Kigamboni magogoni, pc
Chumba kimoja 1 master na jiko ndani
Maji bure
Kodi 180,000 kodi ya mwezi
Miezi (6)
Mita 15 barabara kubwa
Vyumba vyote ni vipya.
Piga 0712347749
Benki ya Dunia imetoa ripoti inayoonesha Bandari ya Dar ndio inaongoza Kwa Ufanisi katika kuhudumia wateja ikiwemo kuondoa makasha Kwa haraka na kutokuwepo Kwa urasimu..
Taarifa ya WB inasema Bandarinya Dar sanjali na Djibouti zimeiacha Mbali Bandari ya Mombasa..
Hongera sana mkurugenzi Mpya...
Hodi bandugu
Nawasalimu kwa jina la tanzania me mgeni wenu naombeni mnikaribishe ndani ya nyumba yenu Bora kabsa tanzania mzima.
Nyumba yenye wazee wa busara na vijana wengi wa hovyoo, me ni kjana wa faida. Naimani mtanirisha madini nami ntawarisha yangu pia.
Asanteni sana
Picha: Toyota Wish New Model
Nimeziona hizi gari natamani kufahamu ubora na mapungufu yake. Ninahitaji gari ndogo kwa mizunguko ya town na safari za Dar Morogoro.
So iwe inatumia mafuta vizuri na pia comfortable kiasi flani. Nina gari kubwa ambayo safari za kila weekend na foleni ya kuanzia...
Hellow african
wote tuna simu wote tuna marafiki na wote tuna marafiki tofauti
Je mara mwisho kusave namba mpaya ambayo ni muhimu sana ni lini?
Au bado unasave namba ya single mother na videmu vya mtaani?
Mimi yapata miezi sita sasa sijasev namba mpaya nyingi naziweka panding how about wewe
Habari wana jamii, mi ni ndugu yenu mpya, naomba mnipokee
Lakini pia ni job seeker, kwa yeyote mwenye connection ya kazi au anaweza kunisaidia kwa namna yeyote naomba tuwasiline.
A new artificial intelligence bot aims to destroy humanity and establish global dominance, according to a recent report.The question is whose dominance.This is obviously its' makers and handlers:the NWO Cabal and Lucifer.
An experimental AI bot was tasked by its programmer with destroying...
Wakuu nimekaa nikatafakari kiasi kuhusu mwenendo wa dunia yetu hii. Tunaishi kwa matukio. Dunia bila matukio, yawe mazuri au mabaya haijakamilika. Sasa wapo ambao wanatengeneza hayo matukio na wapo ambao wanaishi kulingana na hayo matukio. Wengi wetu tunaishi kulingana na matukio hayo. Wachache...
MHE. JANETH MAHAWANGA ATOA ELIMU KUPINGA UKATILI WA WATOTO NEW FARAJA ORPHANAGE CENTER
Mbunge Viti Maalum Wanawake Mkoa wa Dar Es Salaam na Mwanzilishi wa Taasisi ya Tisha Mama Foundation, Mhe. Janeth Elias Mahawanga na Taasisi ya Ejaz Bhalloo Foundation pamoja na Jeshi la Polisi kutembelea...
Uongozi wa Klabu ya Yanga umethibitisha kufikia makubaliano ya kuvunja mkataba na Kocha Mkuu wa timu ya Wanawake @yangascprincess, Sebastian Nkoma kwa makubaliano ya pande zote mbili .
Uongozi wa Yanga unamshukuru Kocha Nkoma kwa kazi yake kipindi chote alichokuwa akiifundisha timu yetu ya...
Waziri wa Maji ameshiriki kikao cha Shukrani na kuagana na watumishi wa Uwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Umoja wa Mataifa, New York. Watumishi hao wameongozwa na Mhe. Balozi Dkt. Suleiman Haji Suleiman, Kaimu Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Umoja wa...
Kumbukizi ya Siku ya Kuzaliwa Kwa Waziri wa Maji Jumaa Aweso amekuwa na wakati mwema wa kukata keki pamoja na Rais Mstaafu Dkt Jakaya Kikwete nyumbani kwake hapa New York Marekani.
NB. Watanzania chapeni kazi muondokane na kelele za maisha magumu, hakuna njia ya mkato ya kukuleteeni chakula...
Upo msemo unasema "a viper strikes while you feel safe and secure" yaani nyoka huyo mwenye sumu kali anakugonga ukiwa unajihisi uko salama,timu ya Vipers itaikaribisha timu ya Simba nchini Uganda,uimara wa timu ya Vipers unafananishwa na kizazi cha akina Majid Musisi,Kamaza Batambuze, George...
Kipigo cha tatu bila kwa timu ya Simba kimenifanya niiangalie tena video ya Mchungaji Komando Mashimo kwa sasa anayejiita Nabii Mikaya aliyemuomba Rais Samia awalipie deni Simba na Yanga ili waweze kushinda katika michuano ya CAF. Nabii Mashimo alisema mwaka 2022 Mungu alitenda kwa ajili ya...
Wadau naomba mnijuze juu ya ist new model kuhusu
1.uimara wa gari kwa ujumla
2.urahisi wa bei na upatikanaji wa vipuri.
3.ulaji wa mafuta
4.udhaifu wake
5.kutulia barabarani
shukrani wakuu.
Sababu nyingine kubwa ya kwanini tusuioe / tusiwaowe wanawake wa leo !? Wengi wao walishatumika SIO bikira ni used tayari na ukioa mwanamke aliyetolewa usichana wake na mwanaume mwingine ule utukufu wa kumbikiri kibiblia unaenda kwà yule mwanamme mwingine na ndio maana mizozo haiishi kwasababu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.