ndoa

  1. C

    JamiiForums Tanzania Umewahi kujuta kumuoa/kuolewa na huyo?

    Inawezekana wakati unamuoa/kuolewa naye ulikuwa na mategemeo lukuki ambayo kwa bahati mbaya huyaoni katika Manisha halisia ya ndoa! Umewahi kujiuliza kama unatimiza mategemeo yake kwako ya kabla ya ndoa? Moyo wa mwanadamu ni kichaka, yawezekana amejaa sononeko ndani ya moyo wake kwa kutopata...
  2. Njiwa mpole 1997

    JamiiForums Tanzania Vijana ambao bado hamjaoa oeni mabinti wa kazi

    Kwanza niwatakie mwaka mpya wenye baraka tele. Ninajua kuna vijana wengi ambao wamejiwekea malengo ya kupata jiko mwaka huu, ninawashauri mimi niliye pata jiko kwa mdada wa kazi kama miaka mitano hivi kuwa hawa wadada wanafaa kuolewa yaani ni mawife material kabisa. Wana heshima, busara na...
  3. Mwananchi wa chini

    JamiiForums Tanzania Je ni Kweli Kanisa la RC limebadili utaratibu wa mafunzo ya ndoa?

    Juzi nimekutana na kijana ambaye ametoa mahari (anataka kufunga ndoa) siku si nyingi akiniambia ametoka kwenye mafunzo ya ndoa katika kanisa la rc. Cha kushangaza kijana huyu kaniambia kanisa limebadili utaratibu wa mafunzo ya ndoa kuwa kwa sasa ni Mwaka mmoja yaani kila mwezi mnaenda mara...
  4. Mtu Kwao

    JamiiForums Tanzania Vijana wenzangu tusiogope kuoa, ndoa tamu

    Wakuu Ndoa ni tamu, ndiyo ndoa ni tamu kwani kuna mtu anabisha kwenye hilo Emu fikiria unaamshwa asubuhi upate cha asubuhi baada ya hapo unasindikizwa bafuni kuoga. Muda huo nguo zinapigwa pasi ukimaliza mke anakusaidia kujiandaa ukimaliza unakunywa chai yako safi. Dah baada ya hapo anakuaga...
  5. safuher

    JamiiForums Tanzania Siri ya Furaha ya ndoa ni kuishi wanandoa kama marafiki (washkaji) wawili

    Umeshawahi kujiuliza kwa nini kuna jamaa mke wake unamuona wa kawaida sana lakini wanaishi kwa amani kabisa na wanapendana? Ni kwa sababu wamekuwa marafiki ndani ya ndoa, siri ya rafiki hata awe mbaya kiasi gani hauwezi kuchagua sura yake akiwa mshkaji ndio mshkaji huyo. Kuna watu wana...
  6. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Niliacha kwenda kanisani baada ya kuona makanisa yanafungisha ndoa za jinsia moja kwa kigezo cha human rights, huku yakipinga ndoa za mitala

    Wazungu waliotuletea dini, huko kwao makanisa yanageuzwa kuwa bar. Wengi wameacha kusali, hawaendi tena makanisani, ule moto wa injili uliokuwa ukiwaka ndani yao sasa umepoa kabisa, na jivu lake limekuwa la baridi kabisa. Huku kwetu Tanzania, wengi hawaendi kanisani labda kwasababu ya ubize na...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kufunga ndoa kwangu kumeniondolea marafiki wengi

    Nilikua na washkaji wengi kabla ya kufunga ndoa na ndugu wengi nilikua nawachangia sana kwenye misiba na harusi lakini Mimi nilivotangaza ndoa wakaniunga mkono muda ulipofika nikipiga cm wana hawapokei wala kujibu text. Nikakausha nikakomaa likapita saivi wengine wanaishia kuview status...
  8. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Magufuli alivyosababisha ndoa ya rafiki yangu kuyumba

    Huyu rafiki alioa mke wake toka kijijini. Mwanamke alikuwa anampenda Magufuli na sera zake balaa Ilivyotokea Magufuli anasema tuzae elimu ni bure,fyatueni tu watoto ,huyu shemeji yangu akamsikiliza Miaka nane ya ndoa wana watoto watano maisha magumu ,jamaa anataka kukimbia familia
  9. themagnificient

    JamiiForums Tanzania Msimuige Dk mwaka na ndoa za wake wanne atawapoteza

    Dk mwaka anaishi kiakili sana yaani jamaa anatengeneza pesa kwa kutumia akili tu, Dk mwaka kipindi cha hivi karibuni amekuwa akipromote sana wake zake watatu mtandaoni na akisema kuwa soon anaongeza mwingine wa nne. Sasa Dk Mwaka kama mnavyomjua anapiga pesa nyingi sana hasa hzi za vijana...
  10. Muuza simu used

    JamiiForums Tanzania Wanawake mlioolewa badilikeni

    Hii tabia imekuwa kero sana hasa kwa wanawake walioolewa yaani ukimkuta nyumbani unashindwa kutofautisha mama mwenye nyumba ni yupi na house girl ni yupi. Yaani wote wanavaa nguo kama vibarua fulani hivi waliochoka na maisha, utakuta wife mara kavaa yeboyebo hata sio saizi yake, mara kandambili...
  11. Miss Natafuta

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake tunaoolewa na wazee tunanyooshewa vidole na jamii?

