Cheti cha Ndoa kingetolewa baada ya miaka mitatu ungechukua?

Ili iweje kwa mfano...

Nimejibu kama mwanamke anayesalitiwa na mumewe.

Hamjali anampiga na kumpiga matukio kama yote.

NB: Sio mimi 🤣🤣
Sio wote wanao cheat,kwanza mpk mwanaume mwenye akili zake afanye hayo jua kunatatizo nyumbani kwake,either unyumba wa masharti or kuna kutosikilizana kunakosababishs hapati tendo lazima kuna shida.ni wachache sn wanatoka na mtu mwingine nje ya ugomvi.
Kwa wakina mama ni financially most of the time mapenzi kwa mtu wa nje yanakuja baadae sn.
 
Back
Top Bottom