Ndugu Mtanzania unalijua kundi lako la damu?

uran

JF-Expert Member
Nov 11, 2013
7,579
10,811
Wakuu hebu tujibu hili swali,

Ni wangapi kati yetu wanajua wako kundi lipi la Damu?

Kama unajua litaje.

Leo nimegundua watu wengi sana hawajui kabisa hili jambo dogo na muhimu kwenye maisha yetu.

Kuangalia (kucheck) ni gharama ndogo sana.

Btw who is your blood group partner here JF.

Kucheki blood group kwa maabara inaweza ku range 5k to 10k.

Kujua Kundi lako ni muhimu hata kwenye mambo ya uzazi.(I will explain more)

Na kuchangiwa damu.
 
Back
Top Bottom