ndugu

Leon "Ndugu" Chancler ( in-DOO-goo CHANSS-lər; July 1, 1952 – February 3, 2018) was an American pop, funk and jazz drummer. He was also a composer, producer, and university professor.

View More On Wikipedia.org
  1. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ndugu zetu wetu wa pwani hii aina ya ukataji viuno wa mabinti ilikuwepo tangu enzi au sasa imekuwa re-generated hadi kupitiliza?

    Kwa sisi tutakao nangoromboko vitu kama hivi tumekuwa kuviona huku kwenu. Mtundiko, baikoko, etc ni design ya ngoma zipatikanazo maeneo ya pwani, zimekuwa na maudhui ya wanawake kukata viuno hadi inakuwa "18+". Sasa sijui ni mabinti wa siku hizi wameongeza manjonjo hadi kupitiliza au tangu...
  2. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu Kuna upendo kweli hapa?

    Wakuu huyu mwanamke nampenda sana na anadai ananipenda sana, Sasa issue ipo kwenye mahari. Binafsi Nina 1m kwa ajili ya ndoa ila Cha ajabu yeye anataka 2.6m anataka akiba yote niinvest kwenye mahari na ndoa jamani hii imekaa sawa?? Namuuliza anasema kama vipi tuachane. Mimi nimemwambia ukweli...
  3. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Kijana huyu kaniumiza sana ndugu wabaya sana

    Hello Hii kitu ni ya ukweli kabisa sio kutunga nimeshuhudia kulikuwa na usahili hivi juzi huyu kijana unasemekana kwao ana chezewa na ndugu zake kapatwa na matatizo ya kutosikia kabisa mpaka uwe jirani yake ndio umshute aelewe kinacho ongeleka ila nje ya hapo hasikii Wakaita jina lake...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Poleni ndugu zangu maana hii ni zaidi ya kufiwa

    Niaje niaje............najua kuna baadhi tunaishi huku wengine wana ndugu wengine jamaa na kadharika.........ila ili limenigusa sana .........maana kurudi tena nyumbani kuja kuanza upya ni kisanga .......ingawa nyumbani ni nyumbani hata kama ni kichakani...........
  5. Desierto

    JamiiForums Tanzania Nimetazama hii picha ya mwanaume aliye iacha familia na Ndugu zake TZ kweli jamaa wamejitolea aisee

    Nawaombea wote warudi salama💪
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Responded Wananchi wa Vijiji viwili Jimbo la Namtumbo warudisha t-shirt na fedha za Mbunge wao Vita Kawawa!

    Nimeona hii clip, wenyeji wa huko tuambieni kama ishu ina ukweli hii? ====================================== Wakizungumza na Wawakilishi wa Mbunge wa Jimbo la Namtumbo, Vita Rashid Kawawa, Wananchi wa Kijiji cha Mlalamiwa na Matepwende wamedai hawawezi kupokea zawadi za Mbunge wao wakati...
  7. S

    JamiiForums Tanzania KERO Waziri Mchengerwa, sisi walimu wa Wilaya ya Busega tunaomba msaada wako juu ya Mkurugenzi wa Wilaya

    Mheshimiwa Waziri, Sisi, walimu wa Halmashauri ya Wilaya ya Busega, tunakuandikia kwa huzuni na wasiwasi mkubwa kuhusu vitendo vya ukaidi na unyanyasaji tunavyopata kutoka kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Busega, Ndugu Marco Kachoma. Tangu mwezi wa Agosti 2024, tulipomuandikia barua...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lema afunguka baada ushindi wa Tundu Lissu Uchaguzi CHADEMA, Mbowe ni kaka yangu ila Lissu ni bora zaidi wakati huu

    Godbless Lema avunja ukimya baada ya ushindi wa Tundu Lissu Uchaguzi CHADEMA adai yeye kwenda kinyume na Mwenyekti Freeman Mbowe ilikuwa ngumu sana. "Nitendo gumu la kisiasa, katika matendo magumu ya kisiasa nimeshawahi kuyafanya hili ni namba moja katika maisha yangu, Mbowe ni kaka yangu, ni...
  9. Dialogist

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu mi ni mgeni wa hili jukwaa, ila naomba mnipokea na hii idea... wote mtafurahia...

