Shikamoon wakubwa, wadogo zangu hamjambo.
Siwezi kuwa mnafiki,ndoa ni moja ya nguzo ya lazima,na napenda sana niwe na mtu sahihi ambaye tutaheshimiana.
Mapenzi ni kama majani huota popote vilevile,mpenzi atapatikana popote iwe jamiiforum,mtaani na kila sehemu.
Lakini ni yupi mume mwema na...