ndege

Yvonne Ndege is an international journalist, and media and communications professional. She started her career at the British Broadcasting Corporation, as a graduate trainee in London, United Kingdom.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hatimae Marekani itapeleka mtambo wa kuangusha ndege na helkopta Ukraine

    Serikali ya Marekani imepewa ruhusa na Baraza la Congress kupeleka mtambo wa kupiga ndege na helkopta nchi Ukraine. Ili kuisaidia majeshi ya Ukraine kuangusha ndege za Urusi zinazosumbua sana anga la Ukraine. Tv ya India yaripoti. ===== Biden says U.S. to give Ukraine drones, anti-aircraft...
  2. 5

    JamiiForums Tanzania Ndege nne za Urusi zaangushwa huku baadhi ya Wanajeshi wake wakikataa kutekeleza amri za Wakuu wao

    Baadhi ya wanajeshi wa Urusi wakataa amri, ndege zao nne zaangushwa - vimesema vikosi vya Wanajeshi wa Ukraine Wakati Ukraine ikielekea katika siku ya ishirini ya uvamizi wa Urusi katika ardhi yake, Maafisa wakuu wa jeshi la Ukraine wametoa taarifa yao kila alfajiri. Vikosi vya Urusi vinasalia...
  3. JamiiForums Tanzania Ndege mbili za kivita za Urusi zapigwa

    Vita baina ya ndege Kwa Ndege, Urusi amepoteza mbili aina ya SU-35 The publication states that there was an air battle between two Ukrainian MiG-29 fighters and two Russian Su-35C fighters belonging to the Russian Air Force. According to the Ukrainian Air Force, the two Russian fighter jets...
  4. JamiiForums Tanzania Boeing imesitisha usambazaji wa Vifaa, matengenezo na usaidizi wa kiufundi kwa Mashirika ya Ndege ya Urusi

    URUSI: Kampuni ya kutengeneza Ndege ya Marekani ya Boeing (BA.N) imesema inasitisha usambazaji wa Vifaa, matengenezo na usaidizi wa kiufundi kwa Mashirika ya Ndege ya Urusi ikiwa ni sehemu ya vikwazo vilivyowekwa kutokana na uvamizi wa Urusi dhidi ya Ukraine. Marekani imesema itafuata Uamuzi wa...
  5. JamiiForums Tanzania Shirika la ndege la Urusi latengwa na dunia, kutouziwa spare parts, na kuzuiwa kwenye anga za mataifa mengine

    Huku Putin akiendelea kuingia hasara kwa uwekezaji mkubwa wa wanajeshi wengi Ukraine ambao kama wameshindikana kusonga mbele kwa uhitaji wa chakula na vyombo, nyumbani Urusi mambo yanaendelea kuharibika, shirika la ndege la Urusi limeanza kutengwa na dunia. Kwenye huu ugomvi Putin alikurupuka...
  6. JamiiForums Tanzania Mgogoro wa Ukraine na Urusi: Urusi imehaiharibu ndege kubwa duniani (Antonov 225)

    Hii ndio ilikua ndege kubwa Duniani, Ni ya kipekee zaidi, Na ilitengenezwa moja tu na kampuni iliyoitwa Antonov Serial Production Plant huku ikimilikiwa na Ukraine SSR. Ilikuwa na Uwezo wa Kubeba Tani 640 hizi ni tofauti na Aeroplane au Aircraft, Hizi huitwa Airlift au Strategic Airlift cargo...
  7. JamiiForums Tanzania Umoja wa Ulaya wapiga marufuku ndege za Urusi

    Umoja wa Ulaya (EU) umetangaza marufuku dhidi ya Ndege za Urusi, ikisema inafunga Anga lake kwa Ndege zinazomilikiwa na zilizosajiliwa na Urusi. Inamaanisha Ndege hazitoweza kutua, kuruka au kupita juu ya anga la Nchi yeyote ya EU. Umoja huo pia umesema utapiga marufuku Vyombo vya Habari vya...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Sikio la kufa: Rais wa Ukraine, Zelensky, akataa ofa ya Marekani ya kumtorosha Kyiv asikamatwe na Putin

    Marekani imepiga hesabu zake imeona kuwa Putin atamdaka Rais wa Ukraine ndani ya siku chache mno. Kufuatia hivyo, imeona bora imchukue kibaraka wake huyo (rais wa Ukraine) kwa kumtorosha toka Ukraine ili kumuepushia kifo. Rais wa Ukraine bwana Zelensky amekataa ofa ya Marekani ya kutaka...
  9. N

    JamiiForums Tanzania China Wapeleka ndege za Jeshi kwenye anga ya Taiwan

  10. JamiiForums Tanzania Tanzania yajiandaa kupokea ndege tano ilizozinunua hivi karibuni

    Siku chache baada ya Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) kuwasilisha bungeni taarifa yake ya utekelezaji wa shughuli kwa mwaka 2021/2022 ilieleza kuwa Shirika la Ndege la Tanzania limepata hasara jumuishi ya Sh152.96 bilioni tangu mwaka 2015/16. Leo Jumatano, Februari 23, 2022 Naibu...
  11. JamiiForums Tanzania Inawezekana ndege kutumia dakika 5 kutoka Dar-Dodoma?

