ndoa

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mke haombi Wala kutengeneza mazigiria yakuhitaji tendo la ndoa Hadi aombwe

    Habar wakuu hivi mke kutokuomba tendo la ndoa Wala kutengeneza mazigira yakuhitaji tendo la ndoa,yaan mpaka umuombe ila huwezi Kuta anamazigira ya kuhitaji au kuomba ukipiga kimya hitaona ishara zakuhitaji Wala kuombwa. zaid siku utaambiwa hujui wajibu wako
  2. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Tanga wanaume wengi kwenye ndoa wanalea watoto sio wa kwao kiufupi wanaume wanapigiwa sana,wanaume wapo weak na wavivu sana

    Sijawahi kuona wanawake wa ajabu kama mkoa wa Tanga japo wanawake hawatofauti ila wanawake wa Tanga wamezidi huu mkoa bwana aisee unakera sana na una wanaume weak sana aisee wananikera na kunichukiza aisee na wanaume Wengi sana kwenye ndoa wanalea watoto sio wa kwao Yaani unaweza kati ya...
  3. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Uzuri wa mwanamke / pesa za mwanaume sio kila kitu kwenye maisha ya ndoa

    Wanaume wengi wapo kwenye ndoa isiyo sahihi kwasababu ya uzuri wa mwanamke na wanawake wengi wapo kwenye ndoa isiyo sahihi kwasababu ya pesa za huyo mwanaume. Ndani ya ndoa mtu ndio anakuja kutambua kumbe kwenye ndoa kuna vitu muhimu zaidi ya uzuri wa mwanamke na mwanamke pia anatambua kumbe...
  4. KENZY

    JamiiForums Tanzania Tamko la kataa ndoa dhidi ya chama cha CHAPUTA!.

    Awali ya yote natumai mu buheri wa afya.. Mimi kama katibu wa chama cha kataa ndoa, napenda kutoa rai ama ushauri juu ya chama cha CHAPUTA yani chama cha wapiga punyeto Tanzania!. Kwanza ieleweke hivi kwa watu wote chama chetu cha kataa ndoa si kwamba kukataa ndoa ndo kukosa mpenzi!, la...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Ujinga mmojawapo wa waafrika wafia dini ya ukristo ni kufungishwa ndoa na viongozi wao wasio na ndoa

    Huu ni unafiki nkubwa na ujinga uliopitiliza linapokuja swala la mkristo kufungishwa ndoa na viongozi wa dini ambao wao wamekatazwa kuoa na hawana ndoa wala uzoefu wa ndoa. Kufungishwa ndoa na kushauliwa maswala ya ndoa na padri asiye na mke ni ukichaa kwani hana uzofu kwa hiyo hapa ni kupigana...
  6. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Kasema napika vizuri kumzidi mama yake mzazi

    Jana, nilikua sijisikii vizuri sikwenda kazini, na baba watoto akasema na yeye haendi atabaki na mimi afanyie kazi nyumbani, hali yangu haikua mbaya kivile, so nikashangaa ila nikashukuru basi, siku ikawa poa, ikaisha. Jioni hii tumekaa tunapunga upepo, out of nowhere, kaanza kusema ikibidi...
  7. Wakuperuzi

    JamiiForums Tanzania Ndoa ni ngumu wakuu! Hebu fikiria uungane na mtu ukubwani halafu uanze kumletea sheria zako

    Ndoa ni ngumu wakuu! Hebu fikiria uungane na mtu ukubwani halafu uanze kumletea sheria zako na azipokee tu kirahisi, sio kweli! ni lazima kuwepo na jambo la ziada kutoka kwako kabla ya sheria zako kusimama. Aliyeleta uzi kuwa ndoa inapendeza zaidi mkipishana umri angalau kwa uchache mwanaume...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Hivi inawezekana kupata cheti cha ndoa pasipokufunga ndoa?

    Hello wakuu Najua bongo mambo yote yanawezekana. Kuna dili nimeipata mahali,ila sharti natakiwa kuwa na cheti cha ndoa.so nimeumiza kichwa hapa nikaona nije humu niwaulize wazoefu kama kuna anaejua kama naweza kupata cheti cha ndoa nikiwa sijafunga ndoa?zaidi ningepata cheti kilichotolewa bomani...
  9. O

    JamiiForums Tanzania Wengi wanaotoa ushauri wa ndoa humu sio wanandoa, sababu ya upendeleo

    Wengi wanaotoa ushauri wa ndoa huku JF si wanandoa. Unaona kabisa huyu hajaoa wala kuolewa. Neno kuoa ni kuwa na mke unayempata kihalali—iwe kidini, kimila au kiserikali—na unatambuliwa rasmi kama mume wa mtu. Neno kuolewa ni kuwa chini ya mamlaka ya aliyekuoa, yaani unakuwa mke halali wa...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Jumamosi hii nafunga ndoa Rasmi

    Wakuu Herini ya Pasaka na Poleni kwa msiba Wa Pope. Kama nikivyowaahidi kwenye ule Uzi wangu wa Nyuma kama hujausoma au hukumbuki (Mkasa wa kweli, kuhusu visa vya kushangaza nilivyokutana navyo katika kazi za Udalali) sasa ni Rasmi wiki hii nitafunga ndoa Rasmi na Judi wang Tumepitia mitihani...
  11. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Asilimia Kubwa ya Wanawake Wanaosema Wanateseka Kwenye Mahusiano au Ndoa Zao, Mazingira Hayo Wameyajenga Wenyewe

