ndege

Yvonne Ndege is an international journalist, and media and communications professional. She started her career at the British Broadcasting Corporation, as a graduate trainee in London, United Kingdom.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: MSD haina mtaji wa kununua dawa na mtaji wa MSD ni bilioni 500, sawa na fedha ilionunua ndege moja

    Akichambua ripoti ya CAG, Zitto amesema taarifa ya CAG imeibaini MSD inaidai Serikali zaidi ya sh bilioni 300 na MSD ili ijiendeshe inahitaji sh bilioni 500 fedha ambayo inalingana na gharama ilotumika kununua ndege moja.
  2. JamiiForums Tanzania Tukifuata dhana ya profesa leo hii Rais Samia angeenda Uganda na ndege ya mkopo

    Katika uislamu mkopo si jambo la heri. Leo hii namuangalia Mhe. Rais Samia akitua Entebbe na Ndege yetu iliyonunuliwa kwa Cash hivi ingekuwaje kama angesafiri na ndege ya mkopo ambayo inaweza kuzuiliwa Airport na wadai?? Tutafakari
  3. S

    JamiiForums Tanzania Prof. Assad: Ni wajinga tu ndio wanaonunua ndege kwa cash

    Hii ni tweet inayoombatana na video huko twitter: Prof. Assad anasema "..You can't buy airline by cash, hakuna yeyote anayenunua ndege kwa cash...wapi umeona?..hakuna mtu ananunua ndege kwa cash. Watu wajinga sana ndio wanaweza kufanya jambo hili..."
  4. H

    JamiiForums Tanzania Nilichoelewa ndege zetu Gharama yake ni Trilion 1.28 tu

    Nilicho elewa ndege zetu Gharama yake ni Trilion 1.28 tu Ukiigawanya hiyo pesa kwa Watanzania milioni 60 Trillion 1.28 ÷ milioni 60 1,280,000,000,000 ÷ 60,000,000 = 21333 Kila mtanzania atapata elfu 21. Sasa kazi kwenu mziuze ndege zetu au mtafute bodi ya wakurugenzi yenye wataalamu wa...
  5. JamiiForums Tanzania Ndugai: Wabunge ishaurini Serikali, iendelee kununua ndege au isitishe

    Dodoma. Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amewataka wabunge kuchangia Mpango wa Taifa wa Maendeleo kwa kuishauri Serikali kama iendelee na mpango wake wa kununua ndege au isitishe hadi itakapoweka mambo sawa. Ndugai amesema hayo bungeni mjini Dodoma leo Alhamisi Aprili 8, 2021 kabla...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna ndege imeshatua Chato tangu baada ya mazishi?

    "Hivi hapa wapi vile? Angekuwepo Siti karibu hapa angenitajia!" ananong'onezwa na kukumbushwa panaitwa Chato - anaitikia kwa nguvu "CHATOOO!" Eti jamani hivi kuna ndege ambayo ishatua Uwanja wa Kimataifa wa Chato tangu baada ya msiba? Na kama ipo ilipeleka huduma gani? Inasemakana pia hata...
  7. E

    JamiiForums Tanzania Wapinzani ndio walio shauri tununue ndege tena wakaanza kuzipinga

    Nimekuja na uthibitisho hapa unaonyesha jinsi wapinzani walivyo wanafiki. Wanatuchanganya watanzania Wao ndio walio ishauri serikali inunue ndege na kufufu ATCL leo tena hao hao ndio wapingaji wa ndege na ATCL. Naomba niweke hii video kama ilivyo, niwaombeni dada zangu na kaka zangu wa...
  8. JamiiForums Tanzania Uchambuzi: Hali ya Uwanja wa ndege wa Kimataifa Chato baada ya Magufuli kustaafu

    Uwanja wa ndege aliojenga Mobutu umegeuka kuwa uwanja wa popo na panya Dikteta Mobutu aliamua kujenga Uwanja wa Gbadolite katika Jimbo la Nord-Ubangi, mwendo wa saa 5 na dakika 16 kutoka mji huo hadi kijijini Lisala (umbali wa 332km) alikozaliwa Mobutu mwenyewe, Gbadolite kilikuwa kijiji...
  9. JamiiForums Tanzania Watanzania wenzangu, biashara ya usafiri wa anga (ndege) sio kama Uber jamani

    Tunapoambiwa ATCL imepata hasara tusibeze sana. Kuna American Express na Delta Lines wanachungulia kaburi! Na Amar hapo UK British Airways imegubikwa madeni nusura izame! Tatizo lenu ni uzungu pori? Ni mashirika ya wenye mafuta kina EMIRATES, QATAR na wenzao Serikali zao zimenunua madeni...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Biashara ya ndege haiwezi kuleta faida kabla pay back period haijafika

    Biashara ya ndege haiwezi kuleta faida kabla payback period haijafika ni vyema unapotwambia imeingiza hasara uwe unatupa na pay back period ilikua ni miaka mingapi. Na je tayari ilishafikiwa. Ila kama hiyo hasara unaikokotoa bila kutwambia payback period ilikua ni miaka mingapi hapo watanzania...
  11. JamiiForums Tanzania Huyu ndiye binti wa Mwl Mwakasege ambaye ni mmoja wa marubani aliyerusha ndege iliyobeba mwili wa Rais Magufuli