    Habari zenu wakuu, Kuna kitu najiulizaga nakosa majibu kwakweli yaani dunia imefikia level ambayo kila kitu washamaliza kabisa, and ndo mwisho unakaribia? Mimi hapa nilikuwa najiuliza swali dogo kabisa kuna ndege inatoka Dar mpaka Dodoma kwa dakika tano (5) ndio 5 na kuna gari inatembea...
  12. JamiiForums Tanzania Ni nani hasa huitumia ndege ya Rais wetu 5H- ONE Gulfstream G550 maana inaonekana ikizurula tu mikoani na kupaki Zanzibar?

    Hii ndege ya rais iliyonunuliwa kwa bei ya $40,000,000 kwa nini haikutumika kumpeleka rais Belgium/France na nchi nyingine za magharibi na badala yake inazurura tu mikoani pasipo kuwa na ratiba maalamu. Sisi walipa kodi tuna haki ya kujua ndege iliyonunuliwa kwa hela zetu kwa nini inazurura...
  13. JamiiForums Tanzania Msigwa: Rais Samia hakukodi ndege ya Emirates wakati wa safari yake ya kwenda na kurudi Ufaransa na Ubelgiji

    “Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan hakukodi ndege ya Emirates wakati wa safari yake ya kwenda na kurudi Ufaransa na Ubelgiji. Mhe. Rais alisafiri kwa kutumia ndege hizo kama abiria. Ameokoa fedha nyingi ikilinganishwa na kama angetumia ndege binafsi ama angechukua ndege ya ATCL ama angekodi. Pia...
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rubani wa kike wa Kenya Airways apata sifa kwa kutua Heathrow Airport licha ya kimbunga kikali

    Ujuzi wa rubani huyu umewashangaza watu wengi sana kwa kuweza kutua ndege akiwa anapambana na kimbunga kikali kilichokuwa kinayumbisha ndege lakini umahiri wake ulifanya ndege utue salama salmini. Rubani huyu kweli anaifahamu kazi yake. Hongera sana dada.
  15. JamiiForums Tanzania Tanzania inaweza kuanza kuzalisha ndege za watu wachache

    Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kimesema kipo hatua za mwisho za majadiliano na kampuni ya Skyleader yenye makao makuu nchini Czech ili waje kuwekeza nchini Tanzania. Skyleader ni kampuni inayotengeneza ndege ndogo za wazi ambazo huwa na siti moja hadi mbili. Kampuni hiyo inaweza kuanza...
  16. JamiiForums Tanzania Mwanamke Mghana alivyojifungua mtoto kwenye ndege kuelekea USA

    Safari ya ndege iliyotarajiwa kuwa yenye utulivu kutoka Accra Ghana kuelekea Marekani iligeuka kuwa uzoefu ambao mwanamke mmoja mjamzito kutoka Ghana hatausahau maishani mwake, pamoja na wasafiri waliokuwemo ndani ya ndege ya Marekani United Airlines chapa UA 977. Mwanamke mjamzito alipata...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Elon atoa pesa kwa kijana wa miaka 19 ili aache kuifuatila ndege yake

    Mtu tajiri zaidi duniani bwana Elon Musk amempatia ofa ya $5000 kijana Jack Sweeney ili aiondoe program inayofuatilia safari zote za ndege yake binafsi na kuziweka hadharani kwenye ukurasa wa twitter. Hata hivyo ofa hiyo imekataliwa na kijana huyo mwenye umri wa miaka 19 ambae kwa sasa bado...
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tit for Tat. Baada ya Kenya kuzuia ndege za UAE kutua Kenya, UAE wameamua kuondoa marufuku waliokuwa wameweka dhidi ya ndege zinazotokea Kenya

    Wivu battalion ya TZ ilikuwa inasema kwamba kitendo cha Kenya kulipiza kisasi kwa kuzuia ndege za UAE kutua Kenya haijazaa matunda. Hio ni uongo kwa sababu UAE wameamua kuondoa marufuku waliyokuwa wamewekea ndege kutoka Kenya. Mimi kutoka mwanzoni nilisema hawa wajinga waarabu wanastahili...
  19. JamiiForums Tanzania Wanafunzi wanaosoma katika shule ya msingi Kododo mkoani Morogoro, wapo katika hatari ya kuangukiwa na madarasa

    Wanafunzi wanaosoma katika shule ya msingi Kododo Tarafa ya Mgeta wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro, wapo katika hatari ya kuangukiwa na madarasa wanayoyatumia kufuatia madarasa hayo ambayo yamejengwa kwa mawe tangu mwaka 1970 kuanza kupasuka kisha kudondosha mawe. Chanzo: EastAfricaTv...
  20. JamiiForums Tanzania Serikali kujenga uwanja wa ndege Manyara

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi wa kijiji cha Mwada wilayani Babati. Picha Mussa Juma Babati. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali itajenga uwanja wa ndege wa Mkoa wa Manyara ambao utasaidia kukuza sekta ya utalii. Akizungumza katika mkutano wa hadhara katika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…