Hivi katika mazingira haya kuna haja gani ya ndoa?

Andie

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
468
1,000
Salaam wakuu,

Kichwa cha habari nimekiweka kuchochea majadiliano ya mazingira ya "usasa". Awali ya yote niweke wazi mimi nimeoa na Mungu mpaji kanibariki mtoto mmoja wa kiume (asante Mungu) japo nina elimu ila misingi ya familia yangu kwa kweli nimezingatia maadili na tamaduni naweza sema nimechagua kubaki "mshamba" katika kipengele cha ndoa na kuupisha "usasa" unaoshabikiwa na vijana wengi wa kileo.

Nitatibua mjadala kwa mtindo wa kuuliza maswali na nianze kwa kuuliza kuna haja gani ya ndoa kama mwanaume kasoma na ana kazi yake na maisha yake na mwanamke amesoma ana kazi yake? Je hawa wote wanatoka asubuhi na kurudi jioni wote wanamfumo sawa wa maisha wanaoana ili iweje? Nini maana ya kuoana? Wote wanafokewa na mabosi zao nani wakumfariji mwenzie arudipo?

Wanazaa watoto ili iweje wakati wanamwachia house girl watoto 98% ya muda wote?

Je huyu mwanamke anaezaa na kumwachia house girl analea yeye yuko ofisini muda wote ni mama kweli kwa mtoto au house girl anaelea kutwa kucha ndo mama?

Sijui ndo kupenda kitonga, wanaume wa kisasa wanataka kua kama wanawake wakitaka kuoa wanauliza "mwanamke anafanya kazi wapi?" Full kupenda kitonga na wavivu tabia za kike huku wanawake wanataka kua kama wanaume aise.

Ok pia sijapinga mwanamke kujishugulisha kama anaweza Kufanya hivyo ni vizuri ila SIO KUAJIRIWA kwa mfno mke wangu anasimamia miradi ya familia nilizofungua, sio mwanamke kaajirisha na likampuni gani huko au serikalini. Mume traffic mke mkufunzi wa chuo hii aise hapana.

Hawa wanawake walioajiriwa inapita wiki hata mwezi hajashika mwiko kupika, dailly anakula mgahawani na mume huko aliko anakula mgahawani, duuuh mbona hawa wote naona ni wanaume isipokua mmoja ana kyuma mwimgine ana mbyo? Wengine unakuta mwanaume mwalimu yuko Mwanza mwanamke muhasibu yuko Songea eti hiyo nayo ni ndoa aise. Je hawa wameoana ili iweje ?

Mimi mwanamke wa namna hii hanivutii hata punje kumuoa, labda kumtumia na kuachana nae. Mwanamke hafui hata nguo zake mwenyewe, hapiki, ana hela za kwake ana malengo ya kwake sasa huyu anaolewa ili iweje?
 
Miss Madeko

JF-Expert Member
Apr 30, 2014
3,980
2,000
Hivi kumbe unaoa ili upate wa kukupikia na kukufulia?
Swali langu yote si yanafanyika au unapenda urudi umkute mkeo na mwiko na huku jasho linamtoka kisa kukusongea ugali? Achana na mfumo dume wewe kuwa wa kisasa.................... hata km siendi kazini huko jikoni siingi ng'ooo na nguo pia sitafua utafuliwa na utapikiwa na utakula
 
Eli79

JF-Expert Member
Jan 9, 2013
28,079

Wewe kweli miss madeko!
 
James Comey

JF-Expert Member
May 14, 2017
5,837
2,000
Asie taka golikipa liko wazi ni mario, mvivu mpenda kitongm ukiangalia sifa hzo ni za wanawake huyu sio MWANAUME ndo maana anatafuta mwanaume aolewe nae.
Umejifunga ktk mawazo yako mwenyewe na siyo kosa.
 
Antetokounmpo

JF-Expert Member
Feb 5, 2020
491
1,000
Hivi kumbe unaoa ili upate wa kukupikia na kukufulia?
Swali langu yote si yanafanyika au unapenda urudi umkute mkeo na mwiko na huku jasho linamtoka kisa kukusongea ugali? Achana na mfumo dume wewe kuwa wa kisasa.................... hata km siendi kazini huko jikoni siingi ng'ooo na nguo pia sitafua utafuliwa na utapikiwa na utakula
Duhh wew kweli madeko
 
TruthLover

JF-Expert Member
Jan 30, 2019
1,395
2,000
Pointi kubwa hapo ni kumwachia House G mtoto muda mwingi.Hili ni bonge ya bomu.Ingawa kuna wazazi wengine ni heri wawe wanasaidiwa malezi na House G maana maadili sufuri.
 
