I hope mko poa humu,jana katika harakati zangu huwa napenda kuongea sana na watu wapya.Basi, kuna sehemu nikawa nimekaaa na kijana mwenzangu tukawa tunapiga stori mbili tatu.
Katika mazungumzo yetu akagusia kwamba umeoa au,nikamwambia bado akaniuliza kwanini bado? nikamjibu muda ukifika na...