ndugu

Leon "Ndugu" Chancler ( in-DOO-goo CHANSS-lər; July 1, 1952 – February 3, 2018) was an American pop, funk and jazz drummer. He was also a composer, producer, and university professor.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Usiwasahau ndugu kisa una marafiki, tujifunze kuwapa nafasi wote

    Kuweka stori iwe fupi ni kwamba ndugu huyu alijiingiza kwenye kununua mali iliyotumika pasipo mkataba wala risiti, kanasa kwenye tundu hapo juzi na kiasi kilichohitajika ili achomoke ni milioni 1. Ana marafiki wengi lakini kwenye hili tatizo wameingia mitini ni wawili tu ndio wamechangia cha...
  2. JamiiForums Tanzania Watu wa Dar acheni kuwatelekeza ndugu zenu stendi

    Watu wengi wanaoishi Dar es salaam wakipigiwa simu na ndugu zao wa mikoani, hawataki kusema ugumu wa maisha ulioko Dar es salaam badala yake wanasifu uzuri wa jiji na raha zilizoko kwenye jiji hilo namba moja nchini Tanzania. Kupelekea kuwafanya na ndugu walioko mikoani kutaka kufunga safari...
  3. JamiiForums Tanzania Kama sio huyu mama sijui ingekuwaje ndugu zangu

    Ndugu zangu nimeona niwasanue mapema usipopata mchongo ama ajira awamu hii ya mama Samia imekula kwako kama kijana ambaye kitaa kilinichakaza vya kutosha nakushauri fanya yafuatayo 1. Suka Cv yako sambaza kwenye NGOs na private companies . nakushauri hivi kwasababu kuna kundi kubwa la washkaji...
  4. JamiiForums Tanzania Usimkopeshe ndugu yako

    Habari🖐 Kwa miaka mingi nilikiwa nikisikia huu usemi, sasa nimeuamini. Usimkopeshe ndugu yako, hata kama anakuja kwa kuburuza magoti na machozi yanamtiririka. Usimkopeshe ndugu yako, kama una hela, msaidie, aende zake, mbaki na amani. Narudia tena usimkopeshe ndugu yako, kama ana shida bac...
  5. JamiiForums Tanzania Ndugu zangu UKIMWI is real

    Ndugu zangu, vijana, wazee na watoto ukimwi upo, na una endelea kuteketeza nguvu kazi ya familia na Taifa vibaya sana. Utaskia waombolezaji na watu wa karibu wakijifariji na kujipa moyo wa matumaini, ''aah jamaa, sukari na pressure imemsumbua muda mrefu sana". Tena sasa hivi mgonjwa wa Ngoma...
  6. JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada ndugu zangu kwenye kupata Hati ya kusafiria

    Nina ndoto za kusoma nje, nilifanikiwa kupata chuo na scholarship lakini napata changamoto nimekosa passport yaani nimenyimwa sababu mzazi alishindwa kujieleza yaani alipishana kauli na Afisa uhamiaji. Sasa nimepeleka documents zote na barua ambayo nimetumiwa na chuo ili wanisaidie hata...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Naweza kuongezewa mkopo HESLB?

    Habarini ndugu zangu naomba kuuliza kama nimepata mkopo asilimia 20% je, naweza kuomba kuongezewa?
  8. JamiiForums Tanzania Kufikia guest vs kufikia kwa ndugu

    Let s say unaenda sehemu fulani ni ugenini na hiyo sehemu unayoenda inaweza kuwa na ndugu zako au marafiki vipi ni bora ufikie guest au kwa ndugu? Hilo ni swali sasa twendeni kwenye point au ujumbe niliotaka ku-share hapa. Nilisafiri last month kutoka mkoa ninaoishi kwenda mkoa fulani...
  9. JamiiForums Tanzania Ujio mpya wa Ndugu Paul Makonda ndani ya CCM ni mfano wa Injili ya Mtume Paulo katika Biblia

    Kipekee kabisa natumia fursa hii tena kuutazama uteuzi wa Paul Makonda kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM kama dhamira njema ya Rais SS Hassan kuisogeza CCM karibu na wananchi hasa katika kusimamia watendaji wa serikali ili CCM kupitia Serikali yake iweze kutimiza ahadi zake na malengo kwa...
  10. JamiiForums Tanzania Hizi ndio sababu huwa sitaki kuwaweka ndugu kwenye biashara zangu, Ni heri niwape mitaji wafungue biashara zao wapambane kivyao !!

