ndoa

  1. Mangwea1900

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu mume na mke kwenye ndoa

    Mume anaoa ili atimiziwe haja za ngono na huduma nyingine za msingi za nyumbani ikiwemo kupikiwa chakula, kufuliwa nguo, kutandikiwa kitanda. Mke anaolewa sababu ya kutafuta usalama wake na kuhudumiwa kwa mahitaji yake yote wakiwemo wazazi wake. Kama haupo tayari USIOE wala KUOLEWA. Endelea...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Umasikini wa kipato ni mbaya sana huua ndoa za watu

    Kipato kwenye familia kisipokuwa sawa hupelekea migogoro na hata wapenzi kukasirikiana na kuachana pasipo kukusudia.Hasira za mara kwa mara pasipo sababu na hata ugomvi.Serikali inatowa tu takwimu za ndoa kuvunjika hawajikiti kutafiti kwanini ndoa zinavunjika.
  3. Dr leader

    JamiiForums Tanzania Hakuna ndoa ya siri

    Acha tufunge maneno vizuri leo. Hivi unajua kuna watu wanaoa kama vile wanafanya biashara ya madawa ya kulevya? Yaani, kimyakimya, bila mashahidi, bila kujulisha hata mbwa wa jirani. "ndoa ya siri." Sasa hivi bwana, kuna mtu anaweza kupata ndoa nyuma ya pazia alafu kesho anaanza kusema...
  4. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Diamond atoa talaka tatu kwa mkewe Zuchu, Khadija Kopa azikataa ni baada ya NDOA kudumu kwa mwezi mmoja kama ndoa za Magomeni

    Amani iwe kwenu watumishi Nianze kwanza na history ya magomen kitaa changu ninachoishi toka kitambo sana Kitaa hiki ni kitaa mabingwa wa ndoa za mkeka hasa mwezi wa Ramadhan unapokalibia Ndoa hufungwa nyingi sana na wazee wanaoitwa wazee watukufu katika uislam Wazee hawa watukufu katika...
  5. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Kwanini hekima za kale pia hata maandiko zilisisitiza ndoa za wanawake bikira

    Katika tamaduni nyingi za kale, hasa barani Afrika, wazee wetu walithamini sana mwanamke anayehifadhi usafi wa mwili wake – si kwa sababu ya mila tu, bali kwa sababu walijua fumbo la nishati lililojificha katika tendo la ndoa na nguvu ya kwanza ya muungano. Katika ulimwengu wa kiroho, mwili wa...
  6. W

    JamiiForums Tanzania Kuna mwanawake nilishindwana nae kwa kiburi chake pro max, mtu aliemuoa kajifunza kunywa pombe na huchelewa kurudi nyumbani

    Kama ilivyo kawaida, Ijumaa huwa napenda kwenda kupumzisha akili moja baridi, moja moto kwenye viwanja. Lakini leo hali ilikuwa tofauti kidogo. Rafiki yangu mmoja aliniomba nimpe kampani twende kwenye kiwanja ambacho yeye amekizoea. Sikuwa na shida, tukasafiri pamoja hadi huko. Tulipofika...
  7. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Bila Mchepuko, Ndoa Nyingi za Sasa ni Ngumu Kudumu – Unahitaji “Catalyst” ya Mahusiano

    Kwa mtazamo wa sasa juu ya ndoa na mahusiano ya kimapenzi, kuna ukweli mchungu ambao wengi hawataki kuukubali hadharani: bila mchepuko, ndoa nyingi za siku hizi hazidumu kwa amani wala furaha. Kabla hujanihukumu au kunishambulia, tafadhali nielewe vizuri. Sipromoti usaliti, bali najaribu...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa Najiona Nishakata tamaa kabisa ya kuo

    Wakuu mpaka sasa Najiona Nishakata TAMAA kabisa ya kuoa.kwa ninayoona kakazangu watatu walionitangulia wanavyofanyiwa ndani ya ndoa inanitia hasira Zaidi nikisikia neno ndoa. Kiufupi ndugu zangu wanazipambania Sana familia zao lakini awo shemeji mambo yao ni hovyo tena Kila mtu anachangamoto...
  9. NecZec

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri, nimepewa hukumu ya kugawana mali na aliyekuwa mke wangu

    Mimi na mpenzi wangu tuliyeishi pamoja kwa zaidi ya miaka miwili tuliachana baada ya mwanamke huyo kuanza visa na akaenda nyumbani kwao. Badae akaibukia mahakamani akiomba talaka na mgawanyo wa mali akiongozwa na wakili mmoja hivi ambae ni ndugu yake. Moja ya mali ni nyumba ambayo mahakama...
  10. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Ndoa: Safari yenye kusudi maalumu si kifungo cha milele

    MLANGO WA 7 SIRI KUHUSU NDOA Ndoa si kitu cha kudumu kwa lazima. Si gereza la milele, wala mkataba wa damu ambao lazima udumu hata kama moyo umekauka. Ndoa ni agano la muda, safari ya ujumbe, ujumbe ambao unapofika mwisho wake, hatupaswi kulazimisha uendelee kwa nguvu za maumivu au hofu ya...
  11. Friji la mtumba

    JamiiForums Tanzania Team kataa ndoa mnasahau kwamba hata simu mpya ina matatizo yake?

