania Nilivyotelekezwa na rafiki yangu Queens Bridge, New York nikiwa sina hata 100 mfukoni

    Miaka ya tisini na mwanzoni nwa miaka ya 2000 kulikuwa na wimbi la vijana kuzamia South Africa,Ulaya au Marekani. Zilitumika njia zote haramu na halali ikiwemo kuzamia meli mpaka bendi ya Orchestra Vijana Jazz wakatunga wimbo wa Ngapulila.Hemed Maneti na Eddy Sheggy waliimba si mchezo RIP...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta ECU/Control box ya IST New model

    Habari zenu wapendwa, nahitaji kupata control box ya IST New model, details zake ni hizi hapa. 89661-52F50 J2 IST New model Niliyoipata imefanikiwa kuwasha gari vizuri but taa za dashboard zina blink, zinazima na kuwaka. Ukiacha gari silensa au ukiwa una drive taa za dashboard na mshale zina...
  12. JamiiForums Tanzania New Force/ Golden Deer acheni uhuni kwa mizigo ya abiria

    Ninapenda kutoa huu mkasa kama ifuatavyo. Tarehe 12/1/2023 nimetuma mzigo kutoka DSM kwenda Mbeya kama inavyoonekana kwenye risiti. Nimekabidhi ofisi ya Mbezi imeandikwa Golden Deer na Newforce ipo flow ya pili mwisho kabisa jirani na sehemu ya chakula. Mzigo nilitwgemea tarehe 13 Januari ufike...
  13. JamiiForums Tanzania INAUZWA Brand new Laptop Bag for Sale

    Habari za jioni wakuu, Nauza begi la laptop jipya halijatumika kabisa. Nipo DSM Bei: 30,000 Value price estimated between 70,000 - 100,000 PM if you need. Photos below
  14. JamiiForums Tanzania The main reason to why most people don't realize their new year resolutions

    Salute comrades! Most people always tend to set their new year resolution ( s) at the beginning of every year.They always aim to achieve their new objectives with a success rate of 💯 percent. Bt unfortunately, most of them let's say 70% of them fail to realize their resolutions even at the...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta garage nzuri kwa ajili ya IST New model

    Mimi ni mkazi wa DSM eneo la Kimara stopover. Namiliki gari ya aina ya IST New model. Hivi karibuni gari ilipata shida upande wa hydrolic ya gearbox ilikuwa ina leakage na nozzle zilikuwa hazi spray mafuta vizuri kweny engine gari ikawa ina miss na kukosa nguvu. Nimepeleka gari kwa fundi hivi...
  16. JamiiForums Tanzania Mahali ni pazuri ndugu wanapokaa, wakipata vema na kupendana. Tulikotoka ni kugumu, tunakokwenda ni kurahisi, kuzuri! Heri ya Mwaka Mpya wahusika wote

    This picture speaks thousands words!. Kuna vitu vikubwa vizuri hii picha inasema ambavyo havijaandikwa!. Inabidi uwe na observatory eagle eye kuviona!. Kikawaida Political pictures zinafuata kanuni ya kidplomasia iitwayo reciprocity, wenyeviti wa vyama wakikutana ni wenyeviti. Wenyeviti...
  17. JamiiForums Tanzania Nina kifaa kipya nipeni neno moja

    Anzani Kwa kutoa wosia Kwa chibaba wangu mpya .
  18. JamiiForums Tanzania Mwanza one time for new year

    Wakuu poleni na hongereni kwa heka heka za xmass. Pia heri ya mwaka mpya 2023. Niko njiani naelekea mwanza kwa mapumziko ya week moja then ntarudi dar es salaam kupambana na maisha. Kwakweli Mwanza imekuwa nyumba yangu ya pili....mwanza is my bae ♥. This time around nitatamani kuona vivutio...
  19. E

    JamiiForums Tanzania Merry Christmas & happy new year

    Wadau wote wa jukwaa la uchumi, wapambanaji wote, waumini wote wa kesho bora, wafuasi wa mawazo chanya, timu ya JF na wadau wengine , kwa niamba ya film Evigt_water tunawatakia christmas njema na mwaka mpya wenye furaha. Bila kuwasahau wateja waliotusupport kufika tulipo,ASANTENI SANA.
  20. M

    JamiiForums Tanzania You might be missing, The New World Order is here

    Klaus schwab wef 1024x538 1 There are two ways to build communism. And don’t take the “it can never be done, Nobody has ever succeeded’ road. History doesn’t matter to the people who are building it, and if they get to the point where someone will discuss this plan as another failure, your and...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…