Ukraine ina wakimbizi wa ndani milioni 6.2 kutokana na vita inayoendelea

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,308
5,458
Imefahamika kuwa zaidi ya watu milioni 6.2 wamepoteza au kuyakimbia makazi yao ndani ya Ukraine kutokana na vita inayoendelea kati ya taifa hilo na Urusi.

Umoja wa Mataifa (UN) umetoa ripoti hiyo na kusema kuwa watu hao bado wamo ndani ya Ukraine wakati watu milioni 5.26 wakikimbilia nje ya nchi tangu kuanza kwa vita hiyo Februari 24, 2022.

Shirika la Umoja wa Mataifa la Uhamiaji IOM zlimeeleza kuwa limekuwa likifanya utafiti mara kadhaa, kwa sasa kuna walioamua kurejea katika makazi yao kwa kuwa ripoti ya Mei 3, 2022 ilionesha kuna wakimbizi wa ndani milioni 8, ambapo 65% walikuwa wanawake.

Source: ndtv

============

Over 6.2 Million Displaced Within Ukraine Due To War, Says UN

More than 6.2 million people are now estimated to be displaced within Ukraine due to Russia's invasion, having fled their homes but stayed inside the country, the UN said Tuesday.

This is in addition to the 5.26 million people who have fled Ukraine and have been registered as refugees in other European countries since the war began.

As of June 23, there were an estimated 6.275 million internally displaced persons (IDPs) in Ukraine, the United Nations's International Organization for Migration (IOM) said.

That marks the lowest number of IDPs recorded by the IOM since the Russian invasion on February 24.

The UN agency, which has carried out six surveys since February, said the IDP number peaked at an estimated eight million in the fourth survey published on May 3.

The latest survey found that 5.55 million people who initially fled -- whether within Ukraine or abroad -- had now returned to their homes.

"The most pressing needs of both displaced and non-displaced persons include access to health services and education, as well as (the) rehabilitation of damaged homes," the IOM said.

Sixty-five per cent of current IDPs are estimated to be women.

Some 61 per cent of all IDPs (3.8 million) are from the east of Ukraine, where the fighting is currently concentrated. Fifteen percent are from the north, while 11 per cent each coming from Kyiv and from the south.

The biggest displacement flows are of people from the east moving to other places in the east, and to a lesser extent to central and western Ukraine.
 
Halafu humu kuna mbumbumbu kibao wanashabikia vita!in a modern war's haina mshindi, vita hii inatuletea athari kubwa hasa sisi nchi za Africa (Tanzania including)na mbaya zaidi baada ya vita hii kuisha ndio tutaonja machungu yake, story za kwenye vijiwe kushabikia watu kufa wakati uchumi wetu ukiathirika ni hapa tu Tanzania una ushabiki
 
Hebu elezea ni machungu gani hayo yatatupata wakati vita ikiisha? ningependa kujua japo kwa uchache
 
Un

Tunaishi in a country ambayo inategemea 40%ya budget kutoka western Europe sio Russia, crude oil imeongezeka kutokana na unnecessary Russia invading another sovereign country Ukraine, cooking iol imepanda bei,value ya ths.yetu against other powefull currencies imeshuka mno,na sasa kuna hatari ya financers wetu wakubwa nchi za Nordic zimeamua kujiunga na NATO yaani zimeshachagua side,nasi tupo Russia ambao hawatusaidii sisi kiuchumi na elewa Russia ndio wana sababisha ushenzi mkubwa pale DRC,CAR reasons kwao kuuza silaha ndio mtaji wao mkubwa,tujadili hoja iliyopo mbele yetu sio mtoa hoja ndio maana ya debate nzuri
 
Halafu humu kuna mbumbumbu kibao wanashabikia vita!in a modern war's haina mshindi, vita hii inatuletea athari kubwa hasa sisi nchi za Africa (Tanzania including)na mbaya zaidi baada ya vita hii kuisha ndio tutaonja machungu yake, story za kwenye vijiwe kushabikia watu kufa wakati uchumi wetu ukiathirika ni hapa tu Tanzania una ushabiki
Kwa hiyo tusipo sherehekea ndio vita itaisha?
 
Un

Tunaishi in a country ambayo inategemea 40%ya budget kutoka western Europe sio Russia, crude oil imeongezeka kutokana na unnecessary Russia invading another sovereign country Ukraine, cooking iol imepanda bei,value ya ths.yetu against other powefull currencies imeshuka mno,na sasa kuna hatari ya financers wetu wakubwa nchi za Nordic zimeamua kujiunga na NATO yaani zimeshachagua side,nasi tupo Russia ambao hawatusaidii sisi kiuchumi na elewa Russia ndio wana sababisha ushenzi mkubwa pale DRC,CAR reasons kwao kuuza silaha ndio mtaji wao mkubwa,tujadili hoja iliyopo mbele yetu sio mtoa hoja ndio maana ya debate nzuri
Kwahiyo kisa tunategemea budget kutoka Kwao wakifanya wao uvamizi tuwaache halafu akifanya Russia ndio tumpinge? Karma inafanya kazi wacha waisome namba
 
Un

Tunaishi in a country ambayo inategemea 40%ya budget kutoka western Europe sio Russia, crude oil imeongezeka kutokana na unnecessary Russia invading another sovereign country Ukraine, cooking iol imepanda bei,value ya ths.yetu against other powefull currencies imeshuka mno,na sasa kuna hatari ya financers wetu wakubwa nchi za Nordic zimeamua kujiunga na NATO yaani zimeshachagua side,nasi tupo Russia ambao hawatusaidii sisi kiuchumi na elewa Russia ndio wana sababisha ushenzi mkubwa pale DRC,CAR reasons kwao kuuza silaha ndio mtaji wao mkubwa,tujadili hoja iliyopo mbele yetu sio mtoa hoja ndio maana ya debate nzuri
Naona unajipendekeza kwa wazungu as if ndio vita ya kwanza hii? Acha ujizima DATA
 
Du sikujua kuwa avatar yenye Jina kubwa kama hili itakua imejaa upumbavu, na upumbavu ni kama cancer au terminal ill disease, ingekua ni ujinga tungeweza kuelimishana ila ni upumbavu sio rahisi maana mgonjwa haponi!
 
Matusi yako hayawezi kubadilisha facts mnakumbatia wazungu kama mabwana zenu
 
Back
Top Bottom