Leon "Ndugu" Chancler ( in-DOO-goo CHANSS-lər; July 1, 1952 – February 3, 2018) was an American pop, funk and jazz drummer. He was also a composer, producer, and university professor.
Wakuu, nmekuwa nikisoma hapa JF, mara nyingi tu huu msemo kuwa "" nasema uongo ndugu zangu?"....
Naomba kufaham msemo huu ulitokea wapi na ni nani mwasisi wake, huwa unatumika katika mzingira gani?
Japo kwa kweli unavutia sana kuutumia...
Wadau, kupitia gazeti la mwananchi la tarehe 20/12/20 Brg. Gen Mbungo, kamanda wa Takukuru Tanzania ameeleza kuwa, kuna taasisi nyingi zinaumiza wananchi kwa kutoza riba kubwa, ikiwemo kushikilia mali za watu kutokana na mikopo umiza.
Km unauelewa wa taasisi hizo au vikundi hivyo, basi vitaje...
Morning Fam,
Kimsingi licha ya exposure katika mambo mengi tu yakiwamo mahusiano, magari, fashions na teknolojia nikiri tu kuna maswala mengine niko katika ujima.
Hivi karibuni nimekumbwa na kipengele, nataka nikanunue Gold jewelleries zikiwemo hereni, chain na pete ila sasa kimsingi sijui...
Niko 'frustrated' naomba mniwie radhi kama uandishi na mpangilio wa hoja yangu utashindwa kueleweka kwenu.
Ni hivi,
Mimi pamoja na kaka yangu mkubwa tumbo moja na baba tulikuwa tukiishi vizuri lakini uhusiano wetu ulianza kuingia doa baada ya mzee wetu kufariki.
Baada ya mzee kufariki...
Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu jamiiforums.
Ndugu zangu watanzania;
UTANGULIZI
=====
Ndugu zangu, umasikini ni kitu kibaya sana. Umasikini unakatisha uhai wa watu wengi wangali wadogo sana kwa sababu tu wameshindwa kumudu gharama za matibabu.
Umasikini ndio chanzo cha...
Mnaipaka matope nchi yenu mnasema eti ni nchi isiyothamini wawekezaji je hii ni kweli?
Mmechukia kutopata Ubunge je kwani Ubunge ni ajira? Hapana.
Kwa muktadha huu ni kuwa watanzania wameridhika na CCM.
Sasa mnataka nini? Mnaeneza uongo hapa Jf kuwa wawekezaji wanadhulumiwa bil of Tsh, jambo...
Habari za majukumu ndugu zangu wa jf?
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29 mzaliwa wa wilaya ya kyela. ninaishi (mbeya mjini)
Mimi ni mhitimu wa chuo kikuu ngazi ya shahada ya kwanza ya elimu (BAEd) kutoka chuo kikuu cha Tumaini Makumira Arusha mwaka 2016. Nimetafuta kazi kwa bidii sana...
" Mimi ni member wa Jamiiforums kwa kipindi kirefu kidogo. Nimekuwa nikishirikiana na kushirikishana nanyi mambo mbalimbali ya maisha na pia ya burudani. Nimewaza kwa muda mrefu sana kabla sijaamua kuandika thread hii.
Nlikuwa nmeajiriwa na Kampuni moja ya Mambo ya IT na usafirishaji pia toka...
Wadau huenda labda Mimi ni mshamba.
Kuna ndugu kaja hapa home, sasa inapokuja suala la kuoga Mimi ninachojua inabidi uoge mara moja kwa ila ndugu naona utaratibu wake ni hadi siku mbili zipite
Mkoa nilipo ni Mbeya, kwa sasa hali ya hewa kuna jua kali kiaina japo mvua ni hizi zinanyesha mara 2...
Ndugu yangu kasoma Ulaya miaka mitatu. Alikuwa akiniambia ana totoz pisi kali ameoa kabisa.
Wamefika airport DSM majuzi, nimeenda kuwapokea. La karibu nianguke!
Bibie ana macho utafikiri indiketa za subaru! Nimshauri nini?
"Kwa jinsi ninavyocheza kama nikibahatika Kucheza pamoja na Wachezaji kama Chama, Mkude, Morisson, Dilunga, Miquissone, Morisson na Kipa bora Tanzania Manula Kazi yangu itakuwa nzuri na rahisi kwani ni Wachezaji ambao nawapenda, nawatamani na bahati mbaya sana nilipo sasa sijaona wa...
Hivi karibuni nikiwa mkoa mmoja kaskazini mwa nchi yetu, nilihudhuria sherehe ya harusi, ambayo pamoja na kushangaa na waliojitambulisha ni wenyeji wa mkoa wa kaskazini na siyo mwambao, sherehe nzima nyimbo zilizotawala ni taarabu za kisasa(rusha roho na mipasho) kingine kilichonishangaza ni...
Huyu dada namfahamu mwezi wa tatu sasa. Ni mzuri sana kwa sura na umbo. Shida zipo ndogo ndogo. Watu ambao amewafollow instagram ni watu ambao mimi naona wa hovyo hovyo. Wasanii n.k. Anavifahamu viwanja ile mbaya na anapiga sana maji. Ana elimu ya Degree hapo IFM.
Anaweza akaja kwangu.there was...
Jimbo la uchaguzi la HAI liko mkoa wa Kilimanjaro. Ni jimbo ambalo "the most wanted person" na watawala wa CCM, mwenyekiti wa taifa wa chama kikuu cha upinzani Tanzania - CHADEMA ndugu Freeman Aikael Mbowe aligombea ubunge kupitia chama chake hicho.
Ilikuwa kwa vyovyote vile asitangazwe mshindi...
Habari za saa hizi ndugu zangu,
Aise! Maisha ni changamoto kubwa sana kwangu kwa sababu ya kukosa hata kodi ya nyumba. Nilikuwa nasoma chuo Dar es Salaam. Chuo nimemaliza natafuta kazi.
Elimu yangu: BA-ED (Bachelor of arts with Education). (Nimemaliza mwaka huu nasubiri transcript).
Masomo ya...
Salaam,
Kama kuna mwanasiasa ambaye amelipa gharama kubwa za kutetea upinzani hapa Nchini, basi Mbowe anaongoza kwa nyakati hizi. Tangu wakati wa Jakaya Mbowe ametumia sana rasilimali zake kuijenga CHADEMA, ameswekwa ndani na vipigo mara kwa mara.
Muhimu tu Jakaya alilinda UTU na alikuwa na...