ndoa

  1. U

    JamiiForums Tanzania Ndoa za Kanisani Zifutwe , tuwe na ndoa za Serikali tu, mauaji mengi

    Nashauri Ndoa za Kanisani ambazo hakuna kuachana mpaka kufa zifutuliwe mbali na badala yake tuanze na tuwe na ndoa za mahakamani tu ambapo mkuu wa wilaya hapo bomani anawafungisha ndoa, na ni rahisi sana kuitengua ndoa hii. Kwakuwa mauaji ndoani yameshika Kasi ,ambayo yanasababishwa na hizi...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Swalha na Said walishakubali ndoa imekufa ila wadananda wakaendelea kuishinikiza kwa manufaa yao binafsi

    Dada mdogo wa marehemu mke amesema dada yake alimwambia kashachoka kutukanwa na mumewe na hadhani kama ndoa ina manufaa, mdogo mtu aliendelea kumshinikiza amalize mgogoro kwani yeye anaona wanagombania kitu ambacho hakipo hivyo rahisi kusuluhisha. Mdogo mtu alikuwa anaishi kwenye nyumba nzuri ya...
  3. JamiiForums Tanzania Binti jiepushe na mambo haya usije kuuawa kwenye mapenzi au ndoa

    Kwema Wakuu! Baada ya kushauri Vijana wa Karne hii ya 21+ mambo ya kuzingatia ili wasijekuuwa na kujiweka matatizoni, Leo nitamalizia na Wanawake ili mambo haya yapungue. Andiko hili nitaliandika Kwa makundi mawili ya watu(wanawake) kundi la Wafuata mifumo ya Kiimani, kundi la pili ni...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Waarabu na wahindi wenye uraia wa Tanzania hawafungi ndoa na ngozi nyeusi japo dini wanasali pamoja

    Ninajiulizaga sana hili swali. Mbona tuna wahindi wengi sana waislam na wakristo. Na tuna waarabu wengi sana waislamu wenye uraia wa Tanzania. Ila why hawaoi dada zetu ngozi nyeusi? Inawezekana wanatujua ngozi nyeusi tuna mambo ya ajabu. Mfano msiba wa dada wa Mwanza aliyepigwa risasi ndugu wa...
  5. JamiiForums Tanzania Kumbe Kabila la Warangi unaweza kumuoa binamu kwa utani kisha ndoa ikawa ya kweli

    Habari wana JF nimekutana na andiko hili la Adeladius Makwega wa DODOMA. Nafikiri kuna jambo la kujifunza hapa. Warangi ni kabila la kibantu linalopatikana katika mikoa ya katikati ya Tanzania ambayo sasa ni sehemu ya Dodoma. Kwa mujibu wa makadilio ya idadi ya watu ya mwaka 1999 kabila hilo...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa dunia ya leo mnafuata nini kwenye ndoa? Ndoa ni mambo ya zama za kale

    Naomba nisisitize hili kwa mara nyingine tena. Ndoa lengo lake kuu ni uroda. Zama hizo (mwaka 47) watu walikuwa na maadili ya kufa mtu kiasi kwamba ambaye hajaingia kwenye ndoa ilikuwa haliwezekani kupata uroda. Basi hapa ndipo watu wakakazana kuoana. Miaka hii tunatongozana kila mahali, kila...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Ndoa zinayumba sababu mabinti wengi wana tabia hizi...

    Mara nyingi tunaposikia sheria za MUNGU tunaona kama vile zinatubania tu! Sio ajabu, ndio uongo wa nyoka tangu mwanzo alipomwambia Eva kwamba mkila hamtakufa, sio kwamba MUNGU kawakataza kula kwamba anataka awaepushie kifo kwasababu anawapenda bali ni kwa sababu MUNGU anawabania msiwe kama...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Kitanzania watauana sana kwa sababu ya kuingia kwenye ndoa kama fasheni. Ndoa ni mkataba mzito sio wa kuvamia hovyo

    Ni ngumu sana kwa karne hii iliyojaa kizazi cha nyoka kupaka mwanamke ambae ana utayari wa kukaa kwenye ndoa. Hii ina maana kuwa anakuwa tayari kuvuliwa chupi, kufanya usafi, kusaidia ndugu na jamaa za mume na kutii maagizo ya mume. Siku hizi wanawake wengi wanatafuta mahala pa kujificha na...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Majibu manne ya wanaume kwa wake zao yanayovunja ndoa

    Mwanaume kabla ya kuoa hakikisha umejipanga kwa kipato, ili uweze kumhudumia mkeo bila shida. Usiwe mtu wa kusubiri michongo, mshahara ama kibarua. Uwe na akaunti imenona na biashara iliyostawi. Majibu haya ya wanaume kwa wake zao huvunja ndoa haraka mno 1. Unataka kufanyia nini? Yaani...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Ndoa ya kimila ni ndoa nzuri sana kwa wanaume wa kikristo matajiri zama hizi

