ndege

Yvonne Ndege is an international journalist, and media and communications professional. She started her career at the British Broadcasting Corporation, as a graduate trainee in London, United Kingdom.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania KLM Royal Dutch Airlines: Bonge la ndege

    Majuzi nilipata mchongo wa kwenda US -Chicago. Wenyeji wakanikatia tiketi KLM aisee mzinga wa ndege. niwe mkweli Sijawahi kupanda ndege Kama ile. Japo enzi za fastjet niliwahi kwenda Dar na kurudi tu. Tembea uone. Ushamba tupa kule.
  2. ward41

    JamiiForums Tanzania Kwanini USA na EUROPE wamelitawala sana anga la ndege za abiria ulimwenguni?

    Mashirika mengi ya usafiri wa anga ulimwenguni yanatumia sana ndege zinazotengenezwa na either Boeing ya Marekani au Airbus ya Europe. Ni kwanini? Ina maana nchi nyingine kama china, Russia, south Korea wameshindwa kuunda haya madude? Hata mashirika yaliyoko china ndege zao ni either Boeing au...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania ATCL watolea ufafanuzi kuhusu hali ya tairi la ndege iliyosambaa Katika Mitandao ya Kijamii

    Salaam, Shirika la ndege Tanzania, ATCL watolea ufafanuzi kuhusu hali ya tairi ya ndege iliyosambaa Katika Mitandao ya Kijamii ambayo inaonesha tairi iliyoisha. UFAFANUZI KUHUSU HALI YA TAIRI LA NDEGE YA KAMPUNI YA NDEGE TANZANIA (ATCL) ILIYOSAMBAA KATIKA MITANDAO YA JAMii ATCL inapenda...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Video: Uchawi haupandi ndege, juju la Simba halikuzaa matunda Johanesburg

  5. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania CAG: Ndege yenye miaka 47 ilikarabatiwa kwa 278.42m ikatumika masaa 18

    CAG: NGORONGORO ILITUMIA TSH. MILIONI 278.42 KUKARABATI NDEGE YENYE MIAKA 47 Kupitia Daftari la Mali za Kudumu za Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro, CAG alibaini kuwa Mamlaka inamiliki ndege aina ya CESSNA 182P yenye Namba za Usajili 5H-MPZ Ndege hii kufikia Juni 30, 2021 ilikuwa na...
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Haiti: Ndege yaanguka mtaa wenye watu wengi, yaua watu sita

    Ndege ndogo imeanguka katika mtaa wenye watu wengi katika Jiji la Nchini Port-au-Prince Nchini Haiti, jana Aprili 20, 2022 na kuua watu sita akiwemo rubani wa ndege hiyo. Ndege hiyo ilikuwa ikiruka kutoka Uwanja wa Ndege wa Port-au-Prince saa 9:44 Alasiri kuelekea katika Jiji lingine Nchini...
  7. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Si kweli kuwa ATCL imefuta safari za Ndege kuelekea Chato Geita

    Yasemekana hauna abiria wa kutosha kupeleka ndege. ===== UPDATES ====== Fact Check: Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) halijafuta safari zake kuelekea Geita ambapo ndege hutua katika Uwanja wa Ndege wa Chato. Hivi karibuni kumekuwa na uvumi unaonezwa katika mitandao ya kijamii ambayo haina...
  8. N

    JamiiForums Tanzania ONYO: CEO Barbra maadui mtasafiri nao kwa ndege kwenda Afrika Kusini, kuweni waangalifu

    Narudia tena dada yangu kama mwaka jana uliweza kugundua mapema una mole msukule ndani ya team ukamkataa na aka force kwa nauli za maadui zetu kwenda south africa na kulala kwenye coach basi jua safari hii mziki utakuwa mkubwa sana Niko chini ya miguu yenu uongozi wa simba, hawa wanaoitwa...
  9. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Emirates yagoma kuiwekea vikwazo Urusi, safari za ndege zinaendelea kama kawaida

    Rais wa Emirates, Sir Tim Clarke amekataa kufuata agizo la Nchi za Ulaya kuiwekea vikwazo Urusi kwa kusitisha ndege kwenda Nchini humo, akisema hayo maamuzi yanatakiwa kufanywa na Serikali ya United Arab Emirates (UAE) "Kama tukiambiwa kusimamisha safari tutafanya hivyo, lakini kwa sasa kila...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Nyerere, kwanini usijiuzulu?

