Makosa wanayofanya wanaume walio kwenye ndoa

malisak

JF-Expert Member
Mar 16, 2006
694
772
up.jpg

  1. Kuja na vimada mpk home na kumuacha ndani ya gari
  2. Kuingia ndani na viatu vya matope wakati kumeshadekiwa
  3. Kuvurugua nguo au vitu wakati wa kutafuta kitu kabla ya kuuliza kilipo.
  4. Kumtambulisha mtoto wako kwa kimada wako.
  5. Kumleta rafiki yake kuja kula bila kutoa taarifa.
  6. Kumsifia rafiki au ndugu wa mke wa kike kuwa anavutia bila hofu.
  7. Kukosoa muonekano wa mke bila kujali atajisikiaje.
  8. Kutosema chochote mke akipendeza mpaka aulize.
  9. Kujifutia taulo na kuliacha ovyo bila kulianika
  10. Kutotandika bed mke asafiripo na kugeuza bed kama kiota cha ndege
  11. Kutofua boxer na socks zake hadi wife awepo na kama kasafiri zitasubiri arudi
 
Hayo sio makosa!

ᴮᵉʷᵃʳᵉ ᵒᶠ ᵗʰᵉ ᶜᵒᵛⁱᵈ ⁻ ¹⁹
 
Kaka angu kachukua ( rafiki yake na mke wa huyo rafiki yake)
Kawapeleka nyumbani kwake bila taarifa.. wifi yangu kang'aka , Bro kakasirika eti wifi hapendi rafiki yake..Bro wangu yuko no5.
Watu sio kwamba hawapendi wageni, je hao wageni umewaleta katika namna gani?
"Common sense is not so common "
 
Back
Top Bottom