ndoa

  1. Kifaru86

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani huwafanya wanawake wengi walio katika ndoa kuendeleza mahusiano na ma-ex wao?

    Kuna wakati nawaonea huruma watu wanaoa na wenye mipango ya kuoa kama wanawake wenyewe kumbe wako hivi wakishaolewa na kupata mtoto au watoto wengi huanza harakati za kurudisha mahusiano yao na ex wake wa zamani. Kipindi cha nyuma nilikuwa nina amini wanawake wengi wakishaolewa huwa hubadilisha...
  2. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Alijikuta ameshiriki tendo na familia nzima

    Binti mrembo aliyebahatika kuolewa na kijana mhangaikaji sana. Yule kijana alifikia kufungua mini supermarket. Aliagizs tambua na makopo ya nyanya kutoka Italy, sabuni, na vyombo vya ndani kutoka Uturuki na bidhaa nyingi kutoka chini. Yote haya yalimfanya kijana kuwa busy mno, muda wake wa...
  3. Kichwamoto

    JamiiForums Tanzania Uvumilivu na Umoja wa kweli Nguzo ya Ndoa ya kudumu

    Uvumilivu ni tiba na rutuba ya kupitia milima na mabonde ya ndoa. Umoja ni dawa chanjo ya uimara wa taasisi yaani ndoa. Wengine mtasema upendo mimi natumia umoja, na hii hutokea pale baadhi ya watu huingia kwa ndoa kama daraja la kuvuka shida zao au kufika malengo yao yasiohusiana na mwanandoa...
  4. KikulachoChako

    JamiiForums Tanzania Valentine's day: Mungu huwaunganisha wapendanao kwa namna ya kipekee sana......

    Habari za muda huu ndugu jamaa na marafiki wapendwa hapa jamvini........ Leo nimekumbuka kisa cha rafiki yangu mmoja........ Miaka kadhaa nyuma baada ya rafiki yangu kupambana na usafiri wa umma hatimaye Mungu alimjaalia akapata kipando Cha miguu miwili(piki piki) Tulilipokea kwa furaha huku...
  5. Mr Kactus

    JamiiForums Tanzania Eswatini: Mfalwe Mswati atoa amri kwa wanaume kuoa wanawake watano au kwenda jela maisha

    Katika hali isiyotarajiwa King Mswati wa Swaziland ametoa amri kwa Kila mwanaume nchini kwake kuoa wanawake watano. Kinyume na hapo atakaepinga atawajibika kutumikia kifungo cha maisha jela. Hayo yamesemwa tarehe 10 February 2022 na Mfalme huyo mwenye wake wengi na watoto wasiokua na idadi...
  6. thirteen06

    JamiiForums Tanzania Kwa mliooa tukutane hapa

    Kwenye kusaka mwenza utata ni mwingi Sana. Unaweza fika mahali ukahisi kuchoka kuhangaika kutafuta mwenza wa ndoto zako ili kupata alie Bora, matokea yake wote unaowachunguza kwa lengo zuri la kuoa unakutana na sintofaham mbalimbali ambazo ukizifikiria kwa undani unaona kabisa baadae unaweza...
  7. Song of Solomon

    JamiiForums Tanzania Natamani urudi hata kwa dakika tano mke wangu

    Naumia si kwasababu Mungu amekuchukua bali ni kwakua sikupata kuwa mume wako katika kipindi chote cha miaka sita ya ndoa yetu. Bado nakumbuka meseji yako ya mwisho uliyonitumia uliniambia “Mume wangu njoo tu nyumbani, samahani kwa kukusumbua lakini nataka tu nikuone sijisikii vizuri!”...
  8. maroon7

    JamiiForums Tanzania Sijui kwanini nachepuka...

    Yaani mama yeyoo alivyo kisu hata sielewagi why mimi sometimes nakua mchepukaji. Maana hata kipindi nampata yeye ndo alikua kama side chick halafu main chick sikumuoa japo naye alikua kisu. Ila tuache utani wachepukaji tunakua na maoption sana maana nikikumbuka visu nilivokua nakula hadi...
  9. Last KING Ontuzu

    JamiiForums Tanzania Hivi mwanamke kuficha makucha kwenye mahusiano kabla ya ndoa inaweza ikawa mwisho miaka mingapi?

    Kuna Jamaa yangu alikuja kwangu kunipa taarifa kuwa ataoa muda si mrefu na akaniambia ameshamchunguza mwenza wake vya kutosha. Nikamuuliza kwani umemchunguza kwa muda gani jamaa anadai ni miezi 4 sasa nikapigwa na butwaa kidogo maana miezi minne tuu! Sasa jamaa akahamaki kweli akaniuliza kwani...
  10. X

    JamiiForums Tanzania Mchumba wa ( kike ) anahitajika ndoa ni haraka iwezekanavyo

    Habari za muda huu matumaini yangu nyote ni wazima wa afya, SIFA ZA MWANAUME LIJALI NA MUOAJI KAZI : Mini ni kijana Mchapakazi nimejiajili kwanye sekta Binafsi UMRI : 30 MAKAZI : Dar es salaam SIFA ZA MCHUMBA / MKE MTALAJIWA
  11. Chai Maziwa

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume wanaoa wanawake wa kawaida ilihali wamezoeleka kutoka na pisi kali?

