ndoa

  1. Upako wa tendo la ndoa unapopanda madhabahuni

    Nabii kakasirishwa sana na kifo Cha mende, Sasa Ni wakati wa kuwafundisha waumini style zenye upako kama ile style ya kijanja popo kanyea mbingu
  2. Upako wa tendo la ndoa unapopanda madhabahuni

    Nabii kakasirishwa sana na kifo Cha mende, Sasa Ni wakati wa kuwafundisha waumini style zenye upako kama ile style ya kijanja popo kanyea mbingu
  3. Hivi wanaume na wanawake ni wapi huongoza kwa kujisahau katika ndoa?

    Salam sana Ama baada ya salamu Kumekuwa na kauli kuwa watu wengi wamekuwa wakijisahau sana majukumu yao baada ya kufunga ndoa na wapenzi wao. Kila upande huulalamikia upande mwingine kuwa wamejisahau sana. MALALAMIKO YA WANAUME Wanaume wamekuwa wakiwashutumu wanawake kubadilika sana katika...
  4. Uko upande gani?

    Utafiti wa Taasisi ya Kinsey Indiana University Marekani umehitimisha kuwa Mwanaume uchepuka kwenye uhusiano/ndoa yake ni dalili ya kuwa na akili ndogo (low IQ), "Wanaume wenye akili kubwa muda wa kuwasaliti Wapenzi au Wake zao hawana kabisa, wanatulia na Mtu mmoja"
  5. E

    Kwanini wanawake walio wengi wanatumia ushirikina kwenye mahusiano ya ndoa?

    Habari za Leo wakuu. Wakuu nina swali... Hivi ni kwa nini wanawake walio wengi wanatumia ushirikina kwenye mahusiano ya ndoa? Na je tufanyeje ili kuwadhibiti? Labda nikupe tu mfano mmoja. (Wanawake ndio wanaongoza kwenda kwa waganga kuchukua limbwata za kuwafunga waume zao) Lengo hapa ni...
  6. USHAURI: Mnaotaka kufunga ndoa kwa sherehe kubwa zingatieni haya kuepuka lawama za watu

    Wachumba, Marafiki nawapa salaam kwenu. Kwa wakristo nashauri tusome Luk 14:28 ili twende sawa. Kwa dini nyingine na wasiokuwa na dini twendeni na msamiati huu. "Ukitaka cha uvunguni sharti uiname" Nimehudhiria baadhi ya harusi nyingi sana hasa mwaka huu lakini mambo siyo ya kuridhisha kabisa...
  7. Kuna tofauti gani kati ya kijana mwenye watoto ambaye hajafunga ndoa na kijana aliefunga ndoa ambaye hana watoto?

    Wakulungwa Kuna tofauti gani kubwa kiviiiiiiiiiiileeee Kati ya Hawa vijana wawili. 1. Ana watoto hajafunga ndoa na anaishi vizuri na mkewe na Wana watoto wazuri tu na wanatarajia kufunga ndoa Mambo yakikaa sawa. 2. Amefunga ndoa ila hana watoto ila Mungu atawajalia watapata. Kati ya hao...
  8. 2

    Msaada Wenu: Uliwezaje kupita salama mpaka Ndoa kwenye Mapenzi ya namna hii?

    Habarini za jumapili
  9. Mwenye Picha ya cheti cha Ndoa naomba a-share na sisi tafadhali

    Tunajua kuwa Ndoa ni mkataba, so nmeonelea ni vyema kuomba kujua mahudhui ya aina hii ya maktaba. Itapendeza zaidi kama vikipatikana tofauti tofauti yaani cha ⭕ Kikristo ⭕ Kiislamu ⭕ Kiserikali Kama vitakuwa vinatofautiana. Asante.
  10. Mama mkwe huyu anaweza kuharibu ndoa ya Mwanawe wa kike. Suluhisho ni nini?

    Kuna mtu kanipa kisanga hapa nimeona niwashirikishe ili nimshauri. Kijana anaishi Mbeya kabila Msangu kaoa mwanamke Mnyakyusa. Baada tu ya kuoa mama wa binti akahamia kwa kijana (mkwe wake] na kuacha familia yake huko Uyole. Baada ya miezi 6 mama mkwe akaleta wajukuu zake wanne pale kwenye ndoa...
  11. Nifanyeje ili niokoe ndoa ya huyu binti?

