ndugu zangu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ndugu zangu naombeni mwenye kujua namna ya kumpata daktari wa mifupa muhimbili

    Habari ndugu zangu naombeni mwenye kujua namna ya kumpata daktari wa mifupa muhimbili Kuna ndugu yetu kuvunjika mbavu ametoka mkoani hatuna mwelekeo kabisa msaada ndugu zangu tafadhali 🙏 Pm kwa mawasiliano tafadhalini nawaomba muongozo mwenye kujua jmn
  2. L

    Naomba ushauri ndugu zangu

    Mimi ni Binti ambae nikiwa chuo mwaka wa mwisho nilidate na kijana mmoja anaeishi ktk mkoa ambako nilikosomea.. Nilikuwa namchukulia kawaida sana wakati huo hadi nikahitimu na mawasiliano yakapungua kadili siku zilivoenda na Mimi sijauona tatizo hata mawasiliano yalipoisha sikuumizwa wala...
  3. A

    Gari aina ya Corolla 5A kushindwa kuwaka, nini itakuwa sababu?

    Habari zenu Wana ndugu, nilikuwa naomba ushauri juu ya gari langu aina ya Corolla E100 ambal limefungwa cylinder head siku chache zilizopita na baada ya hapo nikatembelea kwa siku tatu ya nne kuja kuliwasha likawaka ila kwa miss kubwa Sana nikavuta race halikuacha mpaka likazima na baada ya hapo...
  4. Naona muda wa kula viporo vyetu sasa umewadia. Karibuni ndugu zangu.

    Ndugu zangu wapendwa; naomba kuchukua nafasi hii muhimu kabisa, kuwakaribisha kwenye viporo vyetu. Hakika vitaanza kuliwa kuanzia keshokutwa tarehe 02/05/2025. Na kila baada ya siku 3, kiporo kingine kitaliwa hadharani. Lengo la huu uzi ni kutaka tu kuwakaribisha kushiriki kwenye hayo matukio...
  5. CCM Ndugu zangu, this is too much, halafu cha ajabu Watanzania wapo kimya

    Hebu cheki 1. CHAMATA Chawa wa Mama Tanzania 2. Samia Suluhu Serengeti Music Festival 3. Samia Boxing 4. Samia Kings 5. Samia Tunamsemea (Wanafunzi wa Chuo) 6. Samia .... 7. Samia ..... 8. Samia ...... 9. --- 100. Halafu sasa kuna hiii 👇👇👇 Bado kuna ..... 1. Bodaboda za Samia 2. Pen za...
  6. M

    Ndugu zangu watanzania kwaherini, naenda zangu Palestina kufanya biashara ya vyuma chakavu!

    Nimechoshwa na swaga za ccm eti tumeleta maendeleo, maendeleo yepi hayo? ya kukamata wapinzani na kuwasweka lupango na kuwalazimisha watu wote wawe ccm utadhani watu wote wanapenda jehanamu Maana kazi nyingi izifanyazo ccm ni za jehanamu Naenda zangu Palestina (Gaza) kuuza vyuma chakavu...
  7. M

    Ndugu zangu CHADEMA juu ya madiliko haya kwa taifa la Marekani juu ya Afrika hata viongozi wa dini hawatasaidia zaidi ya kuweka tu

    Siasa Trump afikiria kupunguza balozi za Marekani barani Afrika Saleh Mwanamilongo Saa 2 zilizopitaSaa 2 zilizopita Marekani inapanga kupunguza kwa kiasi kikubwa mwelekeo wake wa kidiplomasia barani Afrika na pia kufuta ofisi za Wizara ya Mambo ya Nje zinazoshughulikia mabadiliko ya hali ya...
  8. R

    Ndugu zangu Watanzania, huu ni wakati wa kukaa kimya!

    Salaam, Shalom! Nawauliza ndugu ZANGU watanzania mliowahi kusimama court, ukipewa muda wa kujitetea, ukasikizwa upande wa mshitaki na mshitakiwa, hakimu anapogonga nyundo mezani huwa anaashiria Nini? Kugonga nyundo ni taarifa kuwa, wote tunatakiwa kukaa kimya. Sasa ukiongea muda wa hukumu...
  9. Ndugu zangu nipeni ushauri kuhusu huyu binti

    I hope everyone is doing well. Mie ni mwanaume, 30 years. Nilipomaliza chuo nilipambana Ili kujenga uchumi wangu,,sahivi namshukuri Mungu maisha yanasonga. Kwa Sasa nataka kuoa ila mpenzi niliyenae ananiweka dilemma, Kwa maana kwamba nimuoe au nisimuoe. Huyu binti ana 22years, amesoma...
  10. Watu wa kaskazini mwa Afrika wana ubinafsi sanaa acha niwaambie ndugu zangu

    Angalieni tu kwenye line up yao.....asilimia 95% ni wachezaji wa ndani...yaani wazawa. Kama unabisha just Google cheki mechi za leo, line ups zipo tayari.....mtanielewa ndugu zangu In summary, hawa waafrika waarabu hawatupendi , bisha ila kuna siku utanielewa, asante.
  11. Ndugu zangu waislamu mlichonifanya leo nitawalipa!