    Kila mmoja achati kwa lugha anayoijua mradi usitukane... Unaweza kutumia google translator... Mimi naanza.. Nǐmen hǎo ma, wǒ de péngyǒumen. Wǒ de míngzì shì nǐ de zhàngfū
  10. white_charcoal

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu wa mikoani tushirikiane kutimiza wazo langu la biashara

    Awali ya yote, Nashukuru Sana kwa kutenga muda wako na kupitia Uzi huu. Leo nimepata wazo la biashara linalohusiana na kutoa huduma kwa watu mbalimbali hasa wa mikoani na wale wote ambao wapo nje ya jiji la Dar es salaam. Nimepitia Nyuzi nyingi na mitandao mingi ya kijamii kwa muda mrefu...
  11. nipo online

    JamiiForums Tanzania Jamaa alieoa dada yangu mgumu kuwasiliana na sisi ndugu wa mkewe

    Huyu jamaa ni kweli tulimkabidhi dada yetu kifamilia, lakini baada ya miezi 6 kupita kuwasiliana adi tumpigie sisi, na sisi tumeamua hatutomtafuta akijisikia sawa tu, Jengine bado hajamalizia mahari, kuhusu maisha wanaishi vizuri na dada yetu ila sina uhakika 100%. Nyie vijana acheni dharau...
  12. Godinho7

    JamiiForums Tanzania Msaada wa dawa ya fangasi sehemu za siri

    Habari Ndugu, Mara nyingi nimekuwa nasumbuliwa na muwasho kwenye kichwa cha Uume , Nikipima mkojo naambiwa fangasi nyingi kwenye mkojo. Je, Dawa yake nini?
  13. mkaskaz

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kijana wangu ana changamoto kwenye shingo

    Kijana wangu ana changamoto kwenye shingo yake kama inavyoonekana kwenye picha. Mshipa wa upande mmoja umevimba tofauti na wa upande wa pili. Umri wake ni mid 30s, hanywi pombe wala kuvuta sigara. Tatizo hapa linaweza kuwa ni nini ndugu zangu? Zingatia kwamba hana maumivu yoyote yanayomsumbua...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Nina tatizo la kutokulipwa pesa zangu pindi ninapo wakopesha ndugu jamaa na marafiki wa karibu. Imepelekea kuvunja uhusiano wa karibu na hao wakopaji

    Heri ya mwaka mpya ndugu zangu wa JamiiForums. Hii ni post yangu ya kwanza ya mwaka huu wa uchaguzi 2025. Natumai uchaguzi utakuwa na mambo mengi sana tutaona sura mpya nyingi za wabunge pale mjengoni. Kwenye mada sasa. Ebhana nimekaa chini na kutafakari nikagundua nimedhulumiwa vihela vyangu...
  15. T

    JamiiForums Tanzania NDUGU ZETU, KARIBUNI TUINGIE KKWA MLANGO HUU .... TUNAWAPENDA!

    https://youtu.be/BtJKuCfA0pE?si=CM2pbLwJ3Ki3uPQ1
  16. FK21

    JamiiForums Tanzania Ndugu Walimu, tujiandae na matumizi ya kompyuta

    Inavyoonekana USAILI wa mchujo kunaweza kuwa na computer.
  17. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Habari za muda huu ndugu zangu, Kwa majina naitwa Leilah binti wa miaka 23 jinsia mwanamke. Lengo la kuandikia ujumbe huu ni kuomba msaada wenu wakubwa. Nina u1hitaji wa ajira yoyote ile nitafanya (am strong enough)nitafanya kwa uamanifu na heshima ya hali ya juu Kuhusu elimu pia nimesoma hadi...
  18. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Ndugu Zangu, Hususani wa Jukwaa la Siasa, Hakikisha Miongoni Mwa Malengo Yako Kwa Mwaka 2025, Unakua na Bima Ya Afya.

    Itakusaidia sana na kukuepusha na fedheha za kujifungia ndani kwasababu huna pesa ya matibabu, au kujiuguza kwa kukimbilia kununua panadol tu, au kufakamia dawa ambazo si sahihi kiholela dhidi ya ugonjwa au maradhi yatakayokua yanakusumbua, Lakini pia bima ya afya inaondoa unyonge na inaweza...
  19. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Ndugu Zangu Waislamu, Kwanini Waarabu Wanakimbilia Kwenye Mataifa ya Makafiri Badala ya Nchi za Kiarabu Kama Saudia na Qatar?

    Katika miongo ya hivi karibuni, Ulaya imekuwa ni eneo la mchanganyiko wa tamaduni, ambapo mamilioni ya wahamiaji kutoka sehemu mbalimbali za dunia wamekuwa wakielekea huko. Miongoni mwao, kuna idadi kubwa kutoka nchi zenye Waislamu wengi, wakiileta tamaduni zao mbalimbali na mitazamo tofauti...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Ndugu zetu msio taka katiba na demokrasia tuelezeni sababu!

    Kuna watu hapa hawataki kusikia katiba mpya na wanaunga mkono wizi wa kura , hawasemi lolote watu kutekwa lakini cha ajabu wanasema wenyewe ni wazalendo. Sasa watueleze sababu zao za kufikiria wanalitendea haki taifa hili. Cha ajabu wengine ni usalama wa taifa na Polisi! Tupeni sababu zetu...
Back
Top Bottom