Pigo kwa kambi ya Mabachela TBC: Mtangazaji Asheri Thomas Mwaipopo afunga Ndoa

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,207
4,703
Asheri Mwaipopo ni mtangazaji wa TBC na amefunga Ndoa takatifu na Godliver David Yanga kwenye Kanisa la Baptist Kolosai huko Wilayani Tunduma Mkoani Songwe

FB_IMG_16301674787694818.jpg
 
Kwanini usimuwazie yaliyo mema!?
Angalia post zao humu...
1. Mara ""Dah mwanaume we hakikisha wanao wanakula huyo mwanamke achana na maisha yake""
2. Mara ""Kugongewa kawaida braza, kwani we mwanaume huchepuki?""
3. Utawasikia,"Akagongwe tu ila nisijue"

Ukitaka kujua ugumu wa ndoa chunguza kazini kwako yanayoendelea..!!!!

#YNWA
 
Pole Liverpool VPN
Ukitaka furaha ya ndoa muombe Mungu akupe mke wako halafu na wewe kuwa mume wake
Mapungufu madogodogo yanaweza kuwepo lakini furaha ninkubwa zaidi.

Mungu atusaidie
 
Pole Liverpool VPN
Ukitaka furaha ya ndoa muombe Mungu akupe mke wako halafu na wewe kuwa mume wake
Mapungufu madogodogo yanaweza kuwepo lakini furaha ninkubwa zaidi.

Mungu atusaidie
Mapungufu ya kugongwa nje?

#YNWA
 
Mapungufu ya kugongwa nje?

#YNWA

Kugonga na kugonngwa nje ni matokeo ya mapungufu mengine na sio pungufu pekee, yapo mapungufu mengine mengi yanayopelekea hilo na hayo ndio mapungufu makubwa zaidi

Na Kugonga na kugongwa nje ni tabia ya mtu na imani zetu zina miongozo sahihi kwa hilo
 
Kaoa au kabariki ndoa? Ina maana alikuwa bado hajaoa? Ila ndoa ni nzuri na tamu, shetani anapoingia inakuwa ni chungu, uchungu wa ndoa ni usaliti
 
Back
Top Bottom