Usifanye sherehe ya harusi kama unataka ndoa yako idumu.

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
11,067
Reaction score
35,291
Harusi kubwa inaweza kuunda mindset ya zile hadithi za 'forever and ever" na kuji mwambafy katika hadhi fulani hivi, na pia kukuza matarajio yasiyo ya kweli kuhusu ndoa.

Wakati maisha ya kila siku hayalinaginishwi na ukuu wa sherehe yenu, ukakasi unaweza kuwatokea na kusababisha kutoridhikiana kwa maana mliwekeana standard za juu sana.

Muda, energy na pesa zinazotumiwa katika kupanga harusi mara nyingi husababisha mkazo, migogoro, na hata deni kabla hata ndoa haijaanza.

Hii haimaanishi kwamba harusi ni mbaya. Lakini ikizingatiwa sana kuliko maisha ya pamoja yanayofuata, inaweza kuwa kichocheo cha matatizo ya baadaye.

Kwa hivyo, ikiwa unapanga harusi, jiulize: Je, unajenga ndoa au unapanga tamasha? Maisha ya pamoja yanahitaji msingi imara, si sherehe ya kifahari ya siku moja.
 
Muhimu ni ndoa! Harusi ni ziada tu, na haipaswi kuwa kitu cha kusumbuka nacho mpaka kuchangishana fedha.

Naunga mkono hoja!
 
Hivi ukitoa mahari na kukabiziwa mtarajiwa wako sindio ndoa tayari au??
 
Harusi kubwa inaweza kuunda mindset ya zile hadithi za 'forever and ever" na kuji mwambafy katika hadhi fulani hivi, na pia kukuza matarajio yasiyo ya kweli kuhusu ndoa.

Wakati maisha ya kila siku hayalinaginishwi na ukuu wa sherehe yenu, ukakasi unaweza kuwatokea na kusababisha kutoridhikiana kwa maana mliwekeana standard za juu sana.

Muda, energy na pesa zinazotumiwa katika kupanga harusi mara nyingi husababisha mkazo, migogoro, na hata deni kabla hata ndoa haijaanza.

Hii haimaanishi kwamba harusi ni mbaya. Lakini ikizingatiwa sana kuliko maisha ya pamoja yanayofuata, inaweza kuwa kichocheo cha matatizo ya baadaye.

Kwa hivyo, ikiwa unapanga harusi, jiulize: Je, unajenga ndoa au unapanga tamasha? Maisha ya pamoja yanahitaji msingi imara, si sherehe ya kifahari ya siku moja.
PHD!!
 
Furahia maisha na CHANGISHA, huduma ya kidigitali inayokupa urahisi kukusanya michango ya matukio kama vile Harusi, Msiba au Harambee. Fungua M-Pesa App>huduma>CHANGISHA or Piga *150*00#>6>5
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Harusi kubwa inaweza kuunda mindset ya zile hadithi za 'forever and ever" na kuji mwambafy katika hadhi fulani hivi, na pia kukuza matarajio yasiyo ya kweli kuhusu ndoa.

Wakati maisha ya kila siku hayalinaginishwi na ukuu wa sherehe yenu, ukakasi unaweza kuwatokea na kusababisha kutoridhikiana kwa maana mliwekeana standard za juu sana.

Muda, energy na pesa zinazotumiwa katika kupanga harusi mara nyingi husababisha mkazo, migogoro, na hata deni kabla hata ndoa haijaanza.

Hii haimaanishi kwamba harusi ni mbaya. Lakini ikizingatiwa sana kuliko maisha ya pamoja yanayofuata, inaweza kuwa kichocheo cha matatizo ya baadaye.

Kwa hivyo, ikiwa unapanga harusi, jiulize: Je, unajenga ndoa au unapanga tamasha? Maisha ya pamoja yanahitaji msingi imara, si sherehe ya kifahari ya siku moja.
Point kubwa sana hii kwa maisha ya sasa.. wanaharusi wengi siku hizi wamekuwa wakiingia kwenye madeni makubwa baada ya Harusi
 
Back
Top Bottom