Wadau naomba mnijuze juu ya ist new model

profesawaaganojipya

JF-Expert Member
Apr 21, 2015
1,481
3,119
Wadau naomba mnijuze juu ya ist new model kuhusu
1.uimara wa gari kwa ujumla
2.urahisi wa bei na upatikanaji wa vipuri.
3.ulaji wa mafuta
4.udhaifu wake
5.kutulia barabarani
shukrani wakuu.
IMG_20230211_141046.jpg
 
Wadau naomba mnijuze juu ya ist new model kuhusu
1.uimara wa gari kwa ujumla
2.urahisi wa bei na upatikanaji wa vipuri.
3.ulaji wa mafuta
4.udhaifu wake
5.kutulia barabarani
shukrani wakuu.View attachment 2513619
1. Uimara wa gari unategemea na utunzanji wako na hapa barabara inahusika, mfano huwezi kufukia shimo kwa gari yenye ground clearance ndogo kama hiyo IST. Nyata baba nyata

2. Urahisi wa bei inategemea na kampuni unayonunua gari, unaweza kuta SBI motors inauzwa chini kidogo kuliko huko mlikozea I mean be forward

3. Engine yake ya kawaida so mafuta yanaenda fresh tu usiogope watu tuna majini ila tunakomaa nayo mzee.

4. Udhaifu sijui mkuu nachojua imepass international standard measurements

5. Kutulia kipengele mzee wadau watasemea hili.

6. Iko vizuri mkuu
 
Range ya bei ni ngapi paka ngapi, uko SBI
 
Hii ndio naita kujibu swali bila kujibu swali.....
 
Nakazia📌🔨
 
Hapana yaani majibu yako yanaendelea kuleta maswali zaidi kwamba imepass international measurements kwani kuna gali limefail standards na lipo barabarani ?
Perception yako ndugu ila kuna mtu kaelewa nilichomaanisha, either way wewe ndio useme kama kuna gari ambayo iko barabarani haijapass int standards
 
Back
Top Bottom