Katika suala zima la ndoa, dini ya Kiislamu ipo vizuri

karv

JF-Expert Member
Dec 26, 2019
1,799
3,221
Nawasalimu kwa jina la jamuhuri

Binafsi nimekuwa mfuatiliaji mkubwa sana hasa wa maswala haya yahusuyo ndoa lakini kwa upande wangu nimeona ndoa kwa mujibu wa dini ya kiislamu wapo vizuri sana hasa katika swala zima la:-

1)Ndoa kwa ujumla
2)Talaka

NDOA KWA UJUMLA
-Hapa napenda kuzungumzia swala zima la kuoa mke zaidi ya mmoja ama kwa hakika hii kitu ni nzuri sana. Maana licha ya kwamba tamaa ipo kwa mtu mwenyewe lakini pia kuoa mke zaidi ya mmoja inasaidia kupunguza swala zima la michepuko. Pia ukipata wake wazuri kwa kushirikiana nao kwa pamoja unaweza kufika mbali hasa katika swala zima la maendeleo

Lakini changamoto kubwa iliyopo hapa pindi mume anapofariki watoto kuanza kugombania mali hivyo naamini nyie ni mashuhuda kwa baadhi ya familia.

TALAKA
Sasa hapa kwenye talaka ndio wamepatia kabisa yani haiwezekani mke wangu nimfumanie ugoni halafu niambiwe kitatutenganisha kifo huo ni uongo. Haiwezekani mke awe na tabia zisizofaa ikiwemo kudharau ndugu zangu halafu niendelee kumkumbatia kisa kifo ndio kitatutenganisha. Kama mke kakosea umemuadhibu mara mbili ya tatu bado anafanya kosa lile lile talaka ndio halali yake.

Hii sheria ya kwamba kifo kitutenganishe imewaponza watu wengi sana hadi kupelekea wengine kuona ndoa zao ni chungu na kukimbilia kutafuta tulizo nje kisiri (mchepuko) maana wanaona maovu ya wenza wao lakini wanashindwa kuwapa talaka kwa kisingizio cha hadi kifo kitutenganishe.

Kama wewe si muislamu basi funga ndoa hata ya kiserikali lakini uweke kipengele cha kuongeza mke mwingine hapo hatokuwa na jeuri ya kuringa maana kwenye ndoa ya kiserikali hata talaka zipo. Kwa kumalizia kwenye swala la kuoa mke zaidi ya mmoja waislamu mmeupiga mwingi sana

Kumbuka kuoa sio lazima pia ndoa ndoano

Naomba kuwasilisha

1644903058115.png

 
Wapo vizuri sana, naipenda Allah, (Mungu mmoja) asiyegawanyika nafsi tatu ndio maana kawaangazia kuhusu ndoa. Wakristu swala la mke mmoja halieleweki! Ndio wanaongoza kwa nyumba ndogo mtaani. Ni kichekesho! Mke mmoja anapojifungua au itokee matatizo mengine mwanaume utaweza kuvumilia kweli? Ndicho chanzo cha kuchepuka. Wazee wetu wa zamani walijua hilo na waliishi kama Waislamu.
 
Wapo vizuri sana, naipenda Allah, (Mungu mmoja) asiyegawanyika nafsi tatu ndio maana kawaangazia kuhusu ndoa. Wakristu swala la mke mmoja halieleweki! Ndio wanaongoza kwa nyumba ndogo mtaani. Ni kichekesho! Mke mmoja anapojifungua au itokee matatizo mengine mwanaume utaweza kuvumilia kweli? Ndicho chanzo cha kuchepuka. Wazee wetu wa zamani walijua hilo na waliishi kama Waislamu.
Na je mume akipata matatizo mke aende wapi?? Dini ya kiislamu imewaweka wanawake chini sana
 
Mkuu hata hilo suala la mirathi lipo simple mno sababu ugawaji wa mirathi ushaelezwa nani wa kupata nani wa kukosa na nani atapata kiasi gani na nani atapata kisi hiki
iwe watoto na mke

Na hata kama aliacha wosia apewe fulani ambae yupo nje ya familia yaani jamaa au rafiki basi kipo kiasi fulani kwa kina maalum

Na jambo kubwa la kufurahisha katika uislam BABA huwezi kuacha wosia mtoto fulani apewe hichi au mke wangu mdogo apewe hichi.

