Mtaalam: Ukiona Umeolewa au Umeoa na ndani ya Mwaka Mmoja hamfanani Sura jua hiyo Ndoa ni Batili na hakuna Upendo hapo

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,544
108,871
" Ukiona tu Mtu ama Kaoa au Kaolewa halafu wakikaa muda wa Mwaka Mmoja tu hawajaanza kufanana Sura zao jua Kwanza Damu zao hazikuendana na kama Damu zao tu hazikuendana Kibaiolojia hapo jua ya kwamba ule Upendo wa Asili haupo. Wanaume wengi wanaoa kwa Kuangalia tu Mwonekano wa Mwanamke na Wanawake wengi nao Wanaolewa kwa Kuangalia hasa Mali au Fursa kwa Mwanaume. Ukweli ni kwamba Ndoa nyingi za Siku hizi ni za Kimagumashi tupu na ndiyo maana hata Maugomvi hayaishi na nyingi hazidumu. Kufanana Sura kwa Wanandoa ni dalili Kuu ya Upendo wa Kiasili na hata ukichunguza hizi Ndoa huwa zinadumu mpaka Wanazikana "

Kwa Ndoa 15 nilizoziona na Kuzishuhudia mwenyewe ambazo nyingi sasa zina miaka kati ya Mitano hadi Saba kila nikiziangalia Sura za Wanandoa na nikiupitia huu Utaalam wa huyu Mtaalam natamani hata sasa hivi niende Kuwadai Pesa zangu za Michango niliyowatolea kwani naona zimeenda bure kama si Kupotea kabisa.

Hata hivyo ngoja tuzidi kupata Utaalam na Uzoefu zaidi kutoka kwa Wabobezi ( Pundits ) zaidi wa hii Mada iliyoko Mezani ili tuweze kujua kama ina Ukweli au labda ni Mtazamo tu pekee wa huyu Mtaalam wako wa Kutukuka.

Nawasilisha.
 
Kufanana sura !!! How?
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Makubwa haya, mwisho mtaangukia kufanana shepu Sasa. 🙌Mi hapana kwa kweli

Utetezi na Uwasilishaji wako huu unaonyesha kabisa kuwa hufanani Sura ( Nyago ) na Mumeo uliyenae sasa na hata wale waliokuwa Mahawara zako huko nyuma. Pole sana!
 
Back
Top Bottom