    I – Inshu (Hoja Kuu) Katika jamii ya sasa inayozidi kukumbatia usawa wa kijinsia, sauti za wanawake wanaolalamika juu ya mateso ya kimahusiano na ndoa zimekuwa za kawaida. Mitandao ya kijamii, majukwaa ya wanawake, na hata mijadala ya hadharani imejaa simulizi za huzuni kuhusu wanawake...
  12. uran

    JamiiForums Tanzania Mambo ya Ndoa: Mkiwa na Amani inakuwa raha sana kwa kweli, Ishu ni kui-maintain hiyo Amani

    Asikuambie mtu kwenye ndoa kipindi cha Amani, huwa kimejawa na furaha na mshawasha wakutosha. Hasa ukute umeoa/kuolewa na rafiki yako, mnapatana. Unajikuta unatamani kuwa karibu na mke/mume wako wakati wote, unapata hamu yakumnunulia zawadi hata kutoka outing za hapa na pale. Ndugu zangu...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Wanawake walioishia darasa la saba wapewe maua yao, nje ya kujizolea points za kudumu kwenye ndoa, wanaongoza pia kuwa tayari kuzaa watoto 4 au zaidi

    Hatukatai uzazi wa mpango ni muhimu, tunazalisha idadi ya watoto tunaoweza kuwamudu na kuwahudumia. Tatizo linakuja mna uwezo wa kuhudumia hata watoto saba lakini mwanamke anafunga breki mtoto wa pili. Raha ya ndoa watoto, na raha ya mtoto ni kuwa na ndugu zake wengi. Wanawake wengi sikuhizi...
  14. Now and then

    JamiiForums Tanzania Miaka 35 ya Jux akimiliki PESA, ELIMU , UMAARUFU ila bado alikataa kuzaa nje ya ndoa hongera Jux you made it ni somo kubwa sana kwa vijana.

    Miaka 35 ya Jux akimiliki PESA, ELIMU , UMAARUFU ila bado alikataa kuzaa nje ya ndoa hongera Jux you made it ni somo kubwa sana kwa vijana. Jux we ndo kioo cha jamii Hapa Tanzania achana na hao waswahili wanaojiita wasanii.
  15. mireille

    JamiiForums Tanzania Ndoa ya kisasi

    NDOA YA KISASI: NDOA YA KISASI Sehemu ya 1: Saa tatu usiku. Usiku mmoja wa kuvutia! Baada ya kunywa pombe kupita kiasi kwenye karamu yake na marafiki usiku, mchumba wa Emmy alimchukua na kumpeleka chumbani kwenye hoteli waliyopanga kupumzika, na kumbwaga kwenye sofa. Emmy alikunywa pombe...
  16. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Chriss Brown kuhusu ndoa alipoulizwa kwann haoi?

    “I don’t want to get married because I’ve realized all women do is try to use marriage as a quick way to get rich and continue their expensive lifestyle after making you sign the dǐvorce papers. Most of them come with a plan. They act sweet, marry you, and all of a sudden they switch and show...
  17. JOHNGERVAS

    JamiiForums Tanzania Saa saba Usiku Muda wa Kuombea ndoa Uchumi na Uponyaji

    MAOMBI YA USIKU YA UPONYAJI, UCHUMI, NDOA, BIASHARA NA KAZI Ee Baba wa Mbinguni, Mungu wa Ibrahimu, Isaka na Yakobo, Ninakuja mbele zako usiku huu nikiwa na moyo wa unyenyekevu na shukrani. Wewe uliyeanza siku hii nami, nakushukuru kwa ulinzi wako, rehema zako na neema zako ambazo hazikomi. Ee...
  18. Morning Glory1

    JamiiForums Tanzania HooneyMoon itangulie kabla ya ndoa. Watumishi wa mungu lisimamieni hili kuokoa ndoa za watu

    Kila mmoja atakubaliana na mimi kua kwasasa ndoa nyingi zinavunjika na ukijaribu kufuatilia kwa undani na kwa umakini zaidi sababu hasa ya ndoa hizo kuvunjika utagundua kua hakuna sababu zozote za msingi zinazopelekea ndoa hizo kuvunjika...utakuta sababu ni zilezile za siku zote kama vile...
  19. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania CCM na Dola, Ndoa yao ilifungwa Mwaka 1961, Maisha waloyaishi na kuyaishi Sasa, Kila Mmoja ni lazima ambebe mwenzake Kwa Jasho na Damu hata Kufa

    Ukisikia Kuna Ufisadi wa Mabilioni Kadhaaa , sio CCM tu wanaogawana, ingekua hivo Wangeshakua wameondolewa madarakani Kitambo sanaaa !! DOLA isingeweza vumilia hayo !!. Kuna wanaCCM kupitia serikalini Kwa waloyafanya Nchi hii, hata wao wakikaa wanaiona Hatia. Kuna Watu wa DOLANI Kwa...
  20. G

    JamiiForums Tanzania Ninahitaji kuongeza mke wa pili, nina ndoa ya Kikristo

    Habari zenu waungwana. Nina ndoa ya kikristo. Ninahitaji huyu mwanamke niliye naye atambulike, hasa kwaajili ya benefits flani kutoka ofisini. Amejifungua muda sio mrefu, chata yangu kabisa. Nifanyeje ili ndoa tutakayofunga iwe ya halali? Kataa ndoa naombeni mkae pembeni kidogo. Shukran.
Back
Top Bottom