Hata kama mtoto mmoja wapo alikuwa akikuudhi kwa matukio yake kupindukia ikiwa ulimzaa katika NDOA ukifa lazima arithi sawa na wenzake HUWEZI KUACHA WOSIA huyu KISIRANI asipewe katika mali zangu. Au huyu wa kwanza kipenzi changu nikifa nyumbani fulani ni yake peke yake katika UISLAM hakuna hiyo.

Watoto na mke wapo katika kundi ambalo wewe baba huwezi kujipangia kuwa nikifa huyu achukue hiki na yule apate hichi BIG NO watapata kulingana na sheria aloweka MWENYEZI MUNGU tena kwa haki kabisa

Yaan katika mambo yote ya kifamilia swala la mirathi katika uislam ni simple mno

Ukiona mgogoro katika mirathi ya UISLAM basi hao wapo nje ya SHERIA ya DINI na hata mzee wao aliishi NJE ya DINI
 
Uislamu ni dini ya haki sio tu ndoa mambo mengi katika uislamu yametolewa ufumbuzi ila wachache katika watu ndio wataelewa.
Wazinzi siku zote wana option chief. Mke ni mmoja tu. Hakuna kisingizio. Hao unaosema wanaoa mpaka 4 bado ni wazinzi waliokubuhu. Kikubwa unatakiwa kujua Mungu hafuati taratibu zako. Yeye ashaweka utaratibu ukizin ni kosa kuna adhabu. Mtu mzinz hata umpe mabeib wote atataman tu. So sisi wakristo Mungu wetu hakutupa option chief. Ukizin ni moto hata ukitaman ni kosa. Sio nyie mmepewa option eti msile kitimoto ila ikitokea dharura kula kula. Sasa huyo Mungu gan. Dhambi haiwezi kuwa nuru.
 
Nawasalimu kwa jina la jamuhuri

Binafsi nimekuwa mfuatiliaji mkubwa sana hasa wa maswala haya yahusuyo ndoa lakini kwa upande wangu nimeona ndoa kwa mujibu wa dini ya kiislamu wapo vizuri sana hasa katika swala zima la:-
1)Ndoa kwa ujumla
2)Talaka

NDOA KWA UJUMLA
Hii yote ni kutaka kuukabili uzinzi lakini mmeshindwa. Unazini hata mkiwa na wake 4.
 
Na ndiko Mwanamke hathaminiwi
Sio kweli mkuu
MWANAMKE katika UISLAM amepewa DALAJA la KWANZA kwa kila kitu au wazungu wao wanasema LADIES FIRST
mwanamke katika UISLAM amenyimwa UONGOZI tu

mfn:-
Mwanamke katika UISLAM ndie anataja mahari na ni yake hiyo MAHARI

Mwanamke wakati wa NDOA ndio anaazwa kuulizwa kama amekubari kuolewa na akikataa hakuna NDOA
mfn ataulizwa kwann umekataa usiolewe akasema mimi sijapewa mahari yangu basi hapo ndoa haifungwi mpk baba alokula maharai ya bint yake ampe ndo NDOA ifungwe

Mwanamke wa kiislam katika NDOA kazi yake ni mbili kujiremba kwa ajili ya mumewe na kumtanulia miguu aingie kati
na hata akikuzalia mtoto kumlea na kumnyonyesha ilipaswa umlipe hayo mambo ya kupika na kufua kama huwezi inapaswa wewe umtafutie mjakazi

mwanamke katika NDOA ya uislam kupika sio kazi yake wala kukufulia
ndio mana inasemwa kilaanapompikia mumeo na kumfulia unapata thawabu mara 100 zaid

Nimekueleza hayo machache tu
lkn yapo kedekede yanayomfanya MKE katika uislam aishi kama mfalme
na MWANAMKE katika uislam thamani yake iwe juu kam lulu

na ndio maana wakaambiwa wataingia mlango wa PEPO waitakayo
katika UISLAM pepo zina madaraja kwa ubora wake kama unavyoona hotel nyota 3 nyota 4 nyota 5 basi pepo nazi zipo hivyohvyo
sawa wanawake wa kiislam waliolewa wameahidiwa wataingia katika pepo wazitakazo wenyewe watakavyopenda
ikiwa watafanya mambao haya matatu
1. akamtii MUMEWE
2.Akaswali sala 5
3.akafunga ramadhani
basi wataingia katika pepo yoyote ile waitakayo

Ukiona MWANAMKE wa KIISLAM ananyanyasika basi ameyataka mwenyewe
kwa upumbavu wake na kuivunja NDOA yake mwenyewe
 
Back
Top Bottom