ndugu

Leon "Ndugu" Chancler ( in-DOO-goo CHANSS-lər; July 1, 1952 – February 3, 2018) was an American pop, funk and jazz drummer. He was also a composer, producer, and university professor.

View More On Wikipedia.org
  1. Son of Israel from Africa

    JamiiForums Tanzania Ndugu yangu anauliza kuhusu Western Govern University kuna anayefahamu

    Habari wana Jamvi Huyu ndugu yangu aliomba mafasi ya kazi WESTERN GOVERN UNIVERSITY anasema nafasi zilikuwa Arusha . Lkn cha kushangaza alitumiwa mail atume vyetu,kitambulisho Na video short inayomtambulisha yeye ni nani And baada ya hapo akambiwa amepta kazi na mkataba akatumiwa Hoja ni...
  2. ngara23

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu wakristo, mke mmoja anatosha?

    Tuseme tu Kwa uwazi Tusifiche Mke mke anatosha au kuwa na mpango kando laZima
  3. gallow bird

    JamiiForums Tanzania Houthi warusha kombora la balistiki huko Israel wakati waisrael wenye ndugu mateka wakielekea gaza Ili wachukuliwe mateka au wauawe na jeshi lao

    Usiku wa kuamkia leo ving'ora vilisikika ndani ya Israel kuashiria ujio wa kombora hasimu, wateule hao wa mchongo walioonekana kuhaha kutafuta pahala salama pa kujificha. Hata hivyo IDF ilidai kulitungua kombora hilo wakati houthi walidai lilipiga shabaha yake huko jangwa la Negev Wakati huohuo...
  4. THE BEEKEEPER

    JamiiForums Tanzania Msaada ndugu zangu demu wangu kaondoka na nguo zangu za ndani tu?

    Habari Nimetoka chuo mda huu nimefika geto, nina kawaida ya kwenda kuoga kwanza. Nimetoka kuoga naona Nguo zangu za ndani zote hazipo nampigia demu simu kaniblock nipo confusion msaada
  5. Sauti ya Umma

    JamiiForums Tanzania Katbu mkuu wa chama cha Sauti ya umma (SAU) ndugu Kyara awasha moto

  6. B

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni Kazi. Nina elimu ya kidato cha nne

    NATAFUTA KIBARUA NDUGU ZANGU Mimi Ni kijana (me), mkazi wa TABATA KINYEREZI. Nina elimu ya kidato cha nne na ninategemewa na familia yangu—mke na watoto wawili. Kutokana na changamoto za maisha, natafuta kibarua chochote cha halali ili niweze kuhudumia familia yangu. Nina uwezo wa kufanya kazi...
  7. Nusratt

    JamiiForums Tanzania Usithubutu kumshirikisha Ndugu kwenye Mafanikio yako, Utajuta. Yamenikuta

    Imeandikwa na mdau toka Mbeya:- Nilifungua Mini-Supermarket mahali ili kujikwamua kiuchumi. Nikaona si mbaya kumshirikisha ndugu yangu wa kike wa damu wa kuzaliwa tumbo moja mafanikio yangu ili siku moja moja naye anaweza kuja kuniungisha kununua mahitaji hapa kwangu. Alichokuja kunifanya...
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Ndugu wanamtafuta PROSPER MHINA KWINGWA, Mkazi wa Karakata (Dar), hajaonekana nyumbani tangu Februari 25, 2025

    Mhusika katika picha anaitwa PROSPER MHINA KWINGWA. Mkazi wa Karakata airport Dar salaam , ana matatizo ya afya ya akili.Hajaonekana nyumbani tangu tarehe 25/02/2025 .Taarifa imetolewa Polisi . tafadhali wasiliana na kituo cha polisi cha karibu au kwa ndugu kupitia namba zifuatazo 0754210337 au...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Unaweza kuwasaidia ndugu waliokukataa

    Mtu ambaye amekutesa maisha ya utotoni Mwako hata hela ya Shule hakukupa akiamini huwez fika kokote Chumba nilichokua nakaa alikipingasha akisema maisha magumu hivyo chumba chake kingemsaidia maisha Watoto wake aliwasomesha International school matokeo yake hakuna aliyefika chuo Mimi...
  10. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Ndugu Zangu Waislamu. Ikifika kipindi cha mfungo basi punguzeni maigizo

    1. Unazini mwaka mzima ukija Mwezi huu ulivyokuwa mrahibu wa ngono unaharalisha ufuska wako kwa kuoa single maza ambaye unaachana nae miezi mitatu baadae (ungefunga ngono badala ya chakula ungekuwa umefanya cha maana) 2. Kila siku wala kwa meza migahawani ila leo eti unataka wakuwekee kwenye mkeka
  11. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aongoza kikao cha kamati kuu ya halmashauri kuu ya CCM

    Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Mkoani Dodoma.
  12. R

    JamiiForums Tanzania Mke sio ndugu yako, siku ukifa, kwenda jela hata ndoa ikivunjika anaweza kupata mume mwengine lakini wanao na ndugu hawawezi kukubadili

    Hamjafika hata miaka 20 kwenye ndoa unapata wapi ujasiri huu wa kumpa mkeo hadhi ya undugu ? KWENU MLIOJISAHAU, TUNAKUMBUSHANA TU.
  13. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Ugomvi wa ndugu 2,waliojariwa ofisi moja

    Hawa ndugu wakiumu,waliozaliwa na mama mmoja ila baba tofauti,wote ni madereva na asili yao ni wahindi.Maisha yao wanayoishi ni kama waafrika kabisa,kwa kila kitu,kula,kuvaa,mademu ni kama wafanyavyo wabantu.Wameajiriwa na tajiri mmoja,sasa bosi wao akawaambia kuwa wajiandae kwa safari ya kenya...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Nataka niwe na ofisi yangu ya maswala ya umeme yaani kurepair na wiring

    Ndugu za nazani mko poa ..jamani ndoto yangu nataka niwe na ofisi yangu ya maswala ya umeme yaani kurepair na wiring kusuka mota na mengineyo ila sasa nahofia kama itanilipa kweli .....sasa kama kuna alie wahi kufanya hichi kitu anipe ushauri wake ili nijue nianzie wapi pia aniambie kama ina lipa.??
  15. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu wakatoliki, mliwafanyaje wasabato? Malizeni tofauti zenu.

    Kuna sehemu niliwahi kukaa jirani na kanisa la wasabato. Almost 80 % ya mahubiri niliyokuwa nayasikia ni kuwaponda wakatoliki. Kwamba wao ndio yule joka kuu, mara mwanamke yule kahaba mkuu aliyezini na wafalme wa dunia. Mara papa ni king wa freemason . Wakawa wanadai kwamba wakatoliki wanaabudu...
  16. B

    JamiiForums Tanzania MSAADA WA KUUNGANISHWA NA NDUGU WA PRISCUS ALOYSE MATEI (R.I.P).

    Habari wanajamii forums! Naomba MSAADA Kwa yeyote atakayekuwa anajua ndugu yeyote WA PRISCUS ALOYSE MATEI ambaye Kwa sasa ni marehemu, kabisa mchanga wa Moshi, alifariki 2013 kama sikosei. Nia na dhumuni ni kutaka kuwaunganisha hao ndugu na damu ya ndugu yao aliyoiacha mahali. Asante.
  17. J

    JamiiForums Tanzania Ndugu za mpenzi wangu hawanitaki

    Wadau salaam, Nina mpenzi nimekaa nae kwa miaka mitatu hivi. Nimetaka nimuoe lakini amemwambia dada yake anamwambia kuwa mimi ni mkubwa sana kwake kwa hiyo kwa umri huo nina familia nyingine. Kuwa nataka nimpige mimba nimkimbie. Mimi nina miaka 35 Binti ana miaka 20. Amejaribu kuongea na mama...
  18. kitoto wa vitoto

    JamiiForums Tanzania Habari za usiku ndugu zangu naomba ushauri

    Nina mtoto wa kike ana MWAKA na mwezi 1 alizaliwa akiwa na changamoto ya kulia sana Tulimuona Dr mara kadhaa Dr wengi hawakuona ugonjwa Ila baadae tuligundua ana TB ya mapafu alipata matibabu Ila bado afya yake bado imedhoofika sana tumempa kila aina ya lishe Ila bado uzito wake ni ule ule pia...
  19. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ndugu yangu min-me, hii ni zaidi ya miyeyusho na mizinguo

    min -me Nimekucheck pm mwezi iliopita kuwa natafuta ajira. Unanihakikishia kabisa utani connectia na supermarket yenu ya familia iitwayo "Minimal Price" iliopo mwenge. Ukaniambia hata nikishafika mwenge hio sehemu ni maarufu sana hata wasanii wakubwa kama harmorapa wananunua bidhaa hapo...
  20. Intelligent businessman

    JamiiForums Tanzania Ndugu yangu Half American, hii ni zaidi ya miyeyusho na mizinguo

    Bro huu sio utu wala uungwana kabisa, hata Kama ni unyama huu sio wa Dunia hii. nakumbuka ni wewe ndio uli nishauri nitoke kwetu nanjilinji, ili nije kukutembelea huko daslam. Kila tuki piga story una nichana eti nanjilinji sio pazuri, eti mi binadamu nakubali vipi kukimbizana na nyani...
Back
Top Bottom