    Habari wadau. Wanaume wengi wa kikristo wanalalamika tabia za wake zao huwa wanabadilika baada tu ya kufunga ndoa kanisani ama uzeeni kwa kiburi cha ndoa haivunjiki na pia migogoro ya mali ni mingi sana. Sheria ya ndoa ya Tanzania inatambua ndoa 3. Ambazo ni ndoa za kidini, ambazo ni ndoa ya...
  11. JamiiForums Tanzania Sitelekezi mtoto niliyezaa nje ya ndoa

    Watoto ni baraka ndani ya familia; wengi wanatafuta watoto na wengine hukosa kabisa kupata watoto, na hatimaye kukimbilia kulea watoto wa ndugu au wa jamii nyingine. Watoto wakiwa wadogo huwa ni changamoto hasa kwa kuhitaji malezi bora, huduma muhimu, ambazo zitahitajika huduma za kifedha...
  12. JamiiForums Tanzania Ukimkaribisha mtu kinywaji ni jukumu lako kumfharamia.

    Unapomkaribisha mtu iwe bar, public house au nyumbani kwako, ni jukumu lako kumfharamia kwa vyote utakavyo milipia. Hujui huyu unaemkaribisha mfuko I ake uko vipi. Si ajabu amebaki na laki moja anaipigia mahesabu itakavyookoa hali ya uchumi nyumbani mpaka mwisho wa mwezi atakapo pokea...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Mliosoma PCM vipi maendeleo kwenye ndoa?

    Wale wenzangu mliosoma PCM baadhi yenu tena kwenye shule za vipaji na mkafanikiwa kuwa na wenzi. Vp PCM imekusaidia chochote kwenye ndoa? Au unapelekeshwa Kama boya?
  14. JamiiForums Tanzania Kufungisha ndoa takatifu huku Bibi Harusi akiwa mjamzito ni kuhalalisha uzinzi

    Nawasalimu katika jina la chama pendwa CCM. Leo nimekuja kitofauti. Leo ninatoa maoni yangu kuhusu mambo ya mapenzi na ndoa. Kabla sijaelezea nataka kila msomaji ajikumbushe ule msemo usemao "fuata maneno yangu sio matendo". Leo nitaongelea kitendo cha madhehebu yetu hasa ya kikristo...
  15. JamiiForums Tanzania Wanawake acheni roho mbaya

    Kama mada inavojieleza, wanawake acheni roho mbaya. Kama mtu haumuitaji tena na umemchoka kwann umsingizie mambo mabaya?nimesikia matukio mengi kuhusu wanawake kiukweli mmezidi roho mbaya. Kuna jamaa yangu miaka miwili iliyopita sasa badae sjui ilikuwaje yeye na mkewe wakapishana na wakawa...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Hivi mkeo wa ndoa anapokublock kwenye simu anakua na maana gani?

    Kwema waheshimiwa? Hivi mkeo wa ndoa mnaeishi nae nyumba moja na kulala same bed anapokublock kwenye normal calls or WhatsApp, anakua na maana gani? NB;Hii kesi ni ya jamaa yangu.
  17. JamiiForums Tanzania Ndoa yaingia matatani baada ya baba wa mtoto kusikia watu wakisema mtoto siyo wa kwake

    Iko hivi, hili tukio limetokea hapa ninapoishi, jamaa akiwa amekaa zake ndani amepumzika na mihangaiko ya hapa na pale, mkewe na majirani wenzie wapo nje kibarazani wakipiga stori. Katika stori zao wakaanza kumsema mke wa jamaa kuwa huyu mtoto baba yake ni nani? Mbona hawajafanana hata ukucha...
  18. JamiiForums Tanzania Wanaume Mungu anawaona! Nipo kwenye ndoa miaka 2 na nina mtoto, nimegundua mume ana-cheat

    Habari za mida wana MMU, Jamani hapa nimechanganyikiwa sielewi, nipo kwenye ndoa miaka 2 na nina mtoto mmoja wa mwaka na ndani ya huo muda wote sijawahi kuhisi mume wangu kunicheat japo kuna wakati huwa anachelewa kurudi ananiambia ni mambo ya kazi tunasort yanaisha. Sasa majuzi nimekuta...
  19. JamiiForums Tanzania Nisiwanyime taarifa Tarehe 17/06/2022 Ninafungua ndoa na Msweden (Mswidi)

    Habari zenu bwana mko salama ? Nimewapa taarifa nafurahia sana Mtoto wa kiswidi ndo kaangukia mikononi mwangu Atakuwa kamaliza chuo maana wazazi wake walisema mpaka amalize Upsala University Karibuni. Itafanyika Bukoba TANZANIA...
  20. JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kuishi na ndugu baada ya ndoa unafaa uwe vipi?

    Habari za siku nyingi watu wa Mungu. Hivi ni utaratibu gani unafaa kufuatwa katika kuchagua ndugu wa kuishi nao baada ya ndoa. Nakumbuka mwanzo kabisa kipindi namuoa mke wangu nilimjulisha kuwa napenda sana ndugu ila kuishi na ndugu ni mtihani kama mtu ana uhitaji na tuna uwezo wa kumsaidia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…