new

  1. R

    JamiiForums Tanzania Reinstall new version of Epson easy phot print module nifanyeje msaada wadau natumia windows 10 64bit

    Reinstall new version of Epson easy phot print module nifanyeje msaada wadau natumia windows 10 64bit
  2. Step_Rocker

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa New Programmers

    Habari wakubwa, kwanza poleni na majukumu ya kujenga taifa. Moja kwa moja kwenye mada nafahamu kuna watu wanofanya programming humu ningependa tuweze kushare kwa pamoja iweze kutusaidia kwa ambao tunataka kuingia kwenye hii career. Share experience yako kwenye hii career kwenye mazingira yetu...
  3. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Nilivyotelekezwa na rafiki yangu Queens Bridge, New York nikiwa sina hata 100 mfukoni

    Miaka ya tisini na mwanzoni nwa miaka ya 2000 kulikuwa na wimbi la vijana kuzamia South Africa,Ulaya au Marekani. Zilitumika njia zote haramu na halali ikiwemo kuzamia meli mpaka bendi ya Orchestra Vijana Jazz wakatunga wimbo wa Ngapulila.Hemed Maneti na Eddy Sheggy waliimba si mchezo RIP...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta ECU/Control box ya IST New model

    Habari zenu wapendwa, nahitaji kupata control box ya IST New model, details zake ni hizi hapa. 89661-52F50 J2 IST New model Niliyoipata imefanikiwa kuwasha gari vizuri but taa za dashboard zina blink, zinazima na kuwaka. Ukiacha gari silensa au ukiwa una drive taa za dashboard na mshale zina...
  5. Nazjaz

    JamiiForums Tanzania New Force/ Golden Deer acheni uhuni kwa mizigo ya abiria

    Ninapenda kutoa huu mkasa kama ifuatavyo. Tarehe 12/1/2023 nimetuma mzigo kutoka DSM kwenda Mbeya kama inavyoonekana kwenye risiti. Nimekabidhi ofisi ya Mbezi imeandikwa Golden Deer na Newforce ipo flow ya pili mwisho kabisa jirani na sehemu ya chakula. Mzigo nilitwgemea tarehe 13 Januari ufike...
  6. God knows

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Brand new Laptop Bag for Sale

    Habari za jioni wakuu, Nauza begi la laptop jipya halijatumika kabisa. Nipo DSM Bei: 30,000 Value price estimated between 70,000 - 100,000 PM if you need. Photos below
  7. Raymanu KE

    JamiiForums Tanzania The main reason to why most people don't realize their new year resolutions

    Salute comrades! Most people always tend to set their new year resolution ( s) at the beginning of every year.They always aim to achieve their new objectives with a success rate of 💯 percent. Bt unfortunately, most of them let's say 70% of them fail to realize their resolutions even at the...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta garage nzuri kwa ajili ya IST New model

    Mimi ni mkazi wa DSM eneo la Kimara stopover. Namiliki gari ya aina ya IST New model. Hivi karibuni gari ilipata shida upande wa hydrolic ya gearbox ilikuwa ina leakage na nozzle zilikuwa hazi spray mafuta vizuri kweny engine gari ikawa ina miss na kukosa nguvu. Nimepeleka gari kwa fundi hivi...
  9. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Mahali ni pazuri ndugu wanapokaa, wakipata vema na kupendana. Tulikotoka ni kugumu, tunakokwenda ni kurahisi, kuzuri! Heri ya Mwaka Mpya wahusika wote

    This picture speaks thousands words!. Kuna vitu vikubwa vizuri hii picha inasema ambavyo havijaandikwa!. Inabidi uwe na observatory eagle eye kuviona!. Kikawaida Political pictures zinafuata kanuni ya kidplomasia iitwayo reciprocity, wenyeviti wa vyama wakikutana ni wenyeviti. Wenyeviti...
  10. Unique Flower

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina kifaa kipya nipeni neno moja