    Haiwezekani nishindie chapati wakati nilikuwa nasikia mapochopocho!!, Hata wa humu jukwaani mmeshindwa kutoa mualiko nawakati nilikuwa nawasindikiza vyema kwenye mfungo wenu!. Sasa kwa taarifa ni hivi hili swala nimelivalia njuga wanasema sisi ni pipo tutakutana!.
  12. Ndugu zangu wakristo, mke mmoja anatosha?

    Tuseme tu Kwa uwazi Tusifiche Mke mke anatosha au kuwa na mpango kando laZima
  13. Msaada ndugu zangu demu wangu kaondoka na nguo zangu za ndani tu?

    Habari Nimetoka chuo mda huu nimefika geto, nina kawaida ya kwenda kuoga kwanza. Nimetoka kuoga naona Nguo zangu za ndani zote hazipo nampigia demu simu kaniblock nipo confusion msaada
  14. B

    Nisaidieni Kazi. Nina elimu ya kidato cha nne

    NATAFUTA KIBARUA NDUGU ZANGU Mimi Ni kijana (me), mkazi wa TABATA KINYEREZI. Nina elimu ya kidato cha nne na ninategemewa na familia yangu—mke na watoto wawili. Kutokana na changamoto za maisha, natafuta kibarua chochote cha halali ili niweze kuhudumia familia yangu. Nina uwezo wa kufanya kazi...
  15. Ndugu Zangu Waislamu. Ikifika kipindi cha mfungo basi punguzeni maigizo

    1. Unazini mwaka mzima ukija Mwezi huu ulivyokuwa mrahibu wa ngono unaharalisha ufuska wako kwa kuoa single maza ambaye unaachana nae miezi mitatu baadae (ungefunga ngono badala ya chakula ungekuwa umefanya cha maana) 2. Kila siku wala kwa meza migahawani ila leo eti unataka wakuwekee kwenye mkeka
  16. Nilimuacha mke wangu kisa ndugu zangu najutaa jamanii

    Mzuka wanaJF dume rijali la JF mwenzenu nipokatika majutoo jamanii kamsaada... Nilikuwa na mke mzuri, mwanamke aliyekuwa nguzo ya familia yangu. Alijitoa kwa kila hali, akahakikisha kila kitu kinaenda sawa, lakini mimi niliamua kumwacha kwa ajili ya ndugu zangu. Leo nipo peke yangu, nimepoteza...
  17. J

    Nataka niwe na ofisi yangu ya maswala ya umeme yaani kurepair na wiring

    Ndugu za nazani mko poa ..jamani ndoto yangu nataka niwe na ofisi yangu ya maswala ya umeme yaani kurepair na wiring kusuka mota na mengineyo ila sasa nahofia kama itanilipa kweli .....sasa kama kuna alie wahi kufanya hichi kitu anipe ushauri wake ili nijue nianzie wapi pia aniambie kama ina lipa.??
  18. Ndugu zangu wakatoliki, mliwafanyaje wasabato? Malizeni tofauti zenu.

    Kuna sehemu niliwahi kukaa jirani na kanisa la wasabato. Almost 80 % ya mahubiri niliyokuwa nayasikia ni kuwaponda wakatoliki. Kwamba wao ndio yule joka kuu, mara mwanamke yule kahaba mkuu aliyezini na wafalme wa dunia. Mara papa ni king wa freemason . Wakawa wanadai kwamba wakatoliki wanaabudu...
  19. Habari za usiku ndugu zangu naomba ushauri

    Nina mtoto wa kike ana MWAKA na mwezi 1 alizaliwa akiwa na changamoto ya kulia sana Tulimuona Dr mara kadhaa Dr wengi hawakuona ugonjwa Ila baadae tuligundua ana TB ya mapafu alipata matibabu Ila bado afya yake bado imedhoofika sana tumempa kila aina ya lishe Ila bado uzito wake ni ule ule pia...
  20. Ndugu zangu, muda mwingine sisi wenyewe tunawapa nafasi maadui zetu watudhuru

    Habari za jumapili wadau? Tunaishi kwenye jamii ambazo hazipendi kuona wengine wakifanikiwa. Wengi wetu tumekuwa tukipenda kuweka wazi mipango yetu, hasa kwenye social network, WhatsApp, insta etc. Sijui lengo huwa ni nini? Kuwaringishia wengine au kuwahamasisha wengine. Nina mkasa wa rafiki...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…