Kwa hali hii ya sasa, inabidi tuwe wakweli na nafsi zetu napia tutafakari mambo kwa undani. Kwa hali ya kisiasa iliyopo, ni dhahiri kwamba kuna mambo yamejificha nje ya pazia. Uwezekano wa vikwazo ni mkubwa sana. Ni swala la muda tu
Ikitokea nchi tumewekewa vikwazo, ina maana kuna baadhi ya...