Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,750
- 37,397
Kuna kitu nimekiona kwenye kesi nyingi za ndoa ila si wazi kusema wakiachana.
Uchumba hakuna ratiba ya kuombana kuhusu upwiru.
Ila mkiwa kwenye ndoa ndio mnaanza katiba za wasiojulikana mwisho wasiku mnaishia kugombana kwa upwiru wenu.
Ndoa nyingi zimevunjika kwa ratiba za upwiru.