ndugu

Leon "Ndugu" Chancler ( in-DOO-goo CHANSS-lər; July 1, 1952 – February 3, 2018) was an American pop, funk and jazz drummer. He was also a composer, producer, and university professor.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Waziri Simbachawene maini unayokula si anayokula Mtanzania maskini

    Umetetea sana hoja ya tozo kuonyesha kuwa maisha yamebadilika bla bla bla! Maini mnakula nyinyi tena ya gharama sana - maini hapa yanawakilisha tu mambo mengi ya anasa ambayo viongozi wetu mnapata na huku mtanzania maskini kabisa tena yule wa kijijini huko bado mnanyonya bila hata huruma...
  2. JamiiForums Tanzania Ufafanuzi hii Solidarity Fund ya Ndugu yetu Mwigulu!

    Wakati bado waziri wetu wa fedha anaendelea kutapa tapa kwa vigugumizi akielezea mambo ambayo naamini hata yeye mwenyewe moyoni mwake anajua anatekeleza wajibu tu na si ukweli, tunaambiwa ni namna ya watu wengi, wananchi washiriki kwenye kuchangia SOLIDARITY FUND! - hebu nisaidieni ufafanuzi wa...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe anatutukana watanzania kuwa sisi ni wajinga?

    Ndugu zangu mchana kutwa sikuingia humu jukwaani kwa kuwa nilikuwa katika mapambano ya maisha kama kijana, ndugu zangu nimeiona na kushtuka Sana video inayomuonesha mh Mbowe akitutukana watanzania kuwa sisi ni wajinga, nimesikitika sana ndugu zangu kwa dharau zake Mbowe kwetu watanzania. Ndugu...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Tuwatambue wenye kutaka kutuaminisha kuwa tu waoga

    Uzalendo ni pamoja na kuyaweka wazi yanayotukera katika nchi bila kujali yanafanywa na nani. Ndugu zetu pale kijitonyama, wasiojulikana, waziri Masauni hadi mama Samia tuvumiliane tu. Uzalendo kwanza. Tuwatambue wanaohaha kutusambaratisha kama Taifa Kuna maswali ya msingi kwa awaye yote...
  5. JamiiForums Tanzania Wekeza Kwa ndugu zako usaidiwe Majukumu!

    Jamii zetu nyingi ni masikini na ni watu wachache Sana ambao ndio wamefanikiwa na hivyo kuwafanya wawe na majukumu mengi Sana katika ukoo....na kuwafanya wawe kimbilio ktk maswala mbali mbali yawe ya furaha na kuhuzunisha. Na kibaya Zaidi ni kama vile watu hawa waliofanikiwa wanainjoi Sana kuwa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ukatili kati ya ndugu, wapenzi na watu wa karibu ndani ya jamii

    UTANGULIZI Ukatili ni hali ya kusabishwa kwa makusudi mateso na kukosesha raha dhidi ya mtu mwengine, Ukatili baina aya ndugu, wapenzi au watu wakaribu ndani ya jamii unaweza ukawa ni ukatili wa kijinsia au ukatili kwa watoto unaoweza kufanywa na rafiki kwa rafiki, mzazi kwa mototo, jinsia moja...
  7. JamiiForums Tanzania Fahamu kwanini ukiwa na tatizo ndugu yako Polisi hawezi kukusaidia bila wewe kutoa pesa

    Hello! Ikiwa uko selo ya polisi Tanzania, au ndugu yako yuko lupango ukimfuata rafiki yako au ndugu yako polisi akusaidie kumtoa jamaa yako lazima atakuzungusha na mwisho wa siku atakurudisha kwa mwenye jalada (a.k.a mwenye dili lake) Ni kama wameapa hakuna kuingiliana madili. Ukiwa na tatizo...
  8. JamiiForums Tanzania Makabila haya mtu ukifanikiwa jiandae kujaza ndugu tegemezi kwako ama kukuomba misaada kila mara, ukikataa unaonekana huna undugu

    kuna hii tabia inakera sana kuna baadhi ya watu katika makabila flani wakishaona ndugu / kaka / dada yao katoboa ama ndugu yao wa kike / dada yao kaolewa na mtu mwenye maendeleo si haba basi huenda kujazana huko. Wanakula na kulala hapo bila kazi maalum. Nyuma ya hii tabia hakukosekani...
  9. JamiiForums Tanzania Usiku mwema ndugu Augustino Lyatonga Mrema

    USIKU MWEMA NDUGU AUGUSTINO LYATONGA MREMA. Leo 13:15hrs 21/08/2022 Usiku mwingine tena,mwamba umelala,daima tutaikumbuka mikutano yako na wananchi, mabomu ya machozi yaliyokuwa yakipigwa, khanga zilizokuwa zikitandikwa na akina mama ili utembee juu yake wakati ukipita mitaani na mambo...
  10. JamiiForums Tanzania Ndugu wa marehemu Erick Kisauti wawatuhumu bongo movies kufuja milioni 60 za rambirambi

    Ndugu wa msanii wa vichekesho Eric Kisauti ambaye alifariki siku kadhaa zilizopita wametoa tuhuma nzito wakiwatuhumu waliosimamia msiba wa ndugu yao kupora kiasi cha shilingi milioni 60. Tuhuma hizi zilijibiwa na wasanii waliopata nafasi ya kwenda kuzika kwa kuweka wazi kwamba bajeti ya safari...
  11. JamiiForums Tanzania Wamama wengi wa Afrika huwafundisha watoto kuwachukia ndugu wa upande wa baba. Mashangazi ni wachawi, bibi mzaa baba anaturoga ila MJOMBA NI MAMA

    Familia nyingi sana za ki Afrika zina mpasuko mkubwa. Ndugu wa mume wakitembelea familia hufanyiwa vitimbi na vibweka vya kila aina. Wakija dada wa baba wa mwenye nyumba watasimangwa kwa maneno mbalimbali kwamba wamekuja kuvunja ndoa, wameleta uchawi na mbaya zaidi inafikia wanakataliwa hata...
  12. JamiiForums Tanzania Serikali iwajibike kwa Ajali za barabarani zinazomaliza watanzania

    Matukio ya ajali za barabarani yanaonekana kushamiri maeneo mbalimbali nchini huku watanzania wenzetu wasio na hatia wakipoteza maisha na wengine kubaki na ulemavu wa kudumu. Hivi ni kweli amekosekana mtu wa kuwajibika kwenye hili la ajali za barabarani? MTWARA watoto wa shule wameoteza...
  13. JamiiForums Tanzania Mamlaka za Jiji la Dar zitafute ufumbuzi wa tatizo la ardhi ya mazishi ya ndugu wanaotutoka

    Nimeshiriki mazishi kadhaa katika sehemu mbalimbali za Jiji la Dsm, na kujionea jambo ambalo hakuna mamlaka inayolizungumzia wala kulitafutia ufumbuzi wa kudumu. Jambo nililoliona kuwa na changamoto kubwa ni ufinyu wa maeneo ya kuzika wapendwa wetu, nilichosikitishwa nacho zaidi ni pale baadhi...
  14. JamiiForums Tanzania Huu si ni utapeli ndugu zangu?

    Kutokana na umri wangu wa kukaribia kuwa mzee, nimeamua kuwa bize na mambo ya Mungu, pamoja na kutofanya matumizi yasiyokuwa na tija. Changamoto inakuja kwa michepuko yangu miwili; mmoja ana mtoto, mwingine ndio yuko mjamzito, atazaliwa huko baadaye. Huyu mwenye mtoto; mara kwa mara...
  15. JamiiForums Tanzania Ndugu zangu nawaomba tuendelee kuwaombea dua wapalestina

    Allah awajaalie na awakinge ndugu zetu wapalestina dhidi ya hao madhaalimu wakubwa. Ushindi upo karibu sana, Allah muweza afanikishe, awape subra na awapumzishe mashaahidi wote pema peponi.. Aamiin! Naomba muyasikilize maneno haya ya huyu mtoto wa kipaletina, Maneno ya uchungu na yenye kutia...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Je, hii inaweza kuwa anxiety disorder?

    Kipindi nasoma advance mzazi wangu alinionya na kuniambia jirani yangu ana mamb ya kichawi ,na nilikuwa sipendi kabisa wajue mambi yangu hususan ninasoma wapi. Ikatokea siku nikiwa nalipa ada kwa wakala baada ya kumaliza wakati naondoka nikamuona mtoto mmoja wa ile familia akiwa mazingira yale...
  17. JamiiForums Tanzania Lini viwanja vitakarabitiwa angalau sehemu ya pitch

    Jaman ligi yetu kama mnavyoiona kila siku inazidi kukua. Pili kwa macho ya mbali ndio inaweza kuja kuwa ligi ya tatu kwa ukubwa hasa kwa kuwavutia wachezaji wa kigeni tokana na kaliba au asili ya watanzania kuwa waungwana na wakarimu kwa wageni bila ubaguzi,hichi ambacho wachezaji wengi wa...
  18. JamiiForums Tanzania Ewe Allah! Wape nusra ndugu zetu wa palestina

    Amiin thumma amiin!
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Wakenya kwa kauli hizi, anafaa kuwa Rais huyu ndugu yenu?

  20. JamiiForums Tanzania Nasema uongo ndugu zangu?

    Kwani nasema uongo ndugu zangu?........huwa wanasema sisi wanaume wafupi huwa hatujiamini...lakini nimekuja kugundua sifa hizi zifuatazo mwanaume mfupi akiwa nazo huwa zinamuongezea kujiamini au zinamfanya ajiamini. ( a ) Ukiwa msomi walau shahada moja na kuendelea lakini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…