new

  1. V

    JamiiForums Tanzania New Member

    Hello JF members, happy to join you.
  2. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania New Force/Golden Deer kwanini ajali mnapata nyie tu?

    Golden Deer 🦌 imelala chali. Ndani ya miezi mitatu mna zaidi ya ajali kumi. Achaneni na Sauli hamumuwezi, thaminini uhai, usalama na maisha ya abiria wenu. Jifunzeni kutoka kwa Scandinavia
  3. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Basi la Golden Deer lapata ajali maeneo ya Iyovi, leo Agosti 7, 2023. Mmoja ajeruhiwa

    Mpaka sasa taarifa zilizopo zinasema basi la Golden Deer T 618 DMG kutoka Kyela kuelekea Dar es Salaam imepata ajali. Taarifa zaidi zitakujia baadae. --- Morogoro. Mtu mmoja amelazwa katika Hospitali ya Mtakatifu Kizito wilayani Mikumi na wengine wametibiwa na kuruhusiwa baada ya basi la...
  4. Bondpost

    JamiiForums Tanzania Africa should neither shift to the new colonial masters nor stay with the old ones. (A Russian move case study)

    By Bondpost, Africa imekuwa na watu wenye fikra tegemezi miaka yote hata hii move ya Waafrika kushabikia China, Russia na North Korea ni sehemu ya muendelezo wa fikra temegemzi. Africans wamefikia sehemu hawawezi kuwa na fikra zao huru na wakajiongoza wenyewe kisiasa, kijamii, kiteknolojia...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Nape: Utilize new innovation for advancement purposes

    Serve for Data, Correspondence and Data Innovation Mr Nape Nnauye has asked Tanzanians to involve web-based entertainment for their own and public turn of events.<br><br> Mr Nape gave the exhortation yesterday here during an occasion to compliment partners who worked with the establishment of...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Tanzania government to pay new compensations from August

    The public authority has affirmed that the hotly anticipated yearly compensation increment will start to be paid next month.The Clergyman of State in the President's Office (Public Assistance The executives and Great Administration), George Simbachawene tended to the matter yesterday, in light...
  7. Zingzingzing

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Dili la Mahop kwenda Yanga lashindikana

    Dili la Mshambuliaji hatar wa kameruni EMMANUEL MAHOP kwenda Yanga limeshindikana baada ya Yanga kutoweza fika muafaka na mchezaji huyo, inadaiwa swala zima la mkwanja ndio limeifanya Yanga kushindwa kufikia jambo hili. Naona Yanga ikifunga goli below 40 next season maana hamna mshambuliaji wa...
  8. Msolo

    JamiiForums Tanzania Nikki Mbishi - Katiba Mpya New Song

    Wimbo wa Ney wa Mitego 'AMKENI' ukiwa unachanja mbuga za YouTube, Msanii Nikki Mbishi nae ametubariki na wimbo alioupa jina 'KATIBA MPYA', sikiliza toa maoni yako.
  9. salehe magari

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Nauza magari ya aina mbalimbali

    NISSAN DUALIS *CROSS RIDER Price :17.5mls (GARI NI MPYA 100%) Year 2010/2011 Engine Cc 1990 Full Ac Low mileage Rim sports 0688591584
  10. Tripo9

    JamiiForums Tanzania Nishaurini accomodation cheapest New York city naenda mwezi wa nane mwaka huu 2023 kwa siku mbili tatu tu

    August 2023 naenda New York City kushangaa Tu kwa siku kama 3 then nirudi zangu. Niko man alone, nishaurini accomodation cheapest hata kama ni shared accomodation poa tu ilimradi usalama. Mimi naishi popote sitaki tu semehu zenye violence maana usalama Kwanza. Asanteni wakulungwa.
  11. captain Goode

    JamiiForums Tanzania New member

    Habari zenu wakuu mimi ni fundi friji, nafurahi kujiunga nanyi. Natumaini kujifunza mengi.
  12. Abuu Kauthar

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Brand New Howo Tipper for sale in Dar

    Hello comrades, Brand new howo tipper available with 0 kilometer, for lower price of only 160m plus registration. Come and grab it quickly. Only one unit left.
  13. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Uchawa kwa DP World umemlipa Maulid Kitenge? Naona kavuta ndinga

    Nimekutana na picha ya ndinga ikiwa na jina la KITENGE, nikakumbuka siku za hivi karibuni Maulid Kitenge alikuwa busy kuipigia upatu kampuni ya DP World kuwekeza nchini. Akiwa na wenzake wawili Zembwela na Hando waliweza kusafiri mpaka Dubai ziliko ofisi kuu za kampuni hii. Je, uchawa umewalipa...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwahiyo LATRA kuyafungia Mabasi 37 ya 'New Force' ndiyo kutamaliza Ajali za Mabasi Tanzania nzima?

    Yaani Wafanyakazi wote wa LATRA ndiyo mna aina hii ya Ubongo mbovu uliowapelekea nyie kuja na Maamuzi haya ambayo GENTAMIYCINE sioni Aibu kuyaita ni ya Kipumbavu huku yakiwa yamejaa Chuki, Visasi, Wivu na Uonevu? LATRA mbona hamyachukuli hatua Mabasi ya Tajiri Mkongwe wa Mkoani Morogoro ( na...
  15. Kant Ombe

    JamiiForums Tanzania Mabasi 38 ya kampuni ya New Force yapigwa stop na LATRA kusafiri usiku, kuanza huduma saa 12 asubuhi

    Kampuni ya usafirishaji abiria ya NEW FORCE yapigwa stop leo kuendelea na safari zake baada ya kupata ajali mfululizo na kuthibitika kuwa wengi wa madereva wao hawajathibitishwa na mamlaka hiyo. ======= Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imefuta ratiba za saa 9.00 alfajiri na saa...
  16. B

    JamiiForums Tanzania New Force yapata ajali Kitonga

    Mapema leo Julai 2, 2023, eneo la KITONGA imetokea ajali ya Bus la Kampuni la NEWFORCE, tusubiri taarifa kamili kutoka mamlaka husika.
  17. W

    JamiiForums Tanzania New software list

    WELCOME TO INTRAGRAPH SMART PLANT V P&ID 11. 0.0.0907 (2019) Smart plant Intergraph P&ID is vastly different from graphic-driven P&ID solution today. In this software the Latest Version allows you to create Ducting and Instrumentation Diagrams (D&IDs). A new setting in the AutoCAD configuration...
  18. Ogaranya

    JamiiForums Tanzania Not new member

    Nimekuja na id hii kwa malengo maalum humu ndani Anyway nikaribisheni tu maana nimekuwa nanyi for 3 years now. Shukran sana
  19. Nakimbizwa

    JamiiForums Tanzania Hello jeiefers, new member hiya

    Hello, Mimi mgen humu....naomben kujuzwa huu mtandao unavyofanya kazi. Asante
  20. blakafro

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Brand New Redmi Note 12 Pro+ 5G

    Redmi Note 12 Pro+ Color: Blue RAM: 8GB Storage: 256GB Network: 5G Price: Tsh 750,000 Location: Kijitonyama Brand ipo sealed kabisa Whatsapp: 0714812151
Back
Top Bottom