Hivi ni nini hekima iliyopo nyuma ya ruhusa ya kuoana ndugu?

WhoWeBe

JF-Expert Member
Dec 18, 2022
2,301
4,243
Binamu wanaoana.....

Watoto wa baba mkubwa na mdogo wanaoana. Zanzibar limetamalaki sana hili.

Yote hayo mimi yamenishinda; yaani nikamuoe mtoto wa baba mkubwa/mdogo? Damu yangu? Nimeshindwa, nashukuru imani haijasema kwamba hilo ni lazima. Ningefukuzwa.

Hivi hekima haswa iliyojificha nyuma ya hili ni nini? Au nini historia ya hili?

Karibuni mnielimishe.
 
Binamu wanaoana.....

Watoto wa baba mkubwa na mdogo wanaoana......Zanzibar limetamalaki sana hili.

Yote hayo mi yamenishinda; yaani nikamuoe mtoto wa baba mkubwa/mdogo?!!!! Damu yangu?!!!! Nimeshindwa, nashukuru imani haijasema kwamba hilo ni lazima......ninfgfukuzwa.

Hivi hekma haswa iliyojificha nyuma ya hili ni nini?!!! Au nini historia ya hili?!!!

Karibuni mnielimishe.
USHAHIDI WA HILI?
 
Mwarabu alileta mila za hovyo sana Bongo. Wafuasi wa dini kwao ni kawaida jamaa kumuoa mtoto wa shangazi, mjomba, baba mkubwa, baba mdogo, na watoto wa mama mkubwa na mama mdogo. Hii ni kinyume kabisa na mila za asili kabla ya ujio wa wavurugaji hawa wa mila kutoka Uarabuni, ambao walikuja kuuza watu kama kuku huku wakilazimisha watu kufuata dini yao, ambayo kimsingi ni mila zao. Kutokana na hilo, unakuta magonjwa ya kurithi ya kigenetiki yanakuwa mengi miongoni mwao.
 
Uongo dhambi mapenzi ya ndugu ni matamu.

Yaani mtu mnajuana toka utoto aisee afu mnakuja kuunganisha vikojoleo.

Nishawahi na mtoto wa shangazi aloo ule utamu ni pro max maana ni damu moja. Kuja kuachana nae ni nilitumia nguvu nyingi balaa.

Mtoto ana papuchi tamu yule .

Shida hapo ni kuzaa watoto mazezeta .

NB: natoa angalizo usije jariby kudate na ndugu kuchomoka ni ngumu maana ule utamu wa sex sio wa nchiii hii.
 
Vijana kama nyie wa Hovyo mna mchango mdogo sana katika maendeleo ya Taifa letu🤣
 
Binamu wanaoana.....

Watoto wa baba mkubwa na mdogo wanaoana......Zanzibar limetamalaki sana hili.

Yote hayo mi yamenishinda; yaani nikamuoe mtoto wa baba mkubwa/mdogo?!!!! Damu yangu?!!!! Nimeshindwa, nashukuru imani haijasema kwamba hilo ni lazima......ninfgfukuzwa.

Hivi hekma haswa iliyojificha nyuma ya hili ni nini?!!! Au nini historia ya hili?!!!

Karibuni mnielimishe.

HUO NI UONGO NA UPOTOSHAJI!
Ndoa za kiislam hufungwa kwa misingi ya kiislam na ipo sura mahsusi kwenye Quran (Sura An - Nisaa) inayoelezea taratibu zote hizo nk.
Labda nikumegee kidogo Aya ya 23

(Sura An- Nisaa - 23)
"Mmeharimishiwa kuoa mama zenu, na binti zenu, na dada zenu, na shangazi zenu, na
khaalati zenu, na binti wa ndugu mume, na binti wa dada, na mama zenu walio
kunyonyesheni, na dada zenu kwa kunyonya, na mama wa wake zenu, na watoto wenu
wa kambo walio katika ulinzi wenu walio zaliwa na wake zenu mlio waingilia.
(Pia mmeharimishwa) wake wa watoto wenu walio toka katika migongo yenu. Na kuwaoa pamoja dada wawili isipo kuwa yale yaliyo kwisha pita. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe Mwenye
kurehemu"

NAOMBA NA WEWE UTUWEKEE KIFUNGU CHOCHOTE KWENYE BIBLIA KINACHO ONESHA NANI HURUHUSIWI KUOA
 
Mwarabu alileta Mila za hovyo Sana bongo. Wafuasi wa dini ya mwarabu kwao ni kawaida jamaa kumuoa mtoto wa shangazi, mjomba baba mkubwa ,baba mdogo na watoto wa mama mkubwa na mama mdogo. Hii ni kinyume kabisa na Mila za asili kabla ya ujio wa wavurugaji Hawa wa Mila kutoka uarabuni ambao walikuja kuuza watu kama kuku huku wakilazimisha watu kufuata dini Yao ambayo kimsingi ni Mila zao. Kutokana na hilo unakuta magonywa ya kurithi ya ki genetic yanakuwa mengi miongoni mwao
Haya kitaalamu tunayaita mapovu
 
Binamu wanaoana.....

