Naandika haya simanzi nzito kichwani na moyoni[emoji22][emoji22]. Nimeachwa na mwanamke nimpendae, sijui nifanye nini. Nina vidonda tumbo vilikua vimetulia muda mrefu vimenijia now kwa mawazo niliyonayo, sijui hata nifanyeje.
Sijui nitakua mgeni wa nani mimi, nahurumia moyo wangu ulizama kwake...