ndoa

  1. Bata batani

    JamiiForums Tanzania Kwanini ktk maisha ya ndoa watoto wakishafanikiwa humjali mama yao kuliko baba yao?

    Sijui kwanini inakuwa hivi Hawa vijana wa siku hizi wakifanikiwa ktk maisha huanza kumuona mama ni bora kuliko baba ........ Wanasahau sisi wanaume ndo risk taker tunapambana usiku na mchana ili wao waje kuwa na maisha mazuri Lakini tukizeeka na watoto wamefanikiwa humjali mama yao zaidi ...
  2. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Mwanamke ana funguo ya sex. Mwanaume ana funguo ya ndoa

    Mwanaume ni gatekeeper wa ndoa. Wakati ukifika ndie atakaemua amuoe nani kwenye orodha ya machaguo yake. Hakuna ndoa bila maamuzi ya mwanaume. Mwanamke ni gatekeeper wa sex. Ndie anaemua afanye tendo na nani kwenye orodha ya machaguo yake. Hakuna sex bila maamuzi ya mwanamke, vinginevyo awe...
  3. RUKUKU BOY

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke wa Ndoa

    Mie sio mtu wa kuandika sana humu. Natafuta mke wa kuoa,now kwangu Mimi ni muda mwafaka wa kuwa na wife. Sina sababu ya ku hide my id , coz Niko serious na hili jambo Sifa zangu. Miaka 30 Elimu: Bachelor Occupation:Employed. Dini: Mkristu Ninayemtaka Awe serious, na ndoa narudia serious...
  4. Kazanazo

    JamiiForums Tanzania Ndoa imemaanishwa kwa watu ambao hawajakutana kimwili

    Ndoa imelenga kuwakutanisha watu kwa ajili ya kuanza kujamiiana na sio vinginevyo, sasa nawashangaa watu kufunga ndoa baada ya kugegedana sijui wanafunga ndoa ili iweje Yani mshaingiliana kimwili mara kadhaa na wengine hadi kuzaa watoto hapo ndoa ya kazi gani maana lengo kuu la kufunga ndoa ni...
  5. Fbn

    JamiiForums Tanzania Mapenzi yapo kwenye ndoa upelekea kufa pamoja.

    Fikiria aina ya upendo wa kipekee—upendo wa kina sana kiasi kwamba hata kifo hakiwezi kuwatenganisha nafsi mbili zilizoishi maisha yao yote pamoja. Jefferson na Mary Souder, waliokuwa wameoana kwa miaka 60 huko Tarrant County, Texas, walijenga urithi wa uaminifu wa dhati, wakilea vizazi vya...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Faida ya ndoa ni hii kama hujui hili usioe wala kuolewa bakia single tu hustahili

    Habari wapendwa! Taasisi ya ndoa imekumbwa na mitikisiko mingi hivi karibuni kutokana na changamoto mbali mbali! Sababu kubwa inayopelekea hayo yote ni matarajio makubwa ya wenza katika ndoa. UKWELI ni kwamba WANUFAIKA WAKUBWA WA NDOA NI WATOTO Siyo WANANDOA! Wanandoa ni watu wawili...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Ndoa ni baraka kwa walio na bahati nazo

    Ndoa inaweza haribu maisha ya mtu, ndoa inaweza fanya ukachanganyikiwa ( itategemea umenyooshwaje na mwenza wako ), ndoa inaweza fanya ukapata kiharusi au magonjwa ya moyo au depression. Leo siamini amini, nimejikuta navizia kuchukua namba ya wahudumu kucheza na low profile , wakati nilikuwa...
  8. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania Ukiona ndoa inadumu miaka mingi ujue jamaa anapiga show za kibabe

    Nimenotice hii kitu aisee Ndoa zinamambo mengi plus kuishi na mtu ambae si mwanao si dada ako na mkatulia mkaelewana si kazi ndogo. Wanawake wana mambo milion na matatizo yao ni mengi. Vitu vidogo sana wao wanavikuza, plus hawasahau hata nukta unaweza jua mko sawa kumbe mwenzio ana notebook...
  9. Mlaleo

    JamiiForums Tanzania Nembo ya Telsa yazua utata - ni kama mjunjo

  10. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Ni kweli wapaka Rangi, wanaosafisha kucha na miguu chanzo cha Ndoa za watu kuvunjika?