    Ndiyo Aliyesukuma Dege Likiwa Na Mwili Wa Mpendwa Wetu Hayati JPM
  12. B

    JamiiForums Tanzania Rais Joe Biden ajikwaa mara mbili na kudondoka akijaribu kupanda ndege maalumu ya Air Force One

    Rais Joe Biden wa Marekani mwenye miaka 78 ameanguka mara tatu kwenye ngazi za ndege ya Airforce one akiwa anaelekea mji wa Atlanta. Lakini baadae aliamka na kuendelea na safari. Rais Biden ndie Rais mzee zaidi kuwahi kuchaguliwa Marekani. Source: THE INDEPENDENT
  13. JamiiForums Tanzania Nini kiliua safari za moja kwa moja za mashirika ya ndege ya Ulaya kama Scandinavian Airlines na Lufthansa?

    Mambo vp jamiiforums. Nini kiliua safari za moja kwa moja (Direct Flight) za kuja Tanzania kwa mashirika ya ndege ya Ulaya kama Scandinavian Airlines System (SAS) pamoja na Lufthansa ya Ujerumani? Mbona mkongwe mwenzao KLM bado anakujaga? ========== ========== Jana nikiwa nimepaki gari yangu...
  14. JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya kudhibiti ndege waharibifu kilimo cha maharage

    Habari wanajamvi. Mimi ni mkulima wa maharage ila changamoto kubwa sana ninayokutana nayo ni uharibifu mkubwa unaofanywa na ndege wanaoshabulia majani ya mimea wakati ikiwa michanga. Hawa ndege ni wa rangi ya brown, wana mkia mrefu na kichwani wana kichungi. Kweli wananiharibia sana kiasi cha...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Abbas: Ndege tunanunua na huduma za kijamii tunawekeza fedha za kutosha, wanunaji waendelee kununa

    Msemaji mkuu wa serikali yuko mubashara TBC akielezea mafanikio ya awamu ya 5. Dkt. Abbas anasema pamoja na kununua ndege na watu wengine " kununa" serikali pia inawekeza fedha za kutosha katika Huduma za kijamii ikiwemo sh trilioni 2 kwenye sekta ya elimu. Hivyo wale wanaonuna wakiona...
  16. JamiiForums Tanzania Dakika chache kabla ndege haijaanguka unadhani abiria huwa katika hali gani?

    Mko angani futi Kama 40,000 toka aridhini ambazo ni sawa na km 12 kwenda juu. Ghafla ndege inapata hitilafu mnaanza kusikia zile turbulence na I'm balances za ndege inayumba na inaanza ku nose dive kiashiria kimojawapo ni mizigo kuanza kudondoka toka kwenye carrier na mnaanza kuangalia chini...
  17. JamiiForums Tanzania John Mnyika ataka Majibu ya uchunguzi wa dawa ya Corona iliyoletwa na Kabudi kwa ndege ya ATCL kutoka Madagascar uwekwe hadharani

    Kauli hii ya kishujaa imetolewa na Katibu Mkuu wa Chadema Mh John Mnyika alipokuwa anaongea na vyombo vya habari kwenye ofisi za Makao Makuu ya Chama chake huko Kinondoni Nje ya Jiji la Dar es Salaam , ambapo pamoja na mambo mengine aliyozungumza , suala la Ugonjwa wa Corona lilikuwa na sehemu...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Ununuzi wa ndege siyo kipaumbele sahihi kwa nchi yetu zaidi ya Elimu, Afya na Miundombinu!

    Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe amesema kununua ndege siyo kipaumbele sahihi kwa maendeleo ya nchi yetu ukilinganisha na Elimu, Afya na Miundombinu. Mbowe amesema uwekezaji kwenye ATCL unahitaji mtaji mkubwa, utaalamu uliotukuka kwa watu wetu na mbinu za kisasa kuhimili ushindani wa soko...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Je, ndege za ATCL ni mitumba?

    Ninavyoandika hivi, ndege ya ATCL Airbus 220 imeharibika Mwanza tangu saa 1 Asubuhi na abiria wote wamekwama. Hizi ndege ambazo zinadaiwa kuwa mpya zimekuwa zikiharibika kila mara, na hiyo inapelekea kuhoji ubora wa hizi ndege. Kama ni mpya, kwa nini ziharibike kila mara? Nimeondoka na...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Zoezi la kumwaga sumu ya kuua nzige kuendelea kesho Kilimanjaro, rubani aliyetelekeza ndege na kurudi Kenya kufuatiliwa!

    Waziri wa kilimo Prof Mkenda ameagiza zoezi la kuua nzige waliovamia mkoa wa Kilimanjaro liendelee kesho baada ya leo kusimama kwa sababu pilot wa ndege ya kumwaga sumu aliiacha ndege na kurejea Kenya. Prof Mkenda amesema atamfuatilia pilot huyo kupitia mamlaka zake za juu na kwamba kesho...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…