ndugu

Leon "Ndugu" Chancler ( in-DOO-goo CHANSS-lər; July 1, 1952 – February 3, 2018) was an American pop, funk and jazz drummer. He was also a composer, producer, and university professor.

View More On Wikipedia.org
  1. Magical power

    JamiiForums Tanzania Dada iko hivi, maisha ni magumu, kijana wa miaka 28 hana kazi au kapata kazi lakini ana ndugu zake kibao wanamtegemea.

    Dada iko hivi, maisha ni magumu, kijana wa miaka 28 hana kazi au kapata kazi lakini ana ndugu zake kibao wanamtegemea. Kama akikupa hata elfu kumi ya saluni au nauli ya kurudia ridhika maana naye anatafuta. Wewe unalalamika halafu unajilinganisha na wale rafiki zako ambao kila siku wanakula...
  2. O

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ndugu zangu

    Elimu: shahada ya uuguzi. Umri: 31 Jinsia: Me Location: Dar es salaam Nina uzoefu wa kutosha wa kuhudumu, naombeni kazi wakuu. Niko full licenced. Mawasiliano yangu. 0694029955 / 0718605934 Email;omaryabdallahram@gmail.com
  3. masai dada

    JamiiForums Tanzania Napambana sana niwatoe hatua moja ndugu zangu

    Watoto wakiume naona kama ni ngumu sana kusaidiana. Nahisi kama Mungu ananijalia kipato ili niwainue ndugu zangu. Yaani ninahisi nina jukumu hilo mabegani kwangu, Ila kuna mkubwa wetu mmoja wa kiume aliyetoka simuoni akipush hata kwa kidogo wenzake. Mimi ndo wakike pekee na ninataka ndugu kaka...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Tatizo la Mahusiano na Usaliti Kazini

    Hello team. Naitwa Mussa, naishi Temeke, Dar es Salaam. Nina mpenzi wangu ambaye anatoka Kanda za Juu, na mama yake anatoka huko pia. Sasa tatizo ni kwamba kazini kwake anatoka na boss wake kwa siri sana, na nimegundua hilo. Pia, boss wake ameoa. Sasa anataka kumtema mpenzi wangu, ila huyo...
  5. E

    JamiiForums Tanzania Naumia moyo ndugu zangu

    Mzee wetu ni katiri hasa, kiasi kwamba ametufanya vijana wake wote tumuachie kila kitu. Sasa jana nmejikuta nalia ghafra baada ya kuwaona ndugu wanaoshirikiana na wamepiga hatua kimaisha. Wazazi, fundisheni watoto wenu ushirikiano, Niasaidieni, kifua kimekaba hatari🙏🙏🙏
  6. lui03152

    JamiiForums Tanzania ALL THE BEST NDUGU ZANGU AZAM

    Leo ndo siku ile ya kuondoa ile naniliu.....
  7. B

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya wadada wanaorusha video zao mitandaoni, huwa wana ndugu na wazazi kweli?

    Habarini, Jana nilipita pita Facebook nikaona video moja toka kwenye ukurasa wa alli mastory mdada alijirekodi video akiuliza, akiwapa nafasi wanaume wachague chochote (zingatia neno chochote) cha kumuomba kwenye mwili wake, watamuomba kipi, akajionyesha upande wa mbele, huku akiuliza kama...
  8. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Hapa ndo pamenishinda ndugu zanguni. Ngoja nibaki tu na UPWIRU

    1. Nianze mfukuzia demu 2. Nimtongoze nimshawishi mpaka anikubalie 3. Kisha nianze kuwa natatua shida zake 4. Ni maintain yeye kubaki au kuwa nipambane niendelee kubaki naye atumie pesa zangu? WALLAH WACHA NIBAKI NA UPWIRU. NIKIZIDIWA NAJICHUKULIA SHERIA MKONONI. YEYE ABAKI NA KIPOCHI UNYEVU...
  9. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Egypt: Hii siyo sawa kuwafanyia ndugu zenu. Kuna nini Kinaendelea hapa?

    Nimeshangaa Egypt haitaki kabisa kuwa msaada kwa wanaGaza ili wapate mapumziko. Unaona huu ukuta. Unaweza sema Trump katili sana kajenga huu ukuta kuzuia wapalestine wasiingie USA. Unakuja kuambiwa ni ndugu wa Damu. Hakuna anayewataka Wapalestine. Sijui kwa nini. Huu mpaka wa Egypt na Gaza
  10. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Watu wa kipato cha kati wengi wanaishi kwa hofu za kurogwa na ndugu na marafiki waliowazidi

    Mtu akioata kazi nzuri au biashara ya kueleweka, akajenga Nyumba, Akawa na shamba, na gari la kusafiria au akamuongezea mkewe kadogo ka kutembelea wengi wanaona aliowazidi wanamuonea wivu au wanamvizia wamloge. Hasahasa wale waliokulia kwenye umasikini mkali, na akapata mwanga kuliko wenzake...
  11. Norshad