    Biashara ntashirikisha familia yangu niliyoijenga (hasa watoto) ama familia niliyotokea (kaka, dada, wadogo zangu, wazazi), nje ya hapo hawa watoto wa mjomba, ma mkubwa, ba mkubwa, ba mdogo, ndugu flani, n.k. sidhani kwakweli, undugu uwepo na ninaweza kuwasaidia mitaji ama kuwasimesha pamoja na...
  11. JamiiForums Tanzania Mimi na Ndugu yangu Gentamycine tunawatakia Simba Ushindi wa Kishindo

    Ukihitaji salamu subiri kwanza mechi ya kesho iishe! Mimi TUKANA UONE a.k.a Mpiga lamination mbele na nyuma! Pamoja na ndugu yangu na mtani wangu GENTAMYCINE a.k.a Mkunyubenga Kwa Pamoja tunawatakia Timu ya Simba ushindi mnono hiyo kesho pale kwa Mkapa.Mimi kama shabiki wa mabingwa wa nchi...
  12. JamiiForums Tanzania Ndugu Mtanzania unalijua kundi lako la damu?

    Wakuu hebu tujibu hili swali, Ni wangapi kati yetu wanajua wako kundi lipi la Damu? Kama unajua litaje. Leo nimegundua watu wengi sana hawajui kabisa hili jambo dogo na muhimu kwenye maisha yetu. Kuangalia (kucheck) ni gharama ndogo sana. Btw who is your blood group partner here JF...
  13. JamiiForums Tanzania Safari bado ndugu yangu, hujamaliza!

    1. Dada umejifungua salama usianze kudelete namba za wakunga au kuondoka kwa kibri Hospital. 2. Umemaliza masomo usianze kudelete namba za wenzio mliosoma nao. Safari bado inaendelea. 3. Umeacha kazi au umefukuzwa usianze kutukana watu safari bado ndugu. 4. Umefanikiwa kiuchumi usipandishe...
  14. JamiiForums Tanzania Yahudi na Palestina ndugu waliotengana muda mrefu nakusahauliana kulingana na mitazamo ifuatayo

    Mkuu ukiangalia vizuri utagundua awa jamaa ni ndugu tu Ona. Wao wanaita Mungu el (wayahudi) Wapalestina wanaita Mungu alha Awa vita yao haitoisha kabisa mpaka Mungu arudi labda. Maana ukicheki bible inasema watatangatanga, watachukuliwa utumwa, watapigana wao kwa wao. Mpaka wapate msamaha...
  15. JamiiForums Tanzania Mkuu wa HAMAS apoteza mwanaye na ndugu baada ya bomu la Israel kupiga kwake

    Maafa yamemfikia mkuu wa HAMAS baada ya bomu kupiga kwake nyumbani na kuua wote waliokuwemo, nashangaa sana kwamba yeye aliamrisha makombora kwenda Israel halafu hakutorosha familia yake wakaishi kwenye mafichoni, kawaanika tu kizembe, haya wamewahishwa mbele za haki. Israeli wanaendelea...
  16. JamiiForums Tanzania Shafii uliepo Dar habari zikufikie ndugu

    Siku hizi mimi sisalimiagi, twendelee
  17. JamiiForums Tanzania Double Standards za wanawake kwa waume zao dhidi ya ndugu zao wa kiume kama vile kaka zao

    Wanawake ni viumbe wa kustaajabisha sana. Nakupa mifano michache kuonesha jinsi wanawake wanakuwa na double Standards kwa jambo moja lile lile dhidi waume ama wapenzi wao na ndugu zao wa kiume kama vile kaka zao. 1. Wanawake wako tayari na wanafurahia sana kuona kaka ama ndugu zao wa kiume...
  18. JamiiForums Tanzania Natumiwa sana na ndugu zangu kwenye shida zao. Zikiisha wanapotea

    Yaani natumika sana na watu wanaokuwa na ukaribu na mimi wakihitaji msaada wa kifedha au kihisia Kwa sasa naweza sema ukiacha ndugu zangu, watu wote waliobaki wana ji attach kwangu tuu wakiwa na shida. Kuna mmoja yakimkuta kwa siku utapokea simu zaidi ya kumi, kila mara, akishatatua shida yake...
  19. JamiiForums Tanzania Maana mbaya ya Emojis kwenye Jamii imefanya nikosane na Bebi wangu

    Salamu nishawaachia waswahili! Hii Emoji sijajua kwenu ina maana gani lakini kwangu ninavyofahamu ni Tunda aina ya Fulisi(Mafulisi) au kwa kisorongai uitwa Peach(Peaches). Mimi huwa ni mdau mkubwa sana wa haya matunda,juzi nimeyanunua ya kutosha pamoja na matunda mengine,hivyo sikupata...
  20. W

    JamiiForums Tanzania Hivi ni nini hekima iliyopo nyuma ya ruhusa ya kuoana ndugu?

    Binamu wanaoana..... Watoto wa baba mkubwa na mdogo wanaoana. Zanzibar limetamalaki sana hili. Yote hayo mimi yamenishinda; yaani nikamuoe mtoto wa baba mkubwa/mdogo? Damu yangu? Nimeshindwa, nashukuru imani haijasema kwamba hilo ni lazima. Ningefukuzwa. Hivi hekima haswa iliyojificha nyuma...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…