TruthLover

JF-Expert Member
Jan 30, 2019
1,395
2,000
Duuu kama mzazi maadili sifuri, house girl ndo anamaadili ?
Unakuta house G ana unafuu mbali sana kimaadili kuliko wenye mtoto, sasa hapo si bora wawe wanasaidiwa tu.Angalau mtoto awe anaokota mambo ya msingi
 
Ligaba

JF-Expert Member
Oct 12, 2018
842
1,000
Kila kitu kina faida na hasara. Hasara ni nyingi kwa kuoa goli kipa. Ungepata bahati ya kufa na baada ya miaka 5 ufufuke na ushuhudie familia yako ambayo mke alikuwa goli kipa, mengi ya kwenye Uzi huu usingeandika.
 
sayoo

JF-Expert Member
Nov 19, 2014
3,830
2,000
Hivi kumbe unaoa ili upate wa kukupikia na kukufulia?
Swali langu yote si yanafanyika au unapenda urudi umkute mkeo na mwiko na huku jasho linamtoka kisa kukusongea ugali? Achana na mfumo dume wewe kuwa wa kisasa.................... hata km siendi kazini huko jikoni siingi ng'ooo na nguo pia sitafua utafuliwa na utapikiwa na utakula
Hayo ni maoni yake na ww ni maoni yako , kila mbuyu na shetani wake ,
Sema badilika kidogo

Acha kudeka
 
luckyline

JF-Expert Member
Aug 29, 2014
11,569
2,000
Duuu kama mzazi maadili sifuri, house girl ndo anamaadili ?
Mifano ulotoa hapo ni tabia mkeo alizo nazo (hata kama umesema anasimamia miradi yenu)
unakuja hapa kupotosha watu ati kuna haja kuoa? Kuna vitu mke anafanya wewe hufanyi Wewe unazaa?
Hivi mwanamke kuwa na kazi inamaanisha asifanye majukumu yake? Kama mkeo hafanyi pole yako. Wengine wanafanya.

Mke anaefanya kazi lazima chakula cha usiku apike yeye. Lazima awe na tabia ya kuamka sa11 ili aandalie mtoto uji , chai ndo aende kazini.

Lakini pia weekend usafi lazima afanye afue apange nyumba na kupika chakula cha tofauti na siku zote maana ndo anakuwa na muda wa kutosha.
Mtu kama alizoea kufanya kazi za nyumbani kazi ya kuajiriwa haiwezi kuwa kikwazo.

Sema wenye bahati mbaya wanakutana na ma slay queen basi wanahisi wanawake wote wako hivyo.
Dada wa kazi siku zote ni msaidizi. Kama mm ambae sipendi wadada wa kazi sijui itakuwaje nikilazimika kuwa nae? mm sipendagi mtu kunifanyia kazi yeyote na akifanya isiwe na kasoro.
Naamini mpaka mtu akubali kuwa mke wa mtu anajua majukumu yake.
 
Mwamba 777

Senior Member
Nov 23, 2020
138
250
Salaam wakuu,

Kichwa cha habari nimekiweka kuchochea majadiliano ya mazingira ya "usasa". Awali ya yote niweke wazi mimi nimeoa na Mungu mpaji kanibariki mtoto mmoja wa kiume (asante Mungu) japo nina elimu ila misingi ya familia yangu kwa kweli nimezingatia maadili na tamaduni naweza sema nimechagua kubaki "mshamba" katika kipengele cha ndoa na kuupisha "usasa" unaoshabikiwa na vijana wengi wa kileo.

Nitatibua mjadala kwa mtindo wa kuuliza maswali na nianze kwa kuuliza kuna haja gani ya ndoa kama mwanaume kasoma na ana kazi yake na maisha yake na mwanamke amesoma ana kazi yake? Je hawa wote wanatoka asubuhi na kurudi jioni wote wanamfumo sawa wa maisha wanaoana ili iweje? Nini maana ya kuoana? Wote wanafokewa na mabosi zao nani wakumfariji mwenzie arudipo?

Wanazaa watoto ili iweje wakati wanamwachia house girl watoto 98% ya muda wote?