    JamiiForums Tanzania Kwa yeyote atakayeguswa na tatizo la huyu ndugu yetu, tunahitaji msaada wako

    Habari ndugu zangu. Natumai wote mpo salama, na mnaendelea na majukumu yenu ya kila siku. Ndugu zangu, na marafiki zangu na wasio kuwa Marafiki zangu, wote kwa ujumla nina jambo nataka kulileta mbele yenu kwa maana ni kweli kweli nahitaji msaada wenu, wa hali na mali na ushauri pia. Mdogo...
  12. Gulio Tanzania

    JamiiForums Tanzania Ukipata muda nenda katembelee makaburi ya wazazi au ndugu zako

    Kuna baraka nyingi unavyokuwa unatembelea makaburi wazazi au ndugu zako ambao uliwaona kwa macho yako mwenyewe walikuwa wanafanya mema hapa duniani. Jitahidi kutembelea mara kwa mara ata kusafisha kaburi endelea kumuombea marehemu kwa Mungu wa mbinguni kuna baraka nyingi.
  13. kwisha

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri ndugu zangu

    mimi nikijana nina amri wa miaka 26 nimeona na nimejaliwa kupata mtoto wa kike ila ninatatizo Fulani ambalo linanitatiza kipindi naoa mke wangu kuna siku kulitokea misunderstanding Kati yangu na mke wangu mwenzangu kwa Asira akanilinganisha na ex wake kwa kumsifia ex wake kuwa yupo vizuri...
  14. Broadcast

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni swali hili ndugu zangu

    Msaada wa poem hii
  15. U

    JamiiForums Tanzania Tunasubiri kauli ya taasisi na jumuiya za Kiislamu tanzania kupinga dhulma ya Israel dhidi ya ndugu zetu Wapalestina ikiwemo mauaji ya Viongozi wao

    Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika Tunasubiri kauli ya taasisi na jumuiya za Kiislamu tanzania kupinga dhulma ya Israel dhidi ya ndugu zetu Wapalestina ikiwemo mauaji ya Viongozi wao Yahya Sinwar, Hassan nasrallah na Ismael hanniyeh Ndugu zetu hao wameishi kwa mateso na...
  16. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Madaraka Nyerere na ndugu zake wameshindwa kulitumia vizuri jina la baba yao kujipatia riziki, wapewe mbinu

    Bob Marley tangu afariki imepita miaka zaidi ya 40 lakini familia yake bado wanakula bata kupitia loyarities na JIna la baba yao. Michael Jackson family, Tupac family, Kennedy family pia ni miongoni mwa wanufaika wa jina. Tukija hapa nchini, Karume, Kikwete, Mwinyi. Hawa familia zao vizazi na...
  17. nipo online

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu JF bando mnazounga kila siku mnajingizia kipato?

    Huu mwaka kama wa 10 sasa toka nianze kumilik simu janja, naona mbs na gbs zinaishia tu kucheki ushilawadu tu katika mitandao ya kijamii Naomba msaada kwa wanaotumia mbs kujiingizia kipato lakini zitaki kupitia michezo ya kamali.
  18. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania "Karibu Karibu Ndugu Jela ni ya Wanaume," Field Marshal John Okello Anamkaribisha Abdilatif Abdulla Kamiti Prison

    Nimekuwa na Abdilatif Abdulla London, Berlin, Humburg, Mombasa na Dar-es-Salaam lakini Dar-es-Salaam mara nyingi kuliko huko kote kwengine. Nimekaa nyumbani kwake Humburg. Kote tunapokuwa pamoja mazungumzo yetu ni vitabu na uandishi. Siku zote sijasahau kumkumbusha kuhusu kuandika kitabu cha...
  19. dr namugari

    JamiiForums Tanzania Ndugu yangu amegoma kunirudishia pesa zangu

    Mwaka jana ndugu yangu kabsa wa damu alikuja na kuomba nimpatie pesa ili a bust biashara zake, kwa vile alijuwa kuwa kuna kititi nimepokea kutoka Taasis fln ya umma. Sikuweza kumnyima kwa vile mm pia nilikuwa nafikiriaa cha kufanyia hizo pesa either ninunue kiwanja dodoma am au nianzishe...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, na wale Ndugu zetu Watanzania Wawili Watatu 'aliowapitia' na Wao pia wamo katika hii Idadi au Wameuchuna?

    Watu 120 zaidi wamemtuhumu mwanamuziki wa rap Sean ‘Diddy’ Combs kwa unyanyasaji wa kingono, ubakaji na kutumiwa vibaya kingono. - Wakili wa Texas Tony Buzbee amesema kuwa 25 miongoni mwa wateja wake walidhulumiwa wakiwa wangali watoto wenye umri wa miaka 9 -15. - Nusu ya idadi hiyo ni wanaume...
Back
Top Bottom