ndugu

Leon "Ndugu" Chancler ( in-DOO-goo CHANSS-lər; July 1, 1952 – February 3, 2018) was an American pop, funk and jazz drummer. He was also a composer, producer, and university professor.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ndugu alisomeshwa sekondari hadi chuo na kusaidiwa kupata kazi kakata mawasiliano kabisa na familia iliyomsaidia na kumjali, ni sawa?

    Bamkubwa wangu aliweza kumsomesha ndugu yake aliekuja nyumbani kwake kutoka kijijini, aliweza kumsomesha form 1 hadi chuo na kumtaftia kazi. kijana huyo aliweza kupokelewa vizuri na kuwa sehemu ya familia, yani kuanzia bamkubwa, mke wake, watoto wao watano na wengine kwenye nyumba waliishi nae...
  2. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini watu mliofanikiwa mnawatendea vibaya ndugu zenu?

    Habari za wakati huu wanajf kuna hope mko powa? Niende moja kwa moja kwenye mada maana hili suala huwa naona kama ndugu waliofanikiwa hawatumii akili. Miaka ya nyuma sana takribani kama miaka 12 enzi hizo sina mbele wala nyuma yaani hohehahe nilikuwa sina kazi yoyote ile but nilikuwa nimehitimu...
  3. JamiiForums Tanzania Nisaidieni Ndugu zangu

    Wakuu habari!!! Natumaini tuko poa sote,na kwa wale wapitao katika magumu Basi Mungu aweke rehma zake mambo yaweze kuwa mepesi. Tuje kwenye mada,ndugu zangu Mimi ni baba wa familia ya watoto wawili na mke mmoja. Nimeamua nije kwenu nahitaji msaada maana duuh!Hali inakoelekea naona mwanga...
  4. JamiiForums Tanzania Mwenye taarifa mpya alipo ndugu Lengai Sabaya kwa sasa atujuze

    Habari! Naomba yeyote mwenye update za ndugu yetu Kamanda mzalendo Lengai Ole Sabaya alipo na afya yake atujuze tafadhari. Shukrani 🙏🙏🙏 Wadiz
  5. JamiiForums Tanzania Huyu Geofrey Moses Nauye ni ndugu na Nape Nnauye?

    Nimeona kwenye mkeka wa wakurugenzi teuze Mpya na mabadiliko ya watendaji wa halmashauri jina hili la Geofrey Nauye ni mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya mji wa Newala sehemu ambayo alikuwepo Anko wangu katolewa kawekwa yeye Swali langu Je huyu ni ndugu na Nape maana naona majina ya Kati na...
  6. JamiiForums Tanzania Ndugu Gwajima, hii barabara isipotengezwa kiwango cha lami, kura katafute Mbweni!

    Hii barabara ina walalahoi wengi, Hii baabara inaenda baraza la mitihani Hii barabara inaweza kuunganisha Mbezi Ndumbwi na barabara ya Goba Hii barabara ina hudumia shule kubwa ya St Mary's Hii barabara tayari ilishajengwa madaraja mawili kuunganisha vitongoji vya kwa Maranda na dispensary ya...
  7. JamiiForums Tanzania Nimekuja Pwani huku, Niombeeni Ndugu Yenu

    Kwema humu wadau? Nina siku saba tangu nije huku Pwani kwa masuala binafsi.. Aisee niombeeni nikumbuke kurudi Nyumbani.
  8. JamiiForums Tanzania Kwa wale tunaolala sebuleni kwa ndugu njooni tupeane mbinu za kivita

    Kuna muda unaweza kwenda kwa ndugu kuwasalimia iwe likizo au kutalii mji, ila bahati mbaya wakawa wana chumba kimoja tu na sebule, hivyo ukaambiwa utakuwa unalala sebuleni na watoto wadogo pale. Sasa wale wahanga njooni mtuambie ukitaka kwenda bafuni kuoga unafanyaje, na vipi ukitaka...
  9. JamiiForums Tanzania Ndugu zangu hii siyo love bite kweli?

    Huyu mwanamke ananifanya mimi mtoto mdogo, eti ananidanganya katembelewa na mdudu.😡😡
  10. JamiiForums Tanzania Visa nilivyokutana navyo, baada ya kumtembelea rafiki yangu mpenda matatizo

    Mimi intelli Kama nijulikanavyo ni mzee wa kauli ya "I mean no malice to nobody" - ila nilijuta Baada ya kwenda kumtembelea Jamaa yangu wa mkoa fulani. Aisee Kuna watu wanapenda Shari na ugomvi Kama vile ni chakula, nami nikaona SI mbaya nikishare nanyi niliyo yaona huko. Namnukuu Kisa Cha...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Msaada: Yeyote anayemjua mtaalam anayeweza kumrejesha ndugu yetu aliyefariki kifo cha kutatanisha

