Wanawake fungukukeni ili tuokoe ndoa zetu

44mg44

JF-Expert Member
Jun 16, 2019
2,135
2,139
Wanawake nawaomba muwaweke wazi wanaume kwa kutaja vitu vinavyowapelekea mtoke nje ya ndoa

Mkiwa wazi kwa kusema ukweli mimi naamini tutaokoa ndoa nyingi sana.

Karibuni
 
Back
Top Bottom