    Habari wanaJF Leo nakuja na swali. Imekuwa jambo la kawaida na kushangaza pale unapoona vijana mabachelor wakati wa kuoa uoa wanawake wa kawaida sana ilihali imezoeleka enzi za ujana wake hasa alikuwA akizichakata pisi kali sana. Hii imekaaje watalaam wa mambo. Ni kwamba kuna wanawake wa...
  12. DeepPond

    JamiiForums Tanzania Huyu mchepuko aambiwe ukweli au aachwe hivyo hivyo aendelee kujimwambafai?

    Nakumbuka mwaka Jana February niliwai leta kisa humu Cha kumchapa makofi mchepuko wangu. https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/38182399 Ebana eeh, Yule mchepuko mwezi machi katikati tulikuja rudiana bhana, Mazingira ya kurudiana ilkua baada ya mwezi hivi wa ukimya baina yetu Udhaifu wangu...
  13. co fm

    JamiiForums Tanzania Kijana usikubali kuletewa mke

    I hope mko poa humu,jana katika harakati zangu huwa napenda kuongea sana na watu wapya.Basi, kuna sehemu nikawa nimekaaa na kijana mwenzangu tukawa tunapiga stori mbili tatu. Katika mazungumzo yetu akagusia kwamba umeoa au,nikamwambia bado akaniuliza kwanini bado? nikamjibu muda ukifika na...
  14. GRAMAA

    JamiiForums Tanzania Ndoa ndiyo taasisi hatari kuundwa duniani kwa lengo kutesa maisha ya binadamu

    Ni hivi, hakuna msomaji yoyote yule wa uzi huu ndani ya JF aliyepata furaha ya maisha kutokana ya yeye kuoa au kuolewa na hii inatokana na ukweli kwamba lengo lililojificha la ndoa ni kufarakanisha watu na sio kuunganisha watu kama watu wengi walivyoaminishwa. Baada ya kifo kitu kingine...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ndoa inaelekea kunishinda

    Ushauri wenu jamani, Mimi nimeolewa nipo kwenye ndoa hatujamaliza hata mwaka Ila kinachoniumiza mme Wangu ananisaliti, nimemkuta anamiliki simu ya Siri pamoja na line alikuwa kaficha kabatini baada ya kugombana naye akakubali kuwa ana mchepuko akampigia akaweka loud nikawa nawasikia akamuomba...
  16. Dumuzii

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyomuoa mke wangu

    Back then na uhuni wangu full kubadirisha mboga Kuna huyo mdada nilimchukulia poa saaana yani japo yeye alitokea kunipenda na kujitunza kwa ajiri yangu kwa maelezo yake. Basi nilikua Sina hata idea ya kuja kumla ila nilitongoza tu bahati mbaya akanikubalia muhuni wa watu mtoto wa baba mchungaji...
  17. geesten66

    JamiiForums Tanzania Kukosa hamu ya tendo la ndoa

    Habari za majukumu. jamani wana jamii nina matatizo ya kuto kupata hamu ya tendo la ndoa. Pia sina hisia za kupenda wanawake au mausiano kwa ujumla. Na niliamua kumsafilisha mke wangu mwaka jana na sina hisia nae kabisa. Je nitakua nina matatizo kiafya.
  18. karv

    JamiiForums Tanzania Maswali ya kujiuliza kabla hujaamua kuingia kwenye ndoa

    Habari zenu watanzania wenzangu hasa kwa wale ambao bado hamjaoa Nimepata kitu nimeona ni bora kuchangia na nyie ambao mnatarajia kuoa siku za mbeleni. Mambo yenyewe ni hayo hapo Kwa nini ufungue ndoa na mtu? ~Usifunge ndoa sababu ya msukumo mkubwa wa kihisia au watoto (sababu ya mimba) au...
  19. JAMBONIA LTD

    JamiiForums Tanzania Naomba Msaada wa kisheria kuhusu hili la ndoa ya mkeka

    Habari wakuu, kuna binti anadai kijana wetu amempa mimba. Hivyo wamekuja wazazi wa binti kudai ndoa ya mkeka, kinyume na hapo wanatishia kumfunga kijana wetu kwani binti kamaliza form four mwaka jana. Mimba ina miezi 4/5 hivo iliingia wakati akiwa mwanafunzi ingawa kwa sasa amemaliza. Kijana...
  20. karv

    JamiiForums Tanzania Mambo muhimu ya mahusiano ya kufahamu kabla ya ndoa

    Habari za wakati huu nimepata kitu ningependa kushiriki nanyi wapendwa.. 1)Mahusiano ni magumu na kila uhusiano ni tofauti kikubwa fuata hisia zako tu. 2)Subiri umri sahihi ufike usichekewe sana wala usiwahi sana. Umri sahihi ni ule ambao unaona wewe unaweza kuhimili majukumu na changamoto za...
Back
Top Bottom