    Yo what's up? Kuna girl fulan mkali mkali ile ile. Huyu girl nina uhusiano nae wa kimapenzi kwa muda wa miezi 6 sasa. Tulipoanza uhusiano na huyu girl mi nlidhani maybe she's single, lkn baadae akaja kunambia mwenyew kuwa ashaolewa na anaishi na mumewe. Da baada kunieleza vile nikamshauri...
  12. Je, mwanamke anayo haki ya kudai fidia kwa kuvunjwa kwa ahadi ya ndoa?

    Kwa mujibu wa kifungu namba 69 cha sheria ya ndoa, mwanamke anaweza fungua kesi ya fidia dhidi ya mwanaume aliyevunja ahadi ya ndoa dhidi yake.
  13. R

    Ni mambo gani yanadhihirisha utayari wa mwanamke kuingia katika mahusiano ya ndoa/ mapenzi?

    Habari za mchana wakuu wa MMU. Natumai mpo salama na mnaendelea vyema kabisa na majukumu ya hapa na pale. Lengo kubwa la uzi huu ni kutaka kujua ni ishara gani au ni vitu gani vinadhihirisha kwamba mwanamke yupo tayari kuingia katika mahusiano ya kimapenzi/ndoa. Nimeuliza hivyo kwa sababu kila...
  14. U

    Kigogo Mkubwa Wa Timu Ya Soka Ya Simba Aamua Kuachana Na Ubachelor Kwa Kufunga Ndoa Takatifu

    Hongera Sana Kigogo na msemaji wa Simba Kamarada Haji Manara
  15. Vyeti vya ndoa

    Ndoa ni muungano wa mwanaume na mwanamke kuishi pamoja maisha yao yote,huku wakijenga familia watakayoipata. Kwenye ndoa kuna raha na shida,wanandoa hawana budi kuvumiliana katika kipindi kigumu kwenye ndoa yao kipite. Hoja ni kwamba kuna ulazima gani kwa wanandoa kupewa cheti cha ndoa wakati...
  16. Maisha ya ndoa yamenishinda

    Naishi na mzazi mwenzangu nahisi hana nyota ya mafanikio nifanyeje kila ninachofanya sifanikiwi kabla ya kuwa nae mambo yalikuwa hayakwami. Naombeni ushauri kwa nyogeza tu alinichanganya baada ya kumfumania na mchepuko mwaka na nusu sasa ananiomba msamaha mpaka leo anajutia na kulia kila wakati...
  17. Viongozi wa Dini hususan Kanisa Katoliki, Je, nikifoji cheti cha ndoa na mkajua nimefoji mtanipa adhabu gani?

    Kanisa Katoliki Tanzania naomba mnijibu. Nikifoji cheti cha ndoa au Kipaimara au Komunio au Ubatizo japo nilikuwa Mtoto (kwa ubatizo) na mkajua kabisa nimefoji, Je, adhabu yangu ni ipi? Je, nitakaribishwa Kukomunika ? Au na mathalani niwe na cheo labda Mbunge au Mkuu wa Mkoa. Je, dhambi yangu...
  18. Napendwa sana na watoto ila mama zao watanivunjia ndoa

    Sijisifii ila ndivyo nilivyo, watoto wananipenda sana tangu mimi ni mdogo, hawa watoto naozungumzia, mara nyingi ni watoto chini ya miaka 7 Kwa sasa nina miaka 29, nimeoa na tuna watoto wawili. Changamoto ninayopata niwapo kazini, kwenye biashara, mtaani na maeneo mengi huwa natokea tu kupendwa...
  19. Ni kweli mapenzi ya wizi ni matamu kuliko katika ndoa halali?

    Mapenzi ni kitu ambacho kinafanya wapenzi kufurahia wakiwa pamoja lakini kwa sasa kumekuwepo kwa kusalitiana katika mahusiano. Imekuwa kama kawaida mwanamke/mwanaume kuwa na mchepuko huku tayari yupo kwenye ndoa yake. Kwa nyakati za sasa uzinifu si kitu cha ajabu tena.Wahusika wanadai kufaidi...
  20. Hivi katika mazingira haya kuna haja gani ya ndoa?

    Salaam wakuu, Kichwa cha habari nimekiweka kuchochea majadiliano ya mazingira ya "usasa". Awali ya yote niweke wazi mimi nimeoa na Mungu mpaji kanibariki mtoto mmoja wa kiume (asante Mungu) japo nina elimu ila misingi ya familia yangu kwa kweli nimezingatia maadili na tamaduni naweza sema...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…