ndoa

  1. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Madhumuni ya Mungu kwenye ndoa

    Madhumuni ya Mungu kwa binadamu kuoana ni: 1.Mke na Mume kustareheshana kuoitia sex 2.Kuzaa watoto ili kuendeleza dunia
  2. Daby

    JamiiForums Tanzania Inafurahisha saana kuona jamii ilivyobadilisha mtazamo kuhusu watoto wa nje. Well done.

    Sasa hivi utaratibu ni njoo na wawili nilete wawili kisha tuongeze mmoja maisha yaendelee. Weekend baba yupo kwa baby mama na mama yupo kwa baby daddy wanaita kucooparent. Role model wao ni Chibu. Well done...ili kuwa ni suala la muda. Wewe uliye pata watoto kabla ya kuoa/kuolewa watoto ni...
  3. Damaso

    JamiiForums Tanzania Baada ya ndoa ya Toni Braxton na Birdman kudumu kwa mwezi mmoja, Toni aomba talaka

    KIMEUMANA🚨‼️ Mwanamama Toni Braxton amefungua kesi ya kudai talaka dhidi ya mume wake Birdman ndani ya mwezi mmoja tu baada ya ndoa yao kwa sababu kuu akidai amechoka na ndoa hiyo. Toni Braxton na Birdman walichumbiana kwa zaidi ya miaka 16 na walifunga ndoa mwezi uliopita lakini leo, Toni...
  4. AlphaMale_

    JamiiForums Tanzania Nina changamoto ya kimahusiano sijui tatizo ni nini. Natamani kuwa na mke lakini mahusiano yangu huwa yanafia njiani

    Habari wadau poleni na majukumu Mimi ni kijana wa 27 ,ni entrepreneur Ninaishi dar lkn muda mwing naenda polini ni chaka tu chaka nanunua Gold ,Elimu yang Degree. Nina changamoto ya kimahusiano sijui tatizo ni nn ,Natamani kua na mke lakn mahusiano yang huwa yanakufa njian labda niseme sijui...
  5. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ndoa za watu maarufu zina mengi

    Alikuwa hanipi tendo mpaka nimlipe 400k wakati ni mke Wangu" Manara.. Hii si Mara ya Kwanza Manara kudai kulipia tendo la ndoa kwa mkewe hata kwa yule aliepita alidai hivyo
  6. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Unaweza ukawa Wife material na bado Dunia ikawa kinyume na wewe. Ndoa ikawa ngumu kwako. Fanya haya.

    UNAWEZA UKAWA WIFE MATERIAL NA BADO DUNIA IKAWA KINYUME NA WEWE. NDOA IKAWA NGUMU KWAKO. FANYA HAYA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Ni kweli wapo wife material ambao hawajaolewa na ambao wanahangaika Kupata ndoa. Na wapo wife material ambao wameolewa lakini ndoa ni ngumu kwao. Wamepata...
  7. Knock life

    JamiiForums Tanzania Hajji Manara ndoa kwake ni biashara japo watu hawajamshtukia .

    Huyu jamaa anajiita Manara anaoa kwa lengo la kujipatia pesa Ila sio ili akae na mwanamke . Naomba wadau kuanzia Gsm, wasafi na serikali msinchangie tena Manara Endapo akitaka kuoa mwambieni afunge ndoa ya kienyeji asimsumbue mtu
  8. Now and then

    JamiiForums Tanzania Vijana wa kataa ndoa mmefikiwa sasa lazima muoe tu.

    Wakuu sasa hivi ndoa umekuwa mchezo wa kuigiza . Yule Kijana Aba OG ambaye alikuwa akiikaa Kama mwanamke na kufanya mambo ya kike hatimaye na yeye Kaoa . "https://www.facebook.com/share/v/12HFo54gqsc/"
  9. Redpanther

    JamiiForums Tanzania Unamshauri nini huyu Ndugu kuhusu Changamoto hii anayopitia kwenye Ndoa yake?

    Habari gani mwanajamvivletu pendwa la MMU. Kimsingi MMU ndio Jamvi linalopata engagement ya kitosha ukilinganisha na majukwaa mengine. Hebu twende kwenye maada, Namzungumzia mshikaji wangu, ambaye sio member wa humu ila alinijia kuomba ushauri. Mshikaji anasimulia.... "Kabla ya kumuoa huyu...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Enyi wakiristo mnazo sheria za ndoa, talaka na mirathi kwenye dini na Biblia yenu kama ilivyo kwenye dini ya haki ya Uislamu?