Watoto wa baba mkubwa na mdogo wanaoana......Zanzibar limetamalaki sana hili.

Yote hayo mi yamenishinda; yaani nikamuoe mtoto wa baba mkubwa/mdogo?!!!! Damu yangu?!!!! Nimeshindwa, nashukuru imani haijasema kwamba hilo ni lazima......ninfgfukuzwa.

Hivi hekma haswa iliyojificha nyuma ya hili ni nini?!!! Au nini historia ya hili?!!!

Karibuni mnielimishe.
Mliochangia nao damu unawajua?
 
Mwarabu alileta Mila za hovyo Sana bongo. Wafuasi wa dini ya mwarabu kwao ni kawaida jamaa kumuoa mtoto wa shangazi, mjomba baba mkubwa ,baba mdogo na watoto wa mama mkubwa na mama mdogo. Hii ni kinyume kabisa na Mila za asili kabla ya ujio wa wavurugaji Hawa wa Mila kutoka uarabuni ambao walikuja kuuza watu kama kuku huku wakilazimisha watu kufuata dini Yao ambayo kimsingi ni Mila zao. Kutokana na hilo unakuta magonywa ya kurithi ya ki genetic yanakuwa mengi miongoni mwao
Lete andiko kutoka kwenye biblia linalo sema ni kosa kumuoa mtoto wa shangazi yako mama ndogo baba mdogo
 
Nani kakuambia naamini biblia? Uliza mababu zako kama wapo kabla ya ujio wa wakoloni huo upumbavu ulikuwepo kwenye ukoo wenu? Maana Sasa Kuna mitanzania imekuwaitumwa ya mila, tamaduni, Mavazi, vyakula na lugha za waarabu na wazungu kwa visingizio vya dini ambayo kimsingi ni Mila za hao mabwenyenye
 
Utamu utoke wapi kwa ndugu hizo ni nyege zinakusumbua

Kumbuka ndugu hufanana hadi harufu ya jasho
Uongo dhambi mapenzi ya ndugu ni matamu.

Yaani mtu mnajuana toka utoto aisee afu mnakuja kuunganisha vikojoleo.

Nishawahi na mtoto wa shangazi aloo ule utamu ni pro max maana ni damu moja. Kuja kuachana nae ni nilitumia nguvu nyingi balaa.

Mtoto ana papuchi tamu yule .

Shida hapo ni kuzaa watoto mazezeta .

NB: natoa angalizo usije jariby kudate na ndugu kuchomoka ni ngumu maana ule utamu wa sex sio wa nchiii hii.
 
HUO NI UONGO NA UPOTOSHAJI!
Ndoa za kiislam hufungwa kwa misingi ya kiislam na ipo sura mahsusi kwenye Quran (Sura An - Nisaa) inayoelezea taratibu zote hizo nk.
Labda nikumegee kidogo Aya ya 23

(Sura An- Nisaa - 23)
"Mmeharimishiwa kuoa mama zenu, na binti zenu, na dada zenu, na shangazi zenu, na
khaalati zenu, na binti wa ndugu mume, na binti wa dada, na mama zenu walio
kunyonyesheni, na dada zenu kwa kunyonya, na mama wa wake zenu, na watoto wenu
wa kambo walio katika ulinzi wenu walio zaliwa na wake zenu mlio waingilia.
(Pia mmeharimishwa) wake wa watoto wenu walio toka katika migongo yenu. Na kuwaoa pamoja dada wawili isipo kuwa yale yaliyo kwisha pita. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe Mwenye
kurehemu"
Mkuu naona umekuja na Kuleta mada ya DINI ambayo mleta mada hakuleta na hakusema hivyo...
Kuhusu Zanzibar ni kweli wanaonana mtoto wa Ami na ami yake..Ambaye ni sawa na kusema mtoto wa baba mkubwa au bamdogo ni kitu cha kawaida katika uarabu na uzanzibar tumeishi huko tunaona na tunajua...

Usichanganye uarabu na uislamu au uzanzibar na uislma ni vitu tifauti
 
Back
Top Bottom