Je huyu mwanamke anaezaa na kumwachia house girl analea yeye yuko ofisini muda wote ni mama kweli kwa mtoto au house girl anaelea kutwa kucha ndo mama?

Sijui ndo kupenda kitonga, wanaume wa kisasa wanataka kua kama wanawake wakitaka kuoa wanauliza "mwanamke anafanya kazi wapi?" Full kupenda kitonga na wavivu tabia za kike huku wanawake wanataka kua kama wanaume aise.

Ok pia sijapinga mwanamke kujishugulisha kama anaweza Kufanya hivyo ni vizuri ila SIO KUAJIRIWA kwa mfno mke wangu anasimamia miradi ya familia nilizofungua, sio mwanamke kaajirisha na likampuni gani huko au serikalini. Mume traffic mke mkufunzi wa chuo hii aise hapana.

Hawa wanawake walioajiriwa inapita wiki hata mwezi hajashika mwiko kupika, dailly anakula mgahawani na mume huko aliko anakula mgahawani, duuuh mbona hawa wote naona ni wanaume isipokua mmoja ana kyuma mwimgine ana mbyo? Wengine unakuta mwanaume mwalimu yuko Mwanza mwanamke muhasibu yuko Songea eti hiyo nayo ni ndoa aise. Je hawa wameoana ili iweje ?

Mimi mwanamke wa namna hii hanivutii hata punje kumuoa, labda kumtumia na kuachana nae. Mwanamke hafui hata nguo zake mwenyewe, hapiki, ana hela za kwake ana malengo ya kwake sasa huyu anaolewa ili iweje?
duuh! aisee hili nalo ni janga, Kwa ushauri wangu ni kutafuta house girl tu, kama mke akijikuta yuko bize sana, yabidi house girl awe mbadala wa mke, ndo ivo hakuna namna kama house girl anakufulia vzr, anapika, anakunyooshea nguo, analelea watoto then na mkeo yupo, basi huyo house girl anafaa kuchukua nafasi ya mkeo kwasababu anakujali zaidi ya mkeo.

Tena hapo mapenzi yatakua moto moto kwa house girl zaidi ya mke, unajipoozea kwa house girl taratibuuuu, akinoga zaidi unamtunuku mimba na ijulikane una wake wawili, huyo mke kama hakufunzwa kwao majukumu yake kwa mumewe atajua mwenyewe huko, ilimradi umeshakipata unachostahili kama mume kutoka kwa house girl.
 
Ndalilo

JF-Expert Member
Jan 30, 2013
1,275
2,000
Mke anaefanya kazi lazima chakula cha usiku apike yeye. Lazima awe na tabia ya kuamka sa11 ili aandalie mtoto uji , chai ndo aende kazini.

Lakini pia weekend usafi lazima afanye afue apange nyumba na kupika chakula cha tofauti na siku zote maana ndo anakuwa na muda wa kutosha.
Mtu kama alizoea kufanya kazi za nyumbani kazi ya kuajiriwa haiwezi kuwa kikwazo.

Sema wenye bahati mbaya wanakutana na ma slay queen basi wanahisi wanawake wote wako hivyo.
Dada wa kazi siku zote ni msaidizi. Kama mm ambae sipendi wadada wa kazi sijui itakuwaje nikilazimika kuwa nae? mm sipendagi mtu kunifanyia kazi yeyote na akifanya isiwe na kasoro.
Naamini mpaka mtu akubali kuwa mke wa mtu anajua majukumu yake.
Maelezo haya yanafanana sana na elimu yetu ya TZ. Field na darasani ni mbingu na ardhi.

Kama kuna aliyebahatika kuwa na mke wa namna hiyo, hakika hatokufa.
 
Macbook pro

JF-Expert Member
Jul 15, 2020
253
500
Hivi kumbe unaoa ili upate wa kukupikia na kukufulia?
Swali langu yote si yanafanyika au unapenda urudi umkute mkeo na mwiko na huku jasho linamtoka kisa kukusongea ugali? Achana na mfumo dume wewe kuwa wa kisasa.................... hata km siendi kazini huko jikoni siingi ng'ooo na nguo pia sitafua utafuliwa na utapikiwa na utakula

Mfano mzuri wa mwanamke wa Instagram na Facebook ndio huyu...! Type za akina Joyce kiria..! Hawa wanaendana na akina mario tu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom