themagnificient
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 1,065
- 3,845
Dk mwaka anaishi kiakili sana yaani jamaa anatengeneza pesa kwa kutumia akili tu, Dk mwaka kipindi cha hivi karibuni amekuwa akipromote sana wake zake watatu mtandaoni na akisema kuwa soon anaongeza mwingine wa nne.
Sasa Dk Mwaka kama mnavyomjua anapiga pesa nyingi sana hasa hzi za vijana wanaolalamika hawana nguvu za kiume ndio mahali madokta wa mjini hawa wanapopiga pesa, sasa Dk mwaka ile kuwa na wake wengi ni mpango tu wa kuifanya biashara yake izidi kunawiri yaani wewe mwenyewe ukiangalia dk ana wake watatu na anaongeza mwingine wa nne hivi karibuni unasema hapa kweli dawa zake zinafanya kazi kumbe mwenzako yupo kimkakati anapiga pesa tu.
Ila kiuhalisia kwa Dunia ya sasa 2022, kuwa na wake wengi na ukaweza kuwarishisha ni kipengele , wanawake unaweza owa hata wanne ila pesa ndio itawaweka lakini sio mapenzi, miaka ya sasa utaishia kuchunwa tu ila vijana huko nnje watakusaidia vilivyo.
Kila mtu aowe mke wa maisha yake ambae mtaishi kwa amani mkiiga mmekwisha.