Umewahi kujuta kumuoa/kuolewa na huyo?

Chariton

New Member
Dec 18, 2021
0
0
Inawezekana wakati unamuoa/kuolewa naye ulikuwa na mategemeo lukuki ambayo kwa bahati mbaya huyaoni katika Manisha halisia ya ndoa!

Umewahi kujiuliza kama unatimiza mategemeo yake kwako ya kabla ya ndoa? Moyo wa mwanadamu ni kichaka, yawezekana amejaa sononeko ndani ya moyo wake kwa kutopata toka kwako alichotegemea kabla ya ndoa!

Kabla ya ndoa, wakati wa urafiki wa kimapenzi, uchumba mlifurahiana Sana, je, bado mnafurahiana? Unafurahia kuwa naye? Ametimiza matarajio yako kwake au amekengeuka? Unafanya nini kuendana na hali hiyo?

Uzi tayari! Karibuni.

1643187785928.png

=======
Kwa maoni zaidi soma:Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa
 
Back
Top Bottom