Nilipata tatizo la panick attacks na anxiety disorder kiasi cha miaka mitatu iliyopita hali iliyopelekea kuwa na mapigo ya moyo kwenda kasi, kuruka na moyo kupiga kwa nguvu kwa baadhi ya nyakati. Nilifanya vipimo vya moyo (ultra sound, ECO, na AKG lakini moyo ulikuwa normal kabisa, sikuonekana...