    Naombeni mtujibu Watu wazima wana shida gani? Sheria inasemaje? Age gap ya mume na mke iwe miaka mingapi? Hawa wazee mnataka tumuachie nani? Na age mate wetu tutawatoa wapi mnajua tulizinguliwa kivipi kabla ya kukutana na hawa masweet baby wetu? Ooh watakufa soon, hakuna ajuae siri ya kifo kila...
  12. Equation x

    JamiiForums Tanzania Wengi tunaishi kwenye ndoa kwa kuvumiliana tu

    Kwa mtu aliyezoea kuchepuka hawezi kuacha hiyo tabia kirahisi, kwa sababu kwenye mahusiano kila mmoja huwa na sifa ya kipekee ambazo hazifanani na mwingine; kuna mwingine ni mchangamfu sana, mwingine anajua sarakasi za kila namna, mwingine ana ladha tofauti, wengine wanajua ku-handle n.k...
  13. Darcyy

    JamiiForums Tanzania Waachana siku tatu kabla ya ndoa

    Wanajukwaa, hii kitu imetokea uku kwetu mtaani, mahusiano yavunjika siku chache kabla ya kufungishwa ndoa... Jamaa na bibie wanafanya Kazi mikoa tofauti, sasa wamerudi Ili wafunge ndoa takatifu Ili wawe rasmi, mke na mume. Sasa ndugu wa mke wakamuuliza bibie, vipi mmeshapima HIV na mumeo...
  14. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kanali Mstaafu Meliti (78) afunga ndoa umri wa mke miaka 27

    Kanali Mstaafu Mika Metili, mwenye umri wa miaka 78 akiwa na mke wake mpya mwenye umri wa miaka 27 kwenye ndoa Yao iliyofungwa katika kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) usharika wa ILBORU Tofauti ya umri wao ni miaka 51. Nini maoni yako?!
  15. karv

    JamiiForums Tanzania Katika suala zima la ndoa, dini ya Kiislamu ipo vizuri

    Nawasalimu kwa jina la jamuhuri Binafsi nimekuwa mfuatiliaji mkubwa sana hasa wa maswala haya yahusuyo ndoa lakini kwa upande wangu nimeona ndoa kwa mujibu wa dini ya kiislamu wapo vizuri sana hasa katika swala zima la:- 1)Ndoa kwa ujumla 2)Talaka NDOA KWA UJUMLA -Hapa napenda kuzungumzia...
  16. Perry

    JamiiForums Tanzania Hivi wakurya wana sifa gani kwenye ndoa?

    Anyone yuko familiar with kuryans?
  17. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Ndoa halali, ndoa batili na ndoa batilifu. Je, wajua pia kuna msamaha halali wa kweli, msamaha batili na msamaha batilifu? Msamaha ule ni batilifu!

    Wanabodi, Huu ni uzi elimishi kuhusu aina tatu za kuomba msamaha, kama zilivyo aina tatu za ndoa. Lengo la kutoa elimu hii ni kulinda heshima ya fani ya watu ambayo imetakwa kudhalilishwa kwa kusingiziwa kuwa ile video imefanyiwa maujanja kwa kuchakachuliwa ili kumchafua mtu, kitu ambacho sii...
  18. masara

    JamiiForums Tanzania Wanawake kuweni na ushirikiano kwenye tendo la ndoa

    Heri ya mwaka mpya. Niende kwenye mada moja kwa moja, kwa dada zangu ingawa sio wote ila walio wengi. kwa wale wanaume maabaharia wanaelewa namaanisha nini ila kwa wale waaminifu kwenye mahusiano yao sio rahisi kuelewa. Unakuta uko na mwanamke faragha kwa ajili ya shughuli moja tu ya kuvunja...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Sabubu za Kuolewa nini nini hasa?

    Nilikutana na dada mmoja nilisoma nae ameolewa na kuachika mara nne na sasa yuko kwenye ndoa ya tano! Shida ilianza pale nilipo muuliza mumewe mzima! yeye naye aliniuliza yupi ninayemzungumzia Inawezekanaje mwanamke akaolewa na kuachika zaidi ya mara tano lakini wenzake hawajapata bahati hata...
  20. nyboma

    JamiiForums Tanzania Ndoa za sasa zimejaa unafiki mkubwa sana, jana mke wa mtu kanitumia picha ya matiti yake hadi nimechoka mwenyewe

    Hivi vile viapo wanavyoapa makanisani/misikitini huwa wanaviishi kweli? Ni mke wa afisa mmoja wa ngazi ya juu huko serikalini, sasa jana wakati nawasiliana nae nikamtania na hamu ya kunyonya maziwa akanitumia emoji ya kucheka. Eeh! Sijakaa sawa nikatumiwa picha za maziwa na alivyo mweupe...
Back
Top Bottom