    Wadau hamjamboni nyote? Tutazidi kupeana ilimu Ili tukae sawa Hakuna shaka kwenye Uislamu mambo husika yametajwa kwenye sheria na Kanuni zake na yapo wazi kabisa chanzo kikiwa ni kurani Ndugu zetu wakiristo hebu tuwekeeni sheria zenu na mtaje wapi mnazinuu Tafakuri ya kina kwa wenye hekima
  11. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa sasahivi wanapenda sherehe tu lakini ndoa hawaiwezi

    Tuambizane ukweli, kwa asilimia 99% ukimwambia Mwanamke nataka nikuoe atawaza zaidi siku ya sherehe itakavyokua jinsi atakavyo watambia marafiki zake, jinsi atakavyopiga mapicha, jinsi watu watakavyomuona akiwa ndani ya shela, lakini 1% ndio wanajua nini maana ya ndoa. Zamani wanawake...
  12. SweetyCandy

    JamiiForums Tanzania Wake za watu acheni vijana wa watu, tulieni kwenye ndoa zenu

    Mtu umeolewa unapangwa na vijana kama mmojawapo wa michepuko yake . Sasa ufumaniwe na,vitoto vya elfu mbili unapigwa kumia unaumia kuabishwa unaaibishwa. Sasa jiulizee ukipigwa hadi uzirai utasema ulikumbwa nanini sema tu. Unaleta aibu kutwa kuwaza vitoto vya watu. Huna aibu . Unavurugwa...
  13. Faana

    JamiiForums Tanzania Picha: Ndoa siyo klabu ya mashindano

    NYENYEKEENI WAUME ZENU: Ndoa nyingi zinaendelea kuvunjika kwa sababu uanaharakati wa kijinsia (feminism) umewafundisha wanawake kwamba hawapaswi kuwanyenyekea wanaume zao. Lakini ukweli ni kwamba, ndoa haikuwahi kuwa kwa ajili ya viongozi wawili. Mara tu mwanamke anapokataa kumruhusu mwanaume...
  14. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Sio kwa ubaya ila Ali Kamwe ni matunda ya kulelewa na mzazi mmoja,vijana lindeni ndoa zenu

    Mtoto aliyepata malezi bora ya baba na mama utamjua ukubwani,huwa hawana adabu na hawajui waongee nini na wakati gani. Kuna familia wazazi wote wapo pamoja ila mmoja yuko bize sana mpaka analelewa na house girl badala ya wazazi. Kuna waliotengana kwa sababu mbalimbalihivyo mtoto kukosa upendo...
  15. Last_Joker

    JamiiForums Tanzania Changamoto za Kukutana na Ndugu Wakati wa Sherehe: Kero au Furaha ya Familia?

    Sherehe zinapofika – iwe ni Krismasi, Eid, harusi, au hata birthday ya bibi – kuna kitu kimoja hakikosekani: kukutana na ndugu. Na hapa ndipo mambo huanza kuwa moto! 😂🔥 Kwa wengine, hii ni nafasi ya kufurahia, kula nyama choma, na kufufua kumbukumbu za utoto. Kwa wengine, ni msiba wa kisirisiri...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania FT: Al Masry SC 2-0 Simba SC | Robo Fainali CAF CC | New Suez Stadium | 02.04.2025

    Mnyama Simba SC anaanzia ugenini Misri kwa kuvaana na Al Masry SC katika mechi ya mkondo wa kwanza ya Robo Fainali ya Shirikisho Afrika. Mchezo huu unapigwa saa 1:00 usiku 🏟️ New Suez Stadium Kaa karibu kwa Live updates Vikosi vya timu zote (Team news) Mechi imeanza 4' Mashambulizi kwa...
  17. Strong and Fearless

    JamiiForums Tanzania Je, kwanini ndoa imekuwa ngumu kufikiwa?

    1️⃣ Matarajio Makubwa – Watu wengi sasa wana vigezo vingi vya mwenza wanayetaka. Wanaume wanataka wanawake wenye heshima, waelewa, na waaminifu, wakati wanawake wanataka mwanaume aliye stable kifedha, mwenye malengo, na asiye na michepuko. Lakini mara nyingi, watu wanakutana na wenza...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Mke wangu amekuwa akizungumza kauli zenye utata na dharau, ni namana gani naweza kuvunja ndoa?

    Mimi ni mtumishi na mke wangu ni mtumish wa umma, Kwa hivi karibuni amekuwa akizungumza kauli zenye utata na dharau jambo ambalo linanikwaza pia. Pia ni mbishi kwenye mambo mengi plus ujuaji mwingi, nimefikiria nivunje ndoa kiaina ili niishI maisha yangu peke yangu bila bughudha ya mtu...
  19. Kisesetusese

    JamiiForums Tanzania Nilimuoa mwaka 2003 ndoa hii ina mambo mengi sana

    Habari za usiku. nina mke yapata miaka mingi imepota. Ana 40 na mimi nina 55 Sijawahi kumfumania Sijawahi kumuona kero Ushauri wenu
  20. R

    JamiiForums Tanzania Hakuna anayesema wanawake wote wa makabila haya ni wasumbufu kwenye ndoa lakini kwanini wanaongoza kwa kulalamikiwa ?

    Kuna principle inasema to every rule there is always an exception, hata kwenye kundi linalosifika kuwa wasumbufu wapo waliotulia mpaka utashangaa na katika wale wanaojulikana wametulia wapo ambao ni wasumbufu pasua kichwa, kwahio haimaanishi ni wote. kwanini wanawake wa makabila haya wanaongoza...
Back
Top Bottom