ndani

The Dani people, also spelled Ndani, and sometimes conflated with the Lani group to the west, are a people from the central highlands of western New Guinea (the Indonesian province of Papua).
They are one of the most populous tribes in the highlands, and are found spread out through the highlands. The Dani are one of the best-known ethnic groups in Papua, due to the relatively numerous tourists who visit the Baliem Valley area where they predominate. "Ndani" is the name given to the Baliem Valley people by the Moni people, and, while they do not call themselves Dani, they have been known as such since the 1926 Smithsonian Institution-Dutch Colonial Government expedition to New Guinea under Matthew Stirling who visited the Moni.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ushauri wa Bure kwa Dkt. Hussein Mwinyi: Mfute Kazi Haraka Othman Masoud Kabla Hajaendelea Kueneza Sumu

    Wanabodi, Politics is a game like any other games, that people plays, it has its rules and regulations, ukikiuka unaweka pembeni. Yaani mchezo wa siasa pia ni mchezo kama mchezo mwingine wowote, una sheria zake, taratibu na kanuni, ukikiuka, unapewa kadi nyekundu unawekwa pembeni. Serikali ya...
  2. JamiiForums Tanzania Milipuko yarindima ndani ya mji wa Urusi

    Majengo yalipuka huku milipuko ikiendelea.... ====== Russia has accused Ukraine over explosions which reportedly killed three people in the city of Belgorod, near the border with Ukraine. The regional governor said the blasts hit dozens of residential buildings and air defences had been...
  3. JamiiForums Tanzania Watoto 30,000 wakimbia makazi Msumbiji ndani ya mwezi mmoja

    Vurugu zinazoendelea Kaskazini mwa Msumbiji zikihusisha mapigano ya wenyewe kwa wenyewe zimesababisha zaidi ya watoto 30,000 kukimbia makazi yao hadi kufikia mwishoni mwa Juni, 2022. Hiyo ni idadi kubwa kuwahi kurekodiwa ndani ya mwezi mmoja katika mapigano hayo. Mashambulizi mengi yametokea...
  4. JamiiForums Tanzania Kamanda Muliro azungumzia nguvu ya mwanamke ndani ya Jeshi la Polisi

  5. JamiiForums Tanzania Haki na wajibu kwa wafanyakazi wa kazi za ndani

    HAKI NA WAJIBU KWA WAFANYAKAZI WA KAZI ZA NDANI. [PLEASE USIACHE KUSOMA HAPA] Kazi za ndandani ni kazi zinazofanywa ndani au nje ya nyumba. Mfano: usafi wa nyumba, kufua, kupika, kulea watoto, kutunza mifugo nk. Mfanyakazi wa kazi za ndani ni mtu yeyote anayefanya kazi za ndani, ndani ya...
  6. JamiiForums Tanzania Napendekeza EPZA wapewe kiwanda cha urafiki, kuna viwanda kama 50 ndani ya urafiki havifanyi kazi

    Mtu akiambiwa kiwanda cha Urafiki anaweza kuzani ni kakiwanda tu, ila ukiingia ndani ndio utaelewa nini maana ya kiwanda, yaani ndani ya Urafiki kuna majengo ya Viwanda kama 50 hivi, yaani magodown yaliyo mule ndani, kila godown ni kama kiwanda kikubwa kabisa, yaani ni hatari. Halafu...
  7. JamiiForums Tanzania Ukraine ina wakimbizi wa ndani milioni 6.2 kutokana na vita inayoendelea

    Imefahamika kuwa zaidi ya watu milioni 6.2 wamepoteza au kuyakimbia makazi yao ndani ya Ukraine kutokana na vita inayoendelea kati ya taifa hilo na Urusi. Umoja wa Mataifa (UN) umetoa ripoti hiyo na kusema kuwa watu hao bado wamo ndani ya Ukraine wakati watu milioni 5.26 wakikimbilia nje ya...
  8. JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza ndani ya miaka 100 Urusi imeshindwa kulipa madeni

    Anguko la Urusi liko pale, hali inaendelea kuwa ngumu ikizingatiwa mpaka sana imeshindwa kufunika kainchi kadogo hapo jirani yake na imeingia hasara kubwa sana ambayo jeshi lolote hapa Afrika likiingia hasara kama hiyo linafutika kabisa. ======================== Russia was set to fall into its...
  9. JamiiForums Tanzania Acheni kutupotezea muda na wenye kujua nini kinaendelea ndani ya Simba SC tunajua kuwa hata mwakani Timu itafanya vibaya tu

    Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally amewaomba radhi mashabiki na wanachama wa klabu hiyo kufuatia na kikosi chao kupoteza mchezo wa tatu wa Ligi Kuu msimu huu. Chanzo: Darmpya Blog Huu Msamaha wenu utapokelewa na wana Simba SC wa hovyo, ila kwa wengine tunaona mnazidi...
  10. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Majeshi wa Uingerleza ameyataka Majeshi yake kujiandaa kuingia vitani ndani kwenye ardhi ya Urusi

