Ndege ya abiria yaanguka nchini Afghanistan

FRANC THE GREAT

JF-Expert Member
May 27, 2016
5,416
7,828
Ndege ya abiria yaanguka Afghanistan, maafisa wanasema.

Ndege hiyo ilianguka katika eneo la Deh Yak wilaya ya Ghazni, kusini magharibi ya mji wa Kabul, msemaji wa mkoa ameambia vyombo vya habari.

Ndege hiyo alianguka na kushika moto kutokana na hitilafu ya kiufundi, msemaji huyo alisema.

Awali iliripotiwa kuwa ndege hiyo ni ya shirika la ndege ya Ariana lakini shirika hilo limepinga ripoti hizo.

Hakuna taarifa iliyotolewa kuhusiana na majeruhi.

[BBC]

Taarifa zaidi zitafuata!

====

Officials in Afghanistan say an Ariana Airlines passenger plane has crashed in a Taliban-held area of Ghazni province.

Ariana Airlines' acting chief executive has denied reports that one of its planes has crashed after officials in Afghanistan said a plane from the airline crashed in a Taliban-held area of Ghazni province.

[Sky News]

More updates to follow!
 
... yaani ndege ya abiria inaanguka na kuua abiria wote lakini bado haijafahamika ni ya shirika gani potelea mbali ni aina gani! Ilidhaniwa ni ya shirika la ndege la Ariana lakini shirika hilo limepinga ripoti hizo! Kuna matatizo mahali.
 
Ndege hiyo ilianguka katika eneo la Deh Yak wilaya ya Ghazni, kusini magharibi ya mji wa Kabul, msemaji wa mkoa ameambia vyombo vya habari.

Ndege hiyo alianguka na kushika moto kutokana na hitilafu ya kiufundi, msemaji huyo alisema.

Awali iliripotiwa kuwa ndege hiyo ni ya shirika la ndege ya Ariana lakini shirika hilo limepinga ripoti hizo.

Hakuna taarifa iliyotolewa kuhusiana na majeruhi.

Tutakufahamisha zaidi kuhusiana na taarifa hii kadiri tutakavyozipokea.

Chanzo: BBC Swahili
 
Bado hakuna taarifa kuhusiana na aina ya ndege iliyoanguka.

Lakini, inahisiwa ndege hiyo ni miongoni mwa matoleo haya matatu;
  • Bombardier CRJ100/200
  • Bombardier E-11A
  • Tupolev Tu-134
 
TETESI: Ndege iliyoanguka nchini Afghanistan ni ya Marekani (USAF). Kundi la Taliban ladai kuhusika kuiangusha.

====
Taliban claims it shot down US military plane which crashed in Afghanistan

US officials are investigating the cause of a crash in Afghanistan after a US Air Force plane went down in Taliban-controlled territory, according to reports.

A Taliban spokesman said the plane crashed in the Ghazni province and killed "lots" of US service members, which has not been verified.

The crash follows Sunday's ground attacks and air strikes in the region.

Images and video circulating on social media from Taliban-affiliated journalist Tariq Ghazniwal show the burning remains of a Bombardier E-11A, used for electronic surveillance and radio communication.

According to a spokesman for the provincial governor, the plane crashed at 1.10 pm roughly 80 miles southwest of Kabul.

The crash follows more than a dozen attacks from Afghan forces on Sunday, killing more than 50 Taliban fighters in several operations as peace efforts appear to stall and Taliban renews threats to security forces.

Donald Trump has had a complicated relationship with the Taliban as he seeks to live up to his 2016 campaign promise to remove all US military troops from Afghanistan.

Last year, the president was ready to spend ample political capital with a gamble that a peace deal with the Taliban was close. He roiled Republicans and Democrats alike by inviting Taliban officials to Camp David for a summit he later cancelled as pressure mounted.

Source: The Independent
 
TETESI: Ndege iliyoanguka nchini Afghanistan ni ya Marekani (USAF). Kundi la Taliban ladai kuhusika kuiangusha.

====
Taliban claims it shot down US military plane which crashed in Afghanistan

US officials are investigating the cause of a crash in Afghanistan after a US Air Force plane went down in Taliban-controlled territory, according to reports.

A Taliban spokesman said the plane crashed in the Ghazni province and killed "lots" of US service members,

Source: The Independent
Pole sana mkuu hawataonekane tena hao kama general qasim suleymani!
 
Ndege iliyoanguka ni Bombardier Global Express, kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali.

Ndege hiyo ni business jet lakini si kwa matumizi ya kawaida bali ni ndege ndogo ya kijeshi (military version) Bombardier E-11A 11-9358 ambayo ni mali ya Jeshi la Anga la Marekani, USAF.

Taarifa zinasema kuwa, ndege hiyo ilikuwa na watu wasiofikia watano (5) ndani yake. [Fox News]

Hakuna uthibitisho wowote kwamba ndege hiyo iliangushwa (ilitunguliwa) kama kundi la Taliban linavyodai.
 
Kwaiyo ilikuwa na watu wa 4 na robo ama!?
 
... yaani ndege ya abiria inaanguka na kuua abiria wote lakini bado haijafahamika ni ya shirika gani potelea mbali ni aina gani! Ilidhaniwa ni ya shirika la ndege la Ariana lakini shirika hilo limepinga ripoti hizo! Kuna matatizo mahali.
Mkuu ni ndege ya kijeshi ya marekani licha ya hapo awali marekani kukanusha mwishowe leo wanekili.
 
Mkuu ni ndege ya kijeshi ya marekani licha ya hapo awali marekani kukanusha mwishowe leo wanekili.
.... thanks for updates Mkuu. Ajali ni jambo la kawaida tuwape pole walioathirika.
 
  • Thanks
Reactions: RTI
Back
Top Bottom