    Lango la kuingia nchini linapokosa mtu makini lawama na kudumaa Kwa huduma lazima kuwepo; Kwa kipindi kifupi toka kuzinduliwa Kwa terminal 3 madhaifu yafuatayo yapo wazi na Kila msafiri makini anayaona. 1. TV zinazoonyesha ratiba ya safari terminal 2 zimeondolewa, hivyo hakuna sehemu unapata...
  11. Singidan

    JamiiForums Tanzania B.D. Cooper, Mtekaji wa ndege aliyetafutwa na FBI zaidi ya miaka 45 bila kuonekana

    Hili Ni tukio la kweli katika Maisha halisi. Siku ya November 24 mwaka 1971, katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa mji wa Portland jamaa aliyevaa suti nyeusi na koti refu jeusi kwa juu akiwa amebeba brief case nyeusi alifika katika counter ya kampuni ya ndege ya Northwest Orient Airlines na...
  12. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Wakati vitu vinazidi kupanda bei, Serikali imelipia ndege mpya tano kuimarisha ATCL

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali imeendelea kuliimarisha Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) ili liweze kutoa huduma bora ya usafiri wa anga ndani na nje ya nchi ambapo amebainisha kuwa serikali imefanya malipo ya awali ya ununuzi wa ndege tano. Japo hawajasema ni lini...
  13. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Waziri Pindi Chana, tafadhali anzia Kituo cha Boti za Zanzibar na Viwanja vya ndege. Watu wetu wanatudhalilisha na kutuaibisha sana!

    Jana blogger maarufu katika Mtandao wa You Tube muingereza Jason Billam amepost kuhusu safari yake kutoka Dar es Salaam kwenda Zanzibar. Blogger huyu amekuwepo Tanzania kwa muda wa wiki sasa na amekuwa akielezea mengi mazuri kuhusu Tanzania jambo ambalo ni zuri kiutalii Jambo la kusikitisha...
  14. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Eti ni kweli ndege Tausi ni nyara ya Serikali na mtu wa kawaida haruhusiwi kufuga?

    Eti wakuu hizi habari zina ukweli wowote?
  15. 5

    JamiiForums Tanzania BBC: Shehena ya makombora 1,500 ya Kutungulia ndege aina Strela na Bunduki 100 MG3 zimewasili nchini Ukraine

    Shehena ya makombora 1,500 ya kutungulia ndege aina ya Strela na bunduki 100 za MG3 zimewasili nchini Ukraine kutoka Ujerumani, Shirika la Habari la Ujerumani limewanukuu maafisa wa serikali ya Ukraine wakisema. Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani Annalena Baerbock alisema Jumatano kwamba vifaa...
  16. MK254

    JamiiForums Tanzania Ndege ya kijeshi ya Urusi yajikanganya na kushambulia wanajeshi Warusi

    Hali inazidi kuwa mbovu hadi Warusi wameanza kupoteana na kushambuliana wenyewe kwa wenyewe.....
  17. Fbn

    JamiiForums Tanzania Ndege ya China Boeing -737 Jetliner imepata ajali ikiwa na abiria 133

    Ndege aina ya Boeing-737 iliyokuwa imebeba watu 133 ilianguka kwenye milima kusini mwa mkoa wa Guangxi nchini China Jumatatu alasiri, na moto ukionekana kwa mashuhuda waelezao, kulingana na shirika la utangazaji la serikali ya China CCTV. Vikosi vya waokoaji viko njiani kuelekea eneo la ajali...
  18. Equation x

    JamiiForums Tanzania Kufuga ndege na wanyama wa porini kunahitaji kibali?

    Wakuu, naomba kuuliza, Kufuga kanga wa porini , sungura na kware, ni lazima kuwepo na kibali?
  19. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania Hatimae Marekani itapeleka mtambo wa kuangusha ndege na helkopta Ukraine

    Serikali ya Marekani imepewa ruhusa na Baraza la Congress kupeleka mtambo wa kupiga ndege na helkopta nchi Ukraine. Ili kuisaidia majeshi ya Ukraine kuangusha ndege za Urusi zinazosumbua sana anga la Ukraine. Tv ya India yaripoti. ===== Biden says U.S. to give Ukraine drones, anti-aircraft...
  20. 5

    JamiiForums Tanzania Ndege nne za Urusi zaangushwa huku baadhi ya Wanajeshi wake wakikataa kutekeleza amri za Wakuu wao

    Baadhi ya wanajeshi wa Urusi wakataa amri, ndege zao nne zaangushwa - vimesema vikosi vya Wanajeshi wa Ukraine Wakati Ukraine ikielekea katika siku ya ishirini ya uvamizi wa Urusi katika ardhi yake, Maafisa wakuu wa jeshi la Ukraine wametoa taarifa yao kila alfajiri. Vikosi vya Urusi vinasalia...
Back
Top Bottom