ndoa

  1. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Usifanye sherehe ya harusi kama unataka ndoa yako idumu.

    Harusi kubwa inaweza kuunda mindset ya zile hadithi za 'forever and ever" na kuji mwambafy katika hadhi fulani hivi, na pia kukuza matarajio yasiyo ya kweli kuhusu ndoa. Wakati maisha ya kila siku hayalinaginishwi na ukuu wa sherehe yenu, ukakasi unaweza kuwatokea na kusababisha kutoridhikiana...
  2. Royal Son

    JamiiForums Tanzania Nimeokota pete ya ndoa

    Habari Wandugu nimeokota Pete ya Ndoa kama kichwa habari kinavyojielezea. Sasa nasubiri niokote mchumba tufunge ndoa tuu 😔😔😔
  3. Oscar Lyrics

    JamiiForums Tanzania Ingia kwenye ndoa pale unapokuwa tayari kwa ajili ya maisha ya ndoa

    Wapo baadhi wanaoingia kwenye ndoa kwa sababu flani amaeoa/kuolewa, yani hajui kwanini ameingia kwenye ndoa. Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na wimbi kubwa la ndoa kuvunjika kwa sababu mbalimbali kwa mfano, -Kijana anaamua kuoa lakini unakuta bado ana tabia za mvulana yani bado hawezi...
  4. Fbn

    JamiiForums Tanzania Miaka inavyozidi kwenda na mambo ya ndoa yana potea kabisa

    Kuna vipindi youtube sijui challenge kufahamu kama kuna mapenzi ya kweli. Unaweza kujua ni utani au maigizo yani wasio kuwa kwenye ndoa walio kuwa kwenye ndoa ni kama wapo group moja la wasaliti. Kutarakiana kumeongezeka huko mahakamani,nyumba za dini na waamuzi wao. Kwa sasa kama mnataka...
  5. gallow bird

    JamiiForums Tanzania X anataka tufunge ndoa

    Wakuu,nipo kwenye 40s,mke wangu alitangulia mbele za haki,nina watoto watatu,mkubwa yupo la saba Sasa huko ujanani nilikua na hawara,kwa kweli mzuri kuliko marehemu mke wangu ambaye ni huyo kwenye avatar, kwenye ufundi yule hawara ni fundi haswa Tatizo ni dada wa mjini,yupo salon,na ashakua...
  6. Bata batani

    JamiiForums Tanzania Vijana acheni kujidanganya linapokuja swala la ndoa au mahusiano wanawake wana mipango mingi ya siri jinsi ya kuwangamiza

    Mwanamke akishajua kupitia mwanaume aliyenae miaka ya mbeleni Kuna maisha huwa wana mipango mingi ya siri mioyoni mwao mpka siku atakajipata ..... Ukweli ni kwamba mwanamke akiwa hajajipata huwa ni kiumbe mpole, mnyenyekevu na mtiifu kwa mwanaume lakini siku ambayo akijipata ni lazima abadilike...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Je, ndoa za siku hizi ni biashara au mapenzi? Mbona talaka zimekuwa nyingi kuliko harusi?😩

    Nawasalimu Wana-jamiiforums habari zenu? Moja kwa moja kwenye hoja. Zamani ndoa ilikuwa taasisi takatifu, watu walivumiliana, walilea watoto pamoja na waliheshimu viapo vya ndoa. Lakini siku hizi tunashuhudia talaka zikitolewa kwa sababu kama "Hajanitumia salamu asubuhi" au "hana gari tena"...
  8. Craig

    JamiiForums Tanzania MWANAUME KAMA ULIVUNJA NDOA KABLA YA MIAKA KUMI ULIKOSEA.

    Habari wana Jamiii. Wenzangu.. Bila kupoteza muda. Nimeamua kushare na wenzangu humu jukwaani uzoefu wangu niliopitia katika ndoa. Ipo hivi nime ngundua kufanya Utafiti usio rasmi. Kuwa mwanamke ambaye unaishi naye (Bila kujali umeuoa au laa) akitoa kauli ipuuziee kwa sababu wanawake huongea...
  9. Peter Mwaihola

    JamiiForums Tanzania Je bado wanawake wa Kijijini wanadumu kwenye ndoa za mjini?