    Watu wa “sitaki ndoa, sitaki stress, nataka amani” mnasahau kitu kimoja muhimu: Hata ukiamua kubaki single, maisha hayana warranty ya furaha ya kudumu. Mnasema ndoa ina kelele? Basi tuambieni single life haina shida ya upweke usiku? Au haina pressure ya kulipa kila kitu mwenyewe...
  12. Tembosa

    JamiiForums Tanzania Wanaume tulioko kwenye Ndoa, Backup ni muhimu sana.

    Tahadhari: Si hamasishi watu kuchepuka. Wakuu, ili kuwa na ndoa imara na itakayodumu! Jitengenezee backup yako ya kupiga mambo pale ambapo nyumbani kwako mambo hayaendi sawa. Hii mbinu inasaidia sana. Binafsi nitafanya hivyo ili kunusuru ndoa yangu na kuimarisha familia. Few days ago...
  13. M

    JamiiForums Tanzania kihistoria ndoa hazikuwa zinafungwa sababu ya love, bali sababu zinginezo, zama hizi ndoa zinavunjika sana sababu zinafungwa sababu ya kupendana

    Kwa kihistoria, ndoa ilikuwa suala la kibiashara kabisa. Katika maeneo ya kale ya Mesopotamia, Misri, na Uchina, ndoa zilipangwa ili kukuza utajiri wa familia, kupanua maeneo, na kuimarisha ushirikiano wa kisiasa. Miongoni mwa Wazulu wa kusini mwa Afrika, ndoa ilikuwa njia ya kuunda uhusiano...
  14. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Naomba jina la hotel iliyopo Tanzania ambayo huwezi kuingia bila kuthibitisha cheti cha ndoa

    Wakuu naomba mnisaidie jina la hotel yoyote ambayo huwezi kuingia bila kuthibitisha cheti cha ndoa. Best Regards
  15. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Sababu kupoteza fahamu kwa mwanamke/mwanaume wakati wa tendo la ndoa, na namna ya kukabiliana na hali hiyo

    Kuzimia kunaweza kutisha, hasa baada ya kipindi cha raha ama msisimko mkali. Mara kadhaa kumekuwepo watu waliotaka kufahamu chanzo cha kuzimia, ama kupata kizunguzungu wakati wa tendo la ndoa kinapofikiwa kilele cha msisimko/raha, na namna ya kukabiliana na hali hiyo ya kupoteza fahamu. Hata...
  16. Teslarati

    JamiiForums Tanzania Wenye ndoa yenye watoto tu: Je mwanao alishawakuta kimakosa mkiwa faragha? Ulichukua hatua gani?

    Kwanza kataa ndoa nisiwaone huku, hii mada ni kwa wale tulowah kuishi maisha ya ndoa na familia yenye watoto. Je mwanao au wanao walishawakuta mpo faragha kimakosa? Je ulichukua hatua gani ili kuondoa mental au psychological damage kwa mtoto? Hii mara nyingi hutokea pale wazazi wakiwa na...
  17. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kwahio salome ataondoka na aziz au ndoa ilikuwa ni ya bongo movie

  18. fact only

    JamiiForums Tanzania NDOA (Kwa Sasa yani generation hii believe me bikra sio ndoa na ndoa sio bikra)

    Habari wana JF. Nilipata mwanamke Bikra na nipo nae mpaka Sasa lakini nimeshapata red flag kutoka kwake so nimeona nilete thread hapa "Ndoa sio Bikra na Bikra sio ndoa", Kwa lifestyle la sasa au generation hii wakuu hata mwanamke bikra ni mjanja mjanja vilevile, ingawa yeye nyeti zake zinakuwa...
  19. Friji la mtumba

    JamiiForums Tanzania TEAM KATAA NDOA – Ulevi wa Ubinafsi Usio na Maono

    Ni ajabu sana kuona kizazi kinachojiona "kimeamka" kikikumbatia falsafa ya ubachela kana kwamba ni mafanikio ya juu kabisa ya maisha. Team Kataa Ndoa wamechagua njia rahisi ya kuepuka majukumu, wakijificha nyuma ya visingizio vya uhuru, starehe, na "kupambana kivyao." Je, kweli wana akili...
  20. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Katika mila za Kalabari, bi harusi hatacheka wala kutabasamu hadi atakaporidhika na kiasi cha pesa anachomwagiwa wakati wa ndoa ya kitamaduni

Back
Top Bottom