    Wakuu hawa wanaofanya kazi ya kupaka rangi nakuwa osha miguu hasa jinsia ya kiume kunaweza kusababisha mtu akachepuka katika ndoa yake,kuna sehemu nimewoma jamaa anamwosha mdada miguu amemsogelea kabisa yaani "zero distance" sasa kun huyo jamaa ni mpaka rangi hapa mtaani kwangu, yeye anasema...
  11. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Mchumba ananilazinisha tufanye ngono kabla ya ndoa mie nimemkatalia

    Wanawake siku hizi mna mambo sana aisee hata aibu hamna? Kiukweli huyu mchumba wangu ameniacha kinywa wazi aisee yaani ananiomba ngono kabla ya Mimi kumuomba wakati nilitegemea mimi mwanaume ndiye nimuombe ngono ila cha ajabu yeye ndiye ameniomba tufanye ngono Yaani mwanamke ameniambia kama...
  12. malisak

    JamiiForums Tanzania Mjane anatafuta mchumba atakayefunga nae Ndoa

    Mjane mwenye umri wa miaka 45 ana watoto wawili anatafuta stara ya mchumba atakayefunga nae ndoa. Anahitaji mwanaume mwenye umri kuanzia miaka 45 kuendelea, habagui kabila Wala rangi ila akipata muislam atashkuru zaidi sababu yeye alishatoka ukristo na kuingia uislam hataki kuyumbisha watoto...
  13. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Wanawake wakishapataga mtoto wa pili kiburi kinaanza

    Baada ya mwanamke kujifungua mtoto wa pili, wengi Huwa na mabadiliko fulani ya kimtazamo, kitabia, na hata kihisia ambayo baadhi ya wanaume huwa wanayahisi au kuyaona kama “kiburi.” Wapo wanaodai kuwa uzazi huleta mabadiliko makubwa katika maisha ya mwanamke – kimwili, kihisia, na kiakili...
  14. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania Tabia za baadhi ya wanawake kutaka wapewe pesa na zawadi zinawafanya wanaume weengi kuamini kuwa tendo la ndoa halina umuhimu kwa mwanamke

    Inaweza ikakushangaza lakini huu ndio ukweli wenyewe. Katika jamii zetu za kiafrika wanawake walio wengi wanakuwa hawapo tayari kushiriki tendo pasipo ahadi ya kupewa pesa au zawadi fulani. Yaani ili mwanamke akupe tendo basi ni lazma utoe kitu flani. Hali hii inafanya wanaume wengi kuamini...
  15. RALC255

    JamiiForums Tanzania Mwenza Kupotea kwa Miaka 5 Kunatosha Kuvunja Ndoa?

    Presumption of Death katika Sheria ya Ndoa na Mirathi ➡️ Je, mtu anapotea bila mawasiliano kwa miaka mitano mfululizo… je, bado ni mume/mke wako halali? ➡️ Je, bado atahesabika yupo hai? unaweza kufungua mirathi bila cheti cha kifo chake? ➡️ Au kuolewa tena bila talaka? Hili si swali la...
  16. Money Penny

    JamiiForums Tanzania Huyu binti wa kilokole nimemuoa anataka aende round 20 kwa siku kwenye tendo la ndoa, me nifanyaje?

    Kwan wana ndoa wapya kwa siku mnaenda round ngap? 2 au 3? Mbona mwenzenu amepata mke anataka round 20 kwa siku? Afanyaje? Mshaurini? Ila binti wa kwa Yesu unataka round 20 aje sasa? Au alikuwa hajaokoka binti wa watu?
  17. Right Marker

    JamiiForums Tanzania Somo kwa wanawake: Usikubali kuishi na mwanaume kwa zaidi ya miaka 5 bila kufunga ndoa

    Acha kupumbazwa na ahadi lukuki zisizokuwa na kichwa wala miguu. Ukiona sehemu haina mwelekeo ondoka. Eti ooh! ~ "Subiri nijipange; kisha tutafunga ndoa". ~ "Subiri tujenge; kisha tutafunga ndoa". ~ "Subiri nipate hela ya kupanga vyumba viwili; Kisha tutafunga ndoa". ~ "Subiri nimalize chuo...
  18. PSL god

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje nipo KATAA NDOA lakini nataka mtoto nianzie wapi?

    Za ijumaa wakuu, Mimi ni mwanaume mtu mzima wa 35 namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunipa uwezo na hekima ya kuyakimbia mahusiano na mapenzi kwa ujumla toka nizaliwe Kwanza, Changamoto yangu kuu ni kwamba nimefika umri wa kuwa na mtoto lakini bado sina na hii inatokana na kwamba sina circle au...
  19. Right Marker

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli walimu wa kike ni wazuri katika ndoa?

    TUJIKUMBUSHE; TUJADILI. Kuna miaka fulani walimu wa kike walivuma na kumwagiwa sifa nzuri katika uwanja wa ndoa. Watu wengi waliooa walimu, na walioshuhudia ndoa za walimu walisema kuwa mwanaume aliyeoa au atakayeoa mwalimu hasa mwalimu wa shule ya msingi atapiga hatua kubwa ya kimaendeleo...
  20. Mangwea1900

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu mume na mke kwenye ndoa

    Mume anaoa ili atimiziwe haja za ngono na huduma nyingine za msingi za nyumbani ikiwemo kupikiwa chakula, kufuliwa nguo, kutandikiwa kitanda. Mke anaolewa sababu ya kutafuta usalama wake na kuhudumiwa kwa mahitaji yake yote wakiwemo wazazi wake. Kama haupo tayari USIOE wala KUOLEWA. Endelea...
Back
Top Bottom