    Salamu kwenu jukwaa! Kama maada inavyosema, sijaleta kichekesho ila nimeleta shida mbele yenu wana-jukwaa. Tanzania ni nchi kubwa sana na ninaamini kuna watu waliwahi kukumbana na shida ya kuondokewa na ndugu yao katika mazingira yaliyoacha shaka kubwa kama ambavyo imetutokea sisi na...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Wazazi na walezi kuna vyuo vya ufundi kwa watu wenye ulemavu, tuvitumie

    Ndugu zangu Watanzania kwanza nianze kwa kutoa ufafanuzi kidogo juu ya VYUO hivi vya ufundi Kwa watu wenye ULEMAVU. Hivi ni VYUO vilivyoanzishwa maalum kwaajili ya kuwasaidia walemavu kupata ujuzi na stadi za maisha Ili waweze kujitegemea na pia kujichanganya na jamii wanamo ishi. VYUO hivi...
  13. JamiiForums Tanzania Ndugu zangu wa Jimbo la Hai , mpeni Ubunge SHABAN MWANGA Uchaguzi wa 2025

    Nimepitia Kila kona nimeona Huyu kijana anafaa kuwa mbunge wa Jimbo la Hai. Tutaweka picha yake hapa na majukumu makubwa aliyoyafanya jimboni Hai.
  14. JamiiForums Tanzania Ndugu zangu wa Jimbo la Iringa Mjini, mpeni Ubunge ASAS Uchaguzi wa 2025

    ASAS amekuwa tegemeo kubwa sana kwa Wana iringa mpaka njombe...licha ya kutoa maziwa bure mashuleni kwa mikoa ya IRINGA na Njombe PIA amewanyanyua watu wengi Sana kiuchumi Wenyeji ni mashahidi. MPENI JIMBO ASAS 2025, PEDE UYO TUTIGILAGE MYETU HELA. NB: HAYA NI MAONI YANGU BINAFSI YASITAFSIRIWE...
  15. JamiiForums Tanzania Tunatengeneza Tanzania gani kwa kudhihaki waliokufa?

    Kauli ya Mzee Makamba ya kusema mungu anawaua wabaya na kuwaacha wema na akawataja majina imeniumiza sana binafsi,baada ya kauli hiyo nikawakumbuka wapendwa wangu walioufa,kwa namna ya pekee nikamkumbuka Hayati Rais John Pombe Magufuli aliyekufa akilitetea Taifa kwa damu na nyama hakulala...
  16. JamiiForums Tanzania Ulipokua ugenini kwa wakwe au ndugu kumbukumbu gani ya kushare choo ilikupa ugumu

    Unakuta nyumba ina watu si chini ya saba choo kimoja basi asubuhi ni nani anaanza nani anamaliza... Au choo kipo eneo la barazani na ndugu na jamaa barazani ndo kijiwe Wakati hali iko hivyo mkojo wa asubuhi hakuonei huruma... Au tumbo linaamua tu kukuharibia... hahahah
  17. JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Punyeto, Wivu na Uoga vinanitesa. Naona maisha yangu yapo hatarini

    Habari ya uzima wakubwa kwa wadogo, natumaini uzima upo lakini wale ambao Wana shida ya Afya basi Mwenyezi Mungu awajalie uzima. Niende kwenye shida yangu, mm ni kijana nina Miaka 20, shida yangu nimeathirika na masterbation (Punyeto), yaani naona hichi kitendo kama nimeshindwa kuacha kabisa...
  18. JamiiForums Tanzania Nilichogundua shida maofisini kwenye utoaji wa huduma hazipo kwa Mabosi, zipo kwa wasaidizi

    Husika na mada hapo juu tunawaomba MA-PS (Baadhi), huko MAOFISINI mtuhudumie kwa upendo na kwa haraka, nimefanya utafiti kidogo nimegundua kumbe mabosi wana moyo wa kutuhudumia Ila wanakwamishwa na masekretari wao. Mfano; 1. Ps unamsalimia hakujibu kwa makusudi. 2. Ps anakataa usionane na boss...
  19. JamiiForums Tanzania Kuna ile furaha unaipata unapomsaidia mzazi/mlezi, ndugu au jamaa hela au chochote, ni special sana

    Sijawahi jihusisha na ulevi wa aina yoyote hivyo siwezi linganisha ila kuna raha unakua unaipata ni kali sana pale unapomsaidia mtu, akatatua tatizo pake, Hua najiuliza wale wabahili wa pesa hua hawajui hilo jambo? Nadhani ni zaidi ya pombe au uraibu mwingine
  20. JamiiForums Tanzania Ndugu Nape, kwenye hili pia Mungu ameamua ugomvi?

    Mbunge wa jimbo la mtama ndugu Nape Nnauye aliwahi kusema kuwa kifo cha rais Magufuli ni Mungu ndiye aliye amua ugomvi, swali langu kwake je, kifo cha Membe ni Mungu pia ameamua ugomvi dhidi ya ndugu Cyprian? Fundisho: Tuchunge midomo yetu, tusiendeshwe na hisia zetu, tutumie akilizetu vyema ku...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…