Mwanaharakati Rebecca Gyumi kapotelea wapi? Chezea NDOA wewe!

and 998 others

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
28,304
Reaction score
39,846
1. Mwanaharati huyu Enzi za jiwe alikua na kampeni mujarabu ya kupinga Sheria ya ndoa na alifanikiwa kushinda mahakamani.

2. Sasa yeye alipoingia kwenye NDOA naona kapotea Mazima. NDOA ukiingia kiuhanarakati lazima uchechemee kama umekanyaga nnya
 
Moja kati wanaharakati ambao ni vielelezo kuwa sio wanaharakati wote ni wakaidi kwa ndoa zao na anapeta miaka kibao ndani ya ndoa yake..Mungu azidi kumjaalia wazeeke pamoja huwa napenda sana life style yake ..Rebecca Gyumi
 
1. Mwanaharati huyu Enzi za jiwe alikua na kampeni mujarabu ya kupinga Sheria ya ndoa na alifanikiwa kushinda mahakamani.

2. Sasa yeye alipoingia kwenye NDOA naona kapotea Mazima. NDOA ukiingia kiuhanarakati lazima uchechemee kama umekanyaga nnya
Hivi Niki wa pili alishaoa yule mchaga wake? Sitashangaa ikiwa zakayo kashapigwa chini tayari na mikaunda suti yake
 
1. Mwanaharati huyu Enzi za jiwe alikua na kampeni mujarabu ya kupinga Sheria ya ndoa na alifanikiwa kushinda mahakamani.

2. Sasa yeye alipoingia kwenye NDOA naona kapotea Mazima. NDOA ukiingia kiuhanarakati lazima uchechemee kama umekanyaga nnya
Mwanaharati uchwara
 
Back
Top Bottom