    Anzani Kwa kutoa wosia Kwa chibaba wangu mpya .
  11. Nakadori

    JamiiForums Tanzania Mwanza one time for new year

    Wakuu poleni na hongereni kwa heka heka za xmass. Pia heri ya mwaka mpya 2023. Niko njiani naelekea mwanza kwa mapumziko ya week moja then ntarudi dar es salaam kupambana na maisha. Kwakweli Mwanza imekuwa nyumba yangu ya pili....mwanza is my bae ♥. This time around nitatamani kuona vivutio...
  12. E

    JamiiForums Tanzania Merry Christmas & happy new year

    Wadau wote wa jukwaa la uchumi, wapambanaji wote, waumini wote wa kesho bora, wafuasi wa mawazo chanya, timu ya JF na wadau wengine , kwa niamba ya film Evigt_water tunawatakia christmas njema na mwaka mpya wenye furaha. Bila kuwasahau wateja waliotusupport kufika tulipo,ASANTENI SANA.
  13. M

    JamiiForums Tanzania You might be missing, The New World Order is here

    Klaus schwab wef 1024x538 1 There are two ways to build communism. And don’t take the “it can never be done, Nobody has ever succeeded’ road. History doesn’t matter to the people who are building it, and if they get to the point where someone will discuss this plan as another failure, your and...
  14. A

    JamiiForums Tanzania New guest alert

    Am new here any welcome
  15. britanicca

    JamiiForums Tanzania New FIFA released Record is all About Brazil heritage

    Most FIFA World Cup goals scored : 🇧🇷Brazil - 232 🇩🇪Germany - 227 🇦🇷Argentina - 138 🇮🇹Italy - 128 🇫🇷France - 124 🇪🇸Spain - 106 Most FIFA World Cup winners : 🇧🇷Brazil - 5 🇩🇪Germany - 4 🇮🇹Italy - 4 🇦🇷Argentina - 2 🇺🇾Uruguay - 2 🇫🇷France - 2 🇪🇸Spain - 1 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 England - 1 Most match wins in...
  16. F

    JamiiForums Tanzania new logo (mnyilinga platform)

    Nimetengeneza hii leo kama unahitaji logo kali ni cheki tuongee MIMI GHARAMA ZANGU ZA LOGO DESIGNING NI NAFUU SANA NA LOGO NI NZULI WATAALAMU ! nahitaji msaada wa mawazo pamoja na mwongozo wa hili nina Tsh 300k (laki tatu) je naweza kupata laptop nzuli yenye uwezo wa kunisaidia Graphic...
  17. Khroosb Musombwa

    JamiiForums Tanzania Happy new month

    Hello I Wish you mwezi mpya
  18. Mathanzua

    JamiiForums Tanzania New WHO pandemic treaty would overrule Constitutions of World Governments and unleash medical dictatorship around the World.

    New WHO pandemic treaty which is in final stages, would overrule Constitutions of World Governments and unleash medical dictatorship around the World, warns Dr. Francis Boyle Tuesday, November 22, 2022 Natural News Today we bring you a truly bombshell interview and critical story about the...
  19. Bexb

    JamiiForums Tanzania Nahitaji toyota raum new model

    Habari ya usiku wakuu. Nimekuja tena kijana wenu kwani naamini JF ni uwanja wa suluhisho. 🔥Ninahitaji TOYOTA RAUM NEW MODEL iwe na engine ya 1490cc. 🔥Gari iwe na namba kuanzia DW, DX, DY, na kuendelea. 🔥 Iwe katika hali safi kabisa isiyo na tatizo lolote 🔥ISIWE rangi nyeupe. 🔥Iwe na nyaraka...
  20. Mp4real

    JamiiForums Tanzania INAUZWA New homebass refrigerator 2 doors for sale

    Bado ni mpya nimenunuliwa zawadi, lakini mie sina matumizi nayo, thamani yake ni 370,000 ila mimi mtu akinipa 250000 namwachia. Karibu pm.
Back
Top Bottom