    Kuna dhana kuwa ni bora kijana wa mjini kuoa mwanamke wa kijijini kwa sababu hudumu zaidi kwenye ndoa kuliko wanawake wa mjini ambao wengi wao ni wajanja wajanja. Watu wengi wenye mtazamo huu huzingatia kiwango cha heshima, uchapakazi na utulivu wa tabia kwa wanawake wa mjini ukifananisha na...
  10. Fbn

    JamiiForums Tanzania Someni hapa kuhusu Uchumba vs ndoa na ratiba

    Kuna kitu nimekiona kwenye kesi nyingi za ndoa ila si wazi kusema wakiachana. Uchumba hakuna ratiba ya kuombana kuhusu upwiru. Ila mkiwa kwenye ndoa ndio mnaanza katiba za wasiojulikana mwisho wasiku mnaishia kugombana kwa upwiru wenu. Ndoa nyingi zimevunjika kwa ratiba za upwiru.
  11. Friji la mtumba

    JamiiForums Tanzania Utamu wa Kuoa: Hii Siri Mabachela Hawaijui

    Ndugu zangu wababa na wavulana wenzangu, Nimekaa nikafikiri, nikasema ngoja niwape ukweli bila chenga – KUOA ni raha, ni utamu, ni burudani ya moyo na mwili, ila kwa wale walio tayari na wanaelewa maana ya kuwa na mtu wako wa kudumu. Na sasa ngoja nizungumzie kwa staha lakini bila kujizuia –...
  12. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Kuwa mwana CHADEMA, siyo ndoa, kila mmoja anahaki, utashi na maamuzi binafsi!

    Tunashuhudia baadhi ya viongozi wa Chadema wameanza kuhaha Huku na kule, wengine kumpigia simu mwenyekiti mstaafu kumuuliza, uelekeo wake kisiasa, huku ajenda kuu ya Chama kwa sasa ikiamia katika kujitetea na kukaza moyo, ya kwamba waliwaita kwenye vikao bagamoyo lakini walijibiwa ngoja tumzike...
  13. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Maombi ya kuondoa nyumba ndogo kwenye ndoa yako

    Asikwambie mtu JAMAN hili n janga la taifa kama sio dawa sugu YAAN wengine wake zetu wanapiga maombi mpaka basi na wanavyoongeza maombi na Hawa NDUGU small house wanaongezeka Mwenye kujua maombi maalum ya kupunguza ama KUONDOA NYUMBA ndogo tujuzane pls hapa Tupige tobaaa
  14. Pdidy

    JamiiForums Tanzania HAKI ZA MWANAUME KTK NDOA N ZIPI??

    ZItafuteee mapema Usipozijuaa wenzioo watakusaidiaaaa nduguuu Zitafutee uzifanyie KAZI Na nyie wanawake tafuteni kujua haki zenu ktk ndoaaa
  15. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Kataa ulimbukeni na uzinzi linda na penda ndoa

    Nimekuwa nikisoma kampeni chafu na uchwara za kataa ndoa zinazosambazwa na kutangazwa humu. Sifichi msimo wangu. Nachukia wale wote wanaokataa ndoa na kutaka kulazimisha wengine. Kama wanazikataa tokana na matatizo yao fichi, ni haki yao. Lakini wasilazimishe wengine. Nami hapa silazimishi...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Ndoa za waliovuka 30 hazidumu, wengi huwapati nafasi ya uchaguzi sahihi, wanajitupa kokote kupunguza maneno

    Vijana wengi wanaovuka miaka 30 bila ndoa hukumbana na pressure ya matarajio na maswali mengi kutoka kwenye jamii inayowazunguka: Unaoa lini? Kwanini hujaoa/hujaolewa? Wenzako wanaoa/kuolewa, wewe unasubiri nini? Hivi kaka/dada, usingizi unautoa wapi huna ndoa? Unasubiri nini? Huko kwenye...
  17. X-Agent

    JamiiForums Tanzania Nimechapiwa rasmi nikaribisheni team kataa Ndoa!

    Rejea kichwa cha habari.
  18. Nyafwili

    JamiiForums Tanzania Salute Kwa Wale Waliokwisha Oa Au Kuolewa. Tafadhali, Mliwezaje Kufanikisha Hilo.?

    Maisha ya mapenzi yamejaa comedy na stress kwa wakati mmoja, Naona ni ngumu sana kumpata mwanamke mzuri wa kuoa, Tayari ni takribani miaka miwili na miezi minne tangu nianze kuamua kutafuta mtu wa kuoa lakini bado sijafanikiwa. . Safari hii imekuwa ya mizunguko na drama kibao hadi sasa, na...
  19. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Mwanaharakati Rebecca Gyumi kapotelea wapi? Chezea NDOA wewe!

    1. Mwanaharati huyu Enzi za jiwe alikua na kampeni mujarabu ya kupinga Sheria ya ndoa na alifanikiwa kushinda mahakamani. 2. Sasa yeye alipoingia kwenye NDOA naona kapotea Mazima. NDOA ukiingia kiuhanarakati lazima uchechemee kama umekanyaga nnya
  20. R

    JamiiForums Tanzania Ndoa ni changamoto

    Nimepita kwenye mitandao ya kijamii nimekutana na hii... Aiseh ni ganzi. Ni tamaa, mapenzi au kujienekeza. Mwanamke yupo kwenye ndoa lakini akarudiana na EX wake na wakazaa hadi mtoto
Back
Top Bottom