    Mkuu mpya wa majeshi ya Uingeleza ameyataka majeshi yake kujiandaa kuingia vitani katika ardhi ya Urusi Ametoa ujumbe huo tarehe 16 Juni kwa wanajeshi wa vyeo na ngazi zote na kusema uvamizi wa Urusi kwa Ukrain unaashiria kuwa "kunahaja ya kuilinda UK na kuwa tayari kupigana na kushinda vita...
  11. JamiiForums Tanzania Haijapata kutokea: Ndani ya Miezi 2 mastaa ya mpira duniani wanafurika Tanzania. Hongera Samia wewe ndo Deng Xiaoping wangu

    Ni kama ndoto ila ndo yanatokea kweli! Ndani ya miezi miwili mastaa wa mpira duniani wanaotambulika na kufahamika duniani kote wanamiminika Tanzania kwa fujo sana! Mastaa hawa wanapiga picha kwenye mbuga zetu za Serengeti na Ngorongoro na maeneo ya Zanzibar na wanazipost kwenye pages zao...
  12. JamiiForums Tanzania Kwanini Wakurya wanaishi na kufanya shughuli zao ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Serengeti na Serikali haiwabughudhi kama inavyowanyia Wamasai?

    Eneo la wilaya ya serengeti kuna vijiji viko ndani ya hifadhi lakini hatujasikia wakihamishwa. Kwa nin serikali inaonyesha double standard?
  13. JamiiForums Tanzania Maguire ndio mchezaji muhimu kuliko wote ndani ya Man U

    Wewe endelea hivyo hivyo kumchukulia poa Maguire. Kwa taarifa yako, kibiashara Maguire ndio mchezaji muhimu kuliko wote pale Man U ndio maana haachwi wala hawekwi benki. Kwanini ? Uwepo wa Maguire kikosini umeongeza maradufu mapato ya Man U kwa sababu sasa hivi mabilioni ya watu duniani...
  14. JamiiForums Tanzania Netflix yaachisha kazi wafanyakazi 450 ndani ya miezi 6

    Kampuni ya kuonyesha Filamu ya Netflix imetajwa kwa awamu ya pili kuachisha kazi takriban wafanyakazi 300 kama namna ya kudhibiti gharama za uendeshaji. Mnamo mwezi Mei kampuni hiyo ilipunguza wafanyakazi takriban 150. Hatua hii ni baada ya ripoti mbaya ya mapato ya #Netflix ya robo ya mwaka...
  15. JamiiForums Tanzania Nash Mc A.K.A Zuzu ndani ya US!

    Kama. Kawaida yake ni mmoja wa ma MC wakali sana wanaosimamia misingi ya kweli ya HipHop, hivi sasa yupo nchini Marekani kama kawaida yake na safari za Ughaibuni. Hiyo video akiwa University of North Carolina.. School of Music akishiriki "Cypher" kwa Mistari ya Kiswahili na wanafunzi wanaosomea...
  16. JamiiForums Tanzania Rasimu ya Warioba ipo tayari, tupate Katiba Mpya ndani ya mwaka huu tuwakatae wabunge vibogoyo na bunge lao lisilofaa

    Kama CCM wenyewe wamekubali kuwa sasa hivi katiba ni hitaji la kitaifa na huu ndio wakati muafaka basi sasa ndio wakati wa kuweka mambo sawa. Tuna bunge kibogoyo linalotafuna pesa za walipa kodi na huku wananchi wakiwa na maisha magumu. Hatusikii bunge likifanya kazi yake kama bunge ya...
  17. JamiiForums Tanzania Android 13 kubwa kuliko ndani ya Tecno Camon 19 pro 5g

    Mnamo Mei 11 hadi 12, Google ilizindua rasmi Android 13, mfumo wa uendeshaji wa kizazi kipya. Kama mwanzilishi wa kimataifa katika teknolojia ya elektroniki, kampuni ya simu ya TECNO ilikuwa miongoni mwa wazalishaji wa kwanza wa smartphone kujiunga na Programu ya Android 13. Bidhaa yake ya hivi...
  18. JamiiForums Tanzania Mnaopenda kuomba Namba za Simu za Wanawake ndani ya Daladala muwe mnachunguza kama Madume zao tupo nao au hatupo

    Kwahiyo nyie na Minyege yenu mkipanda tu Dala Dala na kuona Wanawale wazuri (warembo) wamepanda (wapo) mnadhani kuwa pembeni zao au nyuma zao tunaowamiliki kwa Kutukuka hatupo hivyo mnaona ni njia nyepesi ya Kuwaomba Namba zao za Simu? IGP Sirro kuna Raia wako Mmoja leo asubuhi ndani ya Dala...
  19. I

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje ili taarifa zangu muhimu zilizopo ndani ya simu zisiingie mikononi mwa mtu pindi ikiibiwa?

    Mimi ni mdau mkubwa wa kusevu taarifa mbalimbali kwenye account yangu ya google. Ninahofia sana kipindi nikipoteza simu, watu watakua na uwezo wa kuona taarifa mbalimbali nilizosevu kwenye akaunti ya google ikiwemo mpaka password za kuingia kwenye mitandao mbalimbali. Hivi je kuna usalama...
  20. JamiiForums Tanzania Job Ndugai ndani ya Western Wall of Jerusalemu

    Speaker mstaafu job ndugai ndani